Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amewataka wagombea waliofeli kwenye kura za maoni wawapigie kampeni walioshinda pindi kampeni zitakapofunguliwa.
Polepole amesema CCM ni chama kikubwa tena...
Na: Beatrice Condrad
Kauli mbiu ya Chama Cha Mapinduzi 2020 ni: TUMETEKELEZA KWA KISHINDO, TUNASONGA MBELE PAMOJA.
Kwanza kabisa napenda kutoa UTANGULIZI wa Ilani yetu ya Uchaguzi 2020 kama...
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele, amesema iwapo wananchi watakipa ridhaa chama chake kushika madaraka, serikali yake itatunga sheria ambayo makahaba, wasagaji na...
Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.
Huku Handeni Mjini...
Akiwa mjini Tunduma, Tundu Lissu katika harakati zake za kutafuta wadhamini, ameongea na maelfu ya wananchi.
Amezungumza kuhusu hali ya uminywaji wa Vyombo vya Habari nchini, watumishi wa umma...
Muheza wako na wewe, ushawishi wako Muheza hauna mashaka. Kila mmoja hilo analijua! Tafuta chama kati ya CHADEMA au ACT Wazalendo ujinyakulie ubunge kiulaini!
Kwa upande wangu siddhani kama kuna mtu ana fahamu vyema mengi ambayo Nyalandu aliyowahi kupitia akiwa mbunge chini ya CCM moja ya tukio baya ni lile la yeye kukoswa koswa ndani huko nyumbani...
Huyu ndugu anaweza kuchukua nchi moja kwa moja kupitia sanduku la kura tukiwa na uchaguzi ulio huru na wa haki, lakini pia anaweza kusababisha mambo yatayosababisha mageuzi yatokee katika nchi...
Tokea katika mkutano ulioshirikisha wadau wengine wa uchaguzi Dar, kamanda Sirro amenukuliwa akisema vyama kulinda kura ni kosa la jinai.
Kwa mujibu wa kamanda huyu kazi ya kulinda kura ni kazi...
Kati ya makosa yaliyofanywa na Serikali yangu ya CCM ni kushindwa kutoa ajira kwa vijana na kuacha wazagae mitaani bila kazi.
Ni kosa kubwa sana kwa sababu vijana hawa ni bomu tulojitegea wenyewe...
Wakati wa mchakato wa kuwapata wagombea na hasa wa Ubunge, viongozi wa ngazi za juu kabisa za chama walijinadi kwamba wana CCM wote waliokua katika nafasi za kuteuliwa na Mkuu majina yao...
Kabla ya uchaguzi Mkuu ujao, Chadema wamekuwa wakiishi na kufanya kazi na Tundu Lissu kama Mwanasheria Mkuu wa Chadema, na Mjube wa Kamati Kuu.
Kumekuwa na tofauti ndogo ndogo ambazo ni kawaida...
Mchakato wa Ugombea CCM ulianzia ngazi za kata na Majimbo na kuishia NEC tofauti na ilivyozoeleka. Kwa mujibu wao sababu kubwa za kupeleka NEC majina yote ya Wagombea ni pamoja na.
>Rushwa (asiwe...
Huwezi amini, mwaka huu Uchaguzi ni rahisi Sana kwa wapinzani wote waliochukua fomu kugombea nafasi mbalimbali, sema Kuna maeneo hayajapa wawakilishi hasa vyama chipkizi, nakushauri ndugu yangu...
Mkurugenzi anayehusika na Uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa Mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi...
Nimemsikilia kwa makini Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo akielezea tatizo la mgombea wa CHADEMA aliyechukua fomu na ambae viongozi wa CHADEMA wamesema hawamtambui.
Mkurugenzi ni wazi kasimama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.