Salaam Wakuu,
Kama ilivyotabiriwa na wengi imekuwa.
Zaidi soma;
Uchaguzi 2020 - CHADEMA wavurugana Jimbo la Kilombero. Pamoja na kushika namba 2 kura za maoni, Bilionea Shillah achukua fomu ya...
Mteuliwa wa CHADEMA Ndugu Tundu Lissu asifurahie sana anapoona wingi wa watu wakijitokeza kumuona kwani endapo atapitishwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mgombea kamili wa kiti cha Urais akipita tena...
Naona wanachama wa CCM wenye roho ngumu wameamua kufunguka waziwazi kama kinachotokea hapa Dodoma kuanzia leo na kuendelea hasa wale wanaokatwa bila sababu za msingi.
Hali hiyo inaweza kuwafanya...
Wakuu kwema!
Siku ya uzinduzi wa kampeni, siku ambayo Mh. Tundu Antipas Lissu atatema madini adimu bila kumung'unya maneno.
Mimi binafsi nitahudhuria, umati utakaoshuhudiwa siku hiyo utakuwa...
Wanachama wa CCM wakiwemo Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji wa Kata ya Bwambo Wilayani Same, Kilimanjaro wameandamana kumpinga mgombea aliyeshika namba 2 kwenye kura za maoni na kupitishwa na...
Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020.
UPDATES...
HABARI Mgombea Ubunge Jimbo la Ilala kupitia CUF, mhe. Rashid Mwinyishehe Ilala amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Ilala
1. Anaijua sheria ataongoza taifa kwa misingi ya haki
2. Hana tamaa ya mali, hatokimbilia kujenga mahekalu kwa na kiwanja cha ndege cha kimataifa kijijini kwao Mahambe, hawezi, hawezi hubadili...
Nimekumbuka Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015 wazee wetu walivyotutahadharisha kukisaidia chama tawala, sipendezwi binafsi kuwatumia wazee wetu kwenye kampeni kwa ajili ya kuokoa jahazi mkifanikiwa...
Makamo mwenyekiti wa jumuiya wa wanawake CUF taifa mhe. Kiza mayeye ambaye pia ni mgombea wa ubunge Jimbo la kigoma kaskazini, mapema leo amefika katika ofisi za msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la...
Habari wana JF,
Kupiga kura ni haki yangu ki-katiba na kisheria, ni wajibu wangu pia kama raia, lakini zaidi ya yote ni fursa yangu kutumia haki yangu kuonesha hisia zangu (si hasira) kwa watu...
Membe, Wewe umri wako bado unakuruhusu 100% kugombea Urais hata miaka 10 ijayo. Ningekuomba kwa sababu moja kubwa na muhimu sana tena itakayokujengea heshima kubwa sana, kwakua chama chako cha...
Habari za muda huu ndugu zangu wanajukwaa pendwa.
Ndugu yenu nimeona ni vema tukapeana techniques za kumuombea kura za ndiyo Mh. Lissu kwa kuwa ndyo kiongozi pekee tunayemtegemea atutoe kwenye...
HABARI Mgombea Ubunge Jimbo la mtwara mjini kupitia CUF, mhe. Maftaha nachuma amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Mtwara Mjini
Nimefurahishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kutimiza wajibu wake bila upendeleo.
Leo kwenye hadhara ya kutafuta wadhamini, mgombea urais kwa tiketi ya chadema, Bw. Tundu Antipas Lissu akiwa...
Breaking News: Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Katavi kimesema majina ya uteuzi wa udiwani yametolewa na kwamba aliye shinda kura za maoni ndiye aliyeteuliwa.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, ninawashauri wapinzani kutumia Kauli-Mbiu moja hata kama kila chama kinashindana kivya-vyake. Ni kwa njia hii upinzania utaweza kuichinjia CCM baharini ki-mkakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.