Kati ya chaguzi ngumu za Ubunge CCM ni huu wa jimbo la Singida Kaskazini ambapo ndugu Lazaro Nyalandu kada wa zamani wa CCM na Waziri wa Maliasili na Utalii wa awamu ya 4 kupitia CHADEMA dhidi ya...
Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kwa sasa bado hana uhakika kama atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2020.
Makamba ametoa kauli hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter...
Vijana tupo na ari kubwa Sana kupita uhalisia unao uona wazi wazi. Wapo wengine wanaogopa kuonesha utayari wao kwa kuogopa kufanyiwa vitendo vya kinyama kutokana na ukatili uliofanywa na Bwana...
Kwenu Viongozi na wanabodi;
Bila kupoteza Muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja; Leo nimekuwa nikijipa Muda wa kuchungulia kinachoendelea huku mitandaoni hasa JF na Twitter lakini Cha...
22 August 2020
Tunduma, Songwe
Tanzania
CHADEMA imeomba vyombo husika vifuatilie tetesi za kuwepo mipango ya kuvuruga mchakato wa kuelekea katika hatua za kurudisha fomu za wagombea. Hivyo...
Mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo kupitia ACT-Wazalendo, akutana na upinzani mzito kutoka kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa jimbo hilo, kwa kile kilichoonekana barua yake ya utambulisho kutofautiana...
Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe leo amekwenda kwenye ofisi za Tume ya Uchaguzi Jijini Dodoma kuhakiki fomu zake kama ziko sawasawa kabla ya kuziwasilisha rasmi hapo kesho 25/08/2020...
Miaka ile damu ikinichemka, nikiruka fance ya nyumbani na kwenda zangu kuruka majoka Kama tulivyokua tukiita enzi hizo, Disco likiwa linatawaliwa na nyimbo za kina BlackBox, Casanova, Patishange...
Makadirio ya Idadi ya watu Tanzania 2020 ni Milioni 59.7.
Idadi hii imegawanyika kama ifuatavyo:
1. Walioko chini ya miaka 15 ni zaidi ya 44.8%
2. Katikati ya miaka 15 hadi 64 ni 52%
3. Walozidi...
Kwa mtu anaekusudia kukiondoa madarakani chama kinachotawala huna budi kufanya homework yako vizuri ili uyaongelee mambo ya wananchi ambayo serikali iliyopo madarakani aidha iliyatelekeza au...
Nikwambie tu yale mapokezi uliyopata siku unafika nyumbani toka ughaibuni ni kwamba wengi walikuja kwa ajili ya kukuona na kushangaaa jinsi ulivyookoka kifo.
Ulichaguliwa na chama chako...
Wanabodi,
Leo natoa somo linaliutwa Logical Progression kwenye kufanya analysis kwa Kuangalia kitu kwa Jicho la Tatu, ni kuliangalia jambo kwa critical angle kwa kutumia predictions based on...
Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai
Amesema "Msafara wa...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Peter Lijualikali apata mpinzani Kilombero naye si mwingine ni Nabii Bilionea Daniel Shilla.
Nabii Shilla ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa jimbo la...
Deodatus Balile (Makamu mwenyekiti jukwaa la wahariri): Kumetokea jambo wiki hii ambalo limefanywa na mchungaji Peter Msigwa kwenye mkutano alioufanya wiki hii anawaambia wafuasi wa chama chake...
18 Aug 2020
Dodoma, Tanzania
WanaCCM waandamana kupinga maamuzi
Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani...
Licha ya kuwa na mikataba na manispaa na kufuata masharti ya mkataba ikiwemo kutojenga ofisi za kudumu na kujenga vibanda vya muda yaani temporary, wafanyabiashara kwenye uwanja wa barafu au...
NIMESIKILIZA tamko la jukwaa la wahariri Tanzania kupitia ndugu Balile wakidai kuwa hawataripoti matusi ya wagombea, sisi wanachi tungependa kuwajulisha nyinyi wahariri ya kuwa msituchagulie nini...
Nabii shilla au maarufu Billionaire Shilla amehamia chama cha ACT-Wazalendo na kuchukua form ya kugombea huko Kilombero.
Huyu mtu alifanya jambo la ajabu na la kijinga ambalo kama chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.