Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Vyombo vya habari kutangaza kwa usawa kampeni za vyama vya siasa ni moja ya vigezo vya uchaguzi ulio huru na wa haki. Siyo sawa hata kidogo kwa CCM kuvikataza vyombo vya habari kutangaza kampeni...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Kamati kuu ya CCM inayoendelea na vikao vya kuchakata majina ya wagombea nafasi ya Ubunge jijini Dodoma inaendelea na kazi moja kubwa na yenye machungu kwa safari ya ahadi. Kitu kimoja ambacho...
9 Reactions
30 Replies
4K Views
Wasalaam, Kuna majimbo ambayo ni wazi yataenda upinzani hasa CHADEMA iwapo CC ya CCM haitotenda haki. Mathalani jimbo la Meatu lilipo wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu. Jimbo hili lilikuwa chini ya...
4 Reactions
38 Replies
7K Views
Habari wana Jukwaa. Nimefurahi kuona kwa kiasi kikubwa wajumbe wa baadhi ya maeneo kuwachinjia mbali vigogo na watia nia wenye majina na ushawishi mkubwa, Kwa Kigoma Kusini hali imekuwa tofauti...
1 Reactions
93 Replies
10K Views
Tufanye labda hawakulala wala kusinzia kwahiyo walitumia masaa 48. Ukigawa kwa idadi ya wagombea, utapata majina 270 yalijadiliwa kila baada ya lisaa limoja. Ukichukua majina 270 ukayagawa kwa...
19 Reactions
69 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi nyote! Jimbo la misungwi linaundwa na Kata 24 na tarafa kuu nne ambapo jimbo hili kijiografia libapakana na majimbo ya Nyamagana na Sengerema kwa sehemu kubwa ambapo mbuge wake wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naamini CHADEMA Jimbo la kibamba mko wengi, nendeni kwa umoja wenu wote msindikizeni mgombea wenu akapewe fomu ya kugombea ubunge. Huyo mgombea ni wenu wananchi wanachama wa CHADEMA...
15 Reactions
22 Replies
3K Views
Wanabodi, nilianzisha uzi hapa kuhusu watendaji wa Serikali kuharibu taswira ya CCM, Watendaji wa Serikali wao hawana uchungu na chama wanaangalia mishahara na familia zao tu, Makosa ya watendaji...
13 Reactions
37 Replies
3K Views
Wagombea wa Udiwani wa Kata za Mukendo na Kwangwa, Manispaa ya Musoma Mjini, wameshindwa kuchukua fomu zao za kugombea udiwani katika kata hizo, baada ya watu waliojitambulisha kuwa wagombea wa...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Tangu Rais Magufuli aingie madarakani, tumeshuhudia kila mbinu imetumika kuhakikisha mwenye mawazo mbadala hatoi maoni yake kwa namna yoyote ile. Kwa miaka 5 vyazo vyote vya habari vilitekwa, kila...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Wasalaam! Wanajamvi wasalaam Bila shaka makamanda wa JF hasa wachadema ambao huu ni uwanja wao wa nyumbani na ni kama kituo chao cha kupigia kura! Ni ukweli ulio wazi CHADEMA watashindwa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea Ubunge kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA...
9 Reactions
130 Replies
16K Views
Ni jambo lililo wazi kwamba hawa watu wawili wana mengi yanayofanana na kukinzana. Wote ni public figures na wanasiasa tofauti ni kwamba mmoja ni rais wa nchi na mwingine ni mwanasiasa...
23 Reactions
115 Replies
9K Views
Wakuu, mwanzo nilidhani kuwa Uchaguzi huu utakuwa Uchaguzi mwepesi sana kwa CCM, nilidhani kuwa CCM itaenda kimteremko na nikafikia kutaka kukataa kwenda kufanya update zangu za kadi ya uchaguzi...
16 Reactions
37 Replies
4K Views
Tupate Maoni, tujitambue, tujuane 1. Hapa Kazi Tu (CCM) 2. Kazi na Bata (ACT) 3. Kazi na Uhuru (CHADEMA) Kazi bila mapumziko Ni tabu, mapumziko bila kazi ni umasikini. Wewe Ukowapi katika hizo?
0 Reactions
64 Replies
4K Views
Ni ukweli uliowazi Sasa kwamba mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ni kama amewameza wagombea wenzake na hawasikiki tena. Tangu ateuliwe na chama chake CHADEMA na kisha kuchukua fomu za...
72 Reactions
154 Replies
14K Views
Mzee Butiku alikuwepo kwenye awamu zote, yupo na atakuwepo Mungu akipenda. Inaelekea kuwa Mzee Butiku anafahamu mengi kuhusu mambo ya chaguzi zetu na mambo ya tume zetu hizi za uchaguzi kwa miaka...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mpaka sasa tumejionea jinsi uchaguzi utakavyokua unahitaji akili nyingi, kuanzia kwenye mchakato wa kura za maoni. Hawa watu wanne ndio wanaotarajiwa kuongoza kampeni za Upinzani 2020. Si watu wa...
1 Reactions
0 Replies
666 Views
Salaam Wakuu, Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine...
15 Reactions
154 Replies
9K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali la hoja za kisheria, wanasheria wetu humu, tusaidieni, kufuatia Tundu Lissu kufutwa ubunge kwa kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, na kosa hilo ni a...
33 Reactions
186 Replies
19K Views
Back
Top Bottom