Nimesikiliza hotuba ya Lissu leo Segerea, naona lissu ana improve safi sana, tatizo bado iko palepale japo limepungua kidogo katumia muda mwingi kumshambulia jpm kulipo kuelezea yeye na serikali...
Viwanja vya Mabatini, Nyamagana, Mwanza uzinduzi wa kampeni za mgombea Ubunge jimbo la Nyamagana @JPambalu leo. Wananchi wanasema wanakwenda na dogo janja. #nohatenofear ✌ https://t.co/etl8bWJny2
WITO KWA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUKUTANA NA CHADEMA NA ACT WAZALENDO KUTATUA TATIZO LA KUENGULIWA KWA WAGOMBEA.
Tarehe 29 Agosti 2020, nimetoa wito kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kukutana na...
Wanajamvi.
Tukijaribu kwa kina kutafakari njama kuu ya kuengua wagombea wa ubunge wa majimbo yaliyo mengi ni moja ya mkakati wa kuhakikisha unalenga kupunguza idadi ya kura atakazo pata Tundu...
Nasema itakuwa ni ushujaa na kutanguliza maslahi ya taifa, itakuwa ni njia pekee sahihi na muafaka ya kuonesha kutokubaliana na uchaguzi huu batili uliojaa hila, fitina na nia ovu.
Kama tume...
Siku chache zilizopita mlifanya kongamano la kuliombea taifa kuingia katika uchaguzi mkuu. Mlisisitiza amani, amani, amani. Haya yanayoendelea hamyaoni?
Wagombea ubunge na udiwani kupitia...
Yapo aliyoyafanya ambayo ukitizama kwa juu juu utadhani kuwa Yana manufaa kwa watanzania lakini kwa msingi wake ndo yamechangia kudidimiza maisha ya wananchi.
1: Utitiri wa Kodi kwa mtizamo wa...
Mabomu yanapigwa mda huu kituo cha polisi Tunduma, wananchi wameandamana wanataka Polisi wamwachie mgombea Udiwani wa Chadema kata ya Majengo Boniface Mwakabanje ambaye anashikiliwa kituoni hapo...
Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja...
Kwanza poleni sana watia nia watumishi kwa kukosa mishahara miezi miwili mfululizo
Nimesikia mmepigiwa simu kutoka bank tofauti tofauti kurejesha marejesho ya mikopo yenu personaly bila kujali...
January Makamba anasema mwaka 2015 kwenye kura za ubunge alifaulu kwa 84% na mwaka huu baada ya kufanya kazi kubwa jimboni alitegemea kufaulu kwa 90%.
Lakini kwa bahati mbaya kwa yale...
SHAMSIA AZIZ MTAMBA ALIVYOSEPA NA KIJIJI MTWARA VIJIJINI
Mgombea Ubunge Jimbo la Mtwara Vijijini Mhe. Shamsia Aziz Mtamba ameimamisha Mtwara Vijijini kwa kukusanya wananchi wa Jimbo hilo...
Mkutano umeisha muda mfupi uliopita baada ya mgombea wetu kueleza sera zake.
Leo ameyameza maneno yake ya jana na hivyo ametueleza sera zake ni nzuri ila kuna sehemu anarudiarudia sana...
Something is wrong! Mwana wa mfalme leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.
Kweli maisha yanaenda kasi sana sana walinzi wamemwambia akakae na raia...
Mwenyekiti Mbowe na katibu wake Mnyika huchelewa sana kupaza sauti pale CCM na Dola zinapofanya figisu dhidi ya wagombea wa CHADEMA. Kuchelewa kuingilia Kati kunawafanya wafuasi wa CHADEMA...
Leo kwenye uzinduzi wa kampaini za chama dume hapa Dodoma wasanii wote wakubwa walioimba kablaa ya hotuba ya mgombea walipangiwa jikwaa lao tena mbali kidogo na jukwaa kuu na alianza Konde boy...
Mhe. January Makamba amenukuliwa katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter akikanusha kuporwa fomu za kuteuliwa kugombe ubunge kwa muomba ridhaa ya kugombea Ubunge jimbo la Bumbuli...
Hata kwa makusanyo hayahaya ya Kodi inayokusanywa mwaka huuhuu wa 2020. Serikali ya Lissu inaweza kuwalipa vizuri watumishi,wastaafu na hata mikopo yenye riba nafuu kwa wanafunzi na kuwapunguzia...
Watanzania wanataka ;-
Hali bora za maisha.
Ajira
Biashara zao zifufuke na kukua
Mzunguko wa fedha uwe mzuri
Uhuru na haki vitamalaki.
Sasa huyu mgombea pamoja na kwamba watanzania wanapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.