Watanzania wenzangu tunaingia tena kusikiliza zile nyimbo nzuri za kampeni. Ilani zinazotia matumaini huku wanaozitoa wakijua wanatudanganya. Ilani zilizoshiba matumaini kwa kada masikini wa...
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage amemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Hamida Abdallah Huweishi, kuwa mgombea wa nafasi ya...
Wanajamvi Salaam,
Bw. Lissu katika muda wake wakufanya kampeni ya kutafuta wadhamini alisikika mara kwa mara akisema hatokubaliana na matokeo ya uchaguzi yakitangazwa iwapo kama hatotangazwa...
UCHAGUZI MKUU
au
UTEKAJI MKUU
au
UJAZAJI FOMU MKUU
Kutokana na vyombo vingi vya habari kuwa likizo katika msimu huu, jamii inakosa habari muhimu. Magazeti mengi, TV na Redio vimepelekwa...
Mgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, Tundu Lissu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu...
Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa...
Tundu Lissu akihutubia mamia ya wafuasi wa Chadema na Wananchi wasio na itikadi ya chama chochote mkoani Dodoma ametoa hoja kali ambazo CCM hawana uwezo wa kuzijibu zaidi ya kupanic na kukimbilia...
Nikiwa Kama Mtanzania, naomba kutoa ombi na ushauri wangu kwako Jaji Mkuu wa Tanzania. Mahakama Ni Taasisi takatifu mahali popote Duniani. Kuna habari zinaandikwa humu mitandaoni kuwa Kuna njama...
Mhe. Mbowe anatishia amani ya nchi yetu kwa maslahi yake ya kisiasa kiongozi kuongea neno lolote linaloashiria vurugu na kuvunja amani, huo ni uchochezi.
Mhe. Mbowe leo katumia Ukurasa wake wa...
Lissu amemmaliza Membe! Membe angeungwa mkono na wana CCM ila wanaona alivyozidiwa na Lissu kwa hiyo wanajua hashindi wameachana naye.
Kumuengua Lissu ni kumfanya Lissu amuunge mkono Membe na...
PROF. LIPUMBA KUREJESHA FOMU (NEC) KESHO AGOSTI 25, 2020 JIJINI DODOMA
Mgombea urais wa Chama cha Wananchi CUF, Prof. Ibrahim Lipumba pamoja na Mgombea Mwenza, Hamida Abdallah Huweishi kesho...
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ISITISHE ZOEZI LA UTEUZI WA WAGOMBEA KATIKA MAJIMBO YALIYO NA KASORO.
Kanuni ya Dhahabu (golden principle) inasema: "Siyo tu kuwa Haki itendeke, bali Haki ionekane kuwa...
Waziri Mkuu na Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ruangwa Ndg Kassim Majaliwa akabidhiwa barua ya kupita bila kupingwa jimbo la Ruangwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa...
Wasalaam wanabodi,
Poleni sana na majukumu ya kuijenga nchi yetu pendwa Tanzania.
Akiongea na waandishi wa habari, kiongozi wa chama cha ACT-WAZALENDO ndg. Zitto Zuberi Kabwe baada ya kuulizwa...
Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.
Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu...
Afisa wa Tume anayehusika na habari na Mawasiliano, punde ametoa ufafanuzi kumtu Kupitia TBC1 kuhusu wagombea waliowaiting room kuwa, kuchelewa kwa baadhi ya wagombea kuingia chumba maalum cha...
Katika urejeshaji huo simuoni mgombea mwenza akiambatana na mgombea urais.
Nilitarajia kuona mgombea wa kiti cha urais kutoka chama CCK akiambatana na mgombea mwenza. Je inawezekana asiteuliwe...
25 August 2020
CCM na serikali yake imekuwa na vikao visivyoisha kutafuta mbinu, sababu, na kupima matokeo ya kumkwamisha Lissu ili asiweze kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa...
Msimamizi wa uchaguzi morogoro mjini sheila lukuba amewakata wagombea ubunge wa vyama vya upinzan kutokana na makosa mbalimbali katika fomu zao,hivo mgombea pekee abdulaziz abood wa ccm amepita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.