Mgombea wa CCM anatoa rushwa waziwazi na hakuna anachofanywa na TAKUKURU ilikuwa WASANII sasa KATANGAZA AJIRA AKIWA KWENYE JUKWAA LA CAMPAIGN HADHARANI NA TAKUKURU HAMUUKAMATI NA MZEE WETU...
Wakuu Heshima Kwenu.
Kwa hali ya siasa na kampeni zinavyoendelea ni wazi kabisa CCM itashinda kwa kishindo, kwa CCM mpya chini ya Dkt Magufuli CCM imesukwa vya kutosha iko imara na kwa uchaguzi...
Ni kawaida kwa mgombea wa urais John Pombe Magufuli kutoa maelezo katika sentensi zinazopingana. Amefanya hivyo tena Musoma. Amesema kuwa amekataa kupeleka maendeleo kwenye maeneo yanayoongizwa...
Chama cha NCCR-Mageuzi kinafanya uzinduzi wa kampeni pamoja na Ilani ya chama hii leo Septemba 05, 2020 kwenye Viwanja vya Zakheim, Mbagala jijini Dar es salaam. Viongozi mbalimbali akiwemo...
Ndio maendeleo mnayotaka kuleta kwa kuzalilishana majukwaani kiasi hiki tena mbele ya mgombea Urais wenu.
Na yeye anabariku huu uhuni wa wanawake kufanyiwa uhuni na wanaume mbele ya hadhara?.
Leo Septemba 05, 2020 chama cha NCCR-Mageuzi imezindua Ilani ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, halfa iliyofanyika kwenye uzinduzi wa Kampeni za chama. Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi ndugu...
Tafadhali rejea mada tajwa hapo juu.kumbukumbu namba ya tarehe 29/08/2020 kutoka kwa ndugu Lazaro Stephano Maige ambaye tarehe 25/08/2020 aliteuliwa kuwa mgombea nafasi ya Ubunge kwa Jimbo la...
Dar es Salaam, Tanzania
BERNARD MEMBE: NI UCHAGUZI WA KISHINDO
Mahojiano na mwandishi S. Kubenea wa MwanaHALISI TV nyumbani kwake Mh. Bernard C. Membe Waziri wa Mstaafu wa Mambo ya Nje nchini...
"Mfumo wetu wa Elimu lazima uondokane na habari ya kufaulu mitihani pekee na utengeneze Watoto wenye maarifa, tutafanya mabadiliko makubwa kwenye Elimu ikiwa ni pamoja na kuboresha maisha ya...
Mamlaka ya Mapato Tanzania imeamua kumfanyia kampeni Magufuli kwa style ya aina yake.
Kuna gari ya matangazo ambayo sasa hivi iko kariakoo ikiwatangazia wafanyabiashara kulipa kodi. Gari hiyo...
Ahadi ya Rais ya kuajiri walimu ni rushwa ya waziwazi. Alitakiwa aseme akichaguliwa tu, anaanza kuajiri hao walimu Novemba baada ya kuapishwa.
Tutegemee mengi ndani ya muda huu mfupi kama...
“Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27, akaja Mwinyi mkampa miaka 10, akaja Mzee Mkapa (Mungu amlaze mahali pema) mkampa miaka 10, amekuja Kikwete mkampa miaka 10, Mimi nina dhambi gani...
Ndugu Watanzania wenzangu.
Kipekee napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuiona tena siku ya leo.
Baada ya kuangalia na kutathimini mwenendo wa kampeni zinazoendelea kwenye vyama...
Tumeibiwa kuku, ng'ombe, mbuzi na kukwapuliwa simu hatujawahi kusikia wala kuona nguvu za jeshi la akiba. Kimsingi hawa sijui walikuwa wanaitwa Sungusungu au Mgambo lakini kwa nature ya kazi yao...
Vivutio vya watu ni vingi, kama ubwabwa ni rushwa basi na wasanii ni rushwa kwasababu wanashawishi mahudhurio. Basi pigeni vita matumizi ya wasanii kwenye mikutano ya kampeni.
Badala yake...
Mgombea Ubunge Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro kupitia CHAUMMA, Ibrahim Kisimbo ametangaza kujiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho akidai kufanya hivyo ni kujichosha kutokana na kazi alizofanya...
Utawala wako Rais Magufuli Yangu 2015 Hadi Sasa unapofikia miwshoni kabisa, Tulioyashuhudia sio tu Ni maajabu, lakini ni Maangamizi ya Taifa letu kuanzia misingi yake mpaka kesho yake.
Kwa...
Nimeisoma ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kurasa zote. Nimeona kasoro nyingi sana lakini kwa leo nitazungumzia kaosro mbili ambazo zina athari kwa jamii ya watanzania nazo ni ndoa na pia kwa...
Swala la Amani uenda sambamba na Haki, katika uchaguzi huu swala la Amani linazungumzwa sana na viongozi wa kisiasa, viongozi wa ulinzi na usalama na viongozi wa kidini kila mahala lakini sisikii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.