Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Imenenwa katika kitabu cha Mithali katika Biblia katika sura ya 14:34 ikisema hivi nanukuu " Haki huinua Taifa na dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu. Tumemsikia wenyewe IGP Sirro...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Akiwa mkoani Mara Mgombea wa CCM Dkt John Magufuli kwenye uzinduzi wa kampeni katika mkoa huo Mgombea amesema kuwa "naskia kuna mtu anasema sijaongeza mshahara watumishi wa umma ,Watumishi wa...
6 Reactions
29 Replies
5K Views
Wadau, Kuna kipindi ambacho Press conference zilifanyika kwa wingi na nyingi zikiwa kuwatangaza watu waliounga mkono Juhudi JUHUDI. Tunasikia (hatuna ushahidi bado) kuwa kuna watu walilipiwa...
38 Reactions
67 Replies
6K Views
Baada ya CCM kumpitisha Gwajima , nina uhakika Mdee atashinda uchaguzi katika Jimbo hilo tena kwa kura nyingi zaidi safari hii kuliko ilivyokuwa mwaka 2015 unless haki isitendeke. Ukiacha watu...
93 Reactions
364 Replies
31K Views
Anaandika Lord Denning wa JF, Leo nimecheka sana! Kuna clip watu wa CCM wameitengeneza na wanaisambaza ikimuonesha Tundu Lissu akiwa kwenye kampeni akiongelea suala la Bunge na wabunge hawajui...
4 Reactions
0 Replies
955 Views
Kampeni za uchaguzi wa octoba 2020 zinachangamsha sana. Pamoja na CCM na serikali ya Magufuli kuzuia na kupiga marufuku mikutano ya upinzani tangia 2016 ili kufifisha nguvu ya upinzani mambo ni...
9 Reactions
46 Replies
3K Views
Leo Rais Magufuli anaendelea na kampeni mkoani Mwanza na yuko wilaya ya Sengerema, fuatana nami kukujuza yatakayojiri. ====== MAGUFULI: Wananchi wa Sengerema nawashukuru kwa makaribisho mazuri...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Salaam, Wandugu, binafsi nimesikitishwa sana kwa kauli za kibaguzi zilizotolewa na mgombea mmoja wakati akimnadi Diwani wa chama chake asiyekubaliwa na wananchi. Kwa kauli yake mgombea huyo wa...
2 Reactions
11 Replies
927 Views
Live : Shughuli nzima ya Kampeni ya Tundu Lissu leo Zanzibar Source : swahili villa Mapokezi ya Tundu Lissu alipowasili airport Zanzibar Updates: LISSU AKIZUNGUMZIA KUMUUNGA MKONO MAALIM SEIF...
11 Reactions
47 Replies
8K Views
Inaeleweka wazi kwamba Tume ya uchaguzi imepewa fedha za kutosheleza uchaguzi kwa majimbo yote na kata zote Tanzania bara na visiwani. Ni vema walipa kodi wakajulishwa kiasi cha fedha...
1 Reactions
4 Replies
943 Views
CORONA SI KIGEZO CHA KUMFANYA MAGUFULI KUWA BORA KULIKO LISSU Ni kweli sisi kama Watu wa kiimani za dini tumefurahishwa sana approach alizotumia Rais Magufuli hasa katika namna alivyoweza...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Mgombea wa Urais kupiti CHAUMMA amekuja na sera ya chakula kwa wanafunzi. Hii kitu niliielewa tangu awali lakini mahojiano yake ya dk 45 ITV yalinifanya nione kuwa mzee hayuko serious, wala hana...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Je,.... 1. Mgombea ambaye Sera zake ni Miundombinu, Usafirishaji, Utalii na Madini huku Vitisho / Mikwara vikitawala Ubongo wake 24/7? 2. Mgombea ambaye Sera zake ni Kuanza Kwanza kupambania...
10 Reactions
54 Replies
4K Views
Na: Giantist McWenceslaus Dodoma Ndugu wanabodi habari zenu. Jioni ya Leo nimeona niwaletee kwenu uzi wenye faida kwenu kwa sasa na kwa vizazi vyenu vya baadaye. Napenda nitangulize...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo mgombea wa Urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli yupo jijini Mwanza baada ya kuwasili jana ambapo yeye na chama chake wanatarajia kuzindua kampeni zao jijini humo kwenye...
19 Reactions
239 Replies
22K Views
Wale wafuasi wa CCM tunaomba mtuambie, ilani yenu ya chama inasemaje kuhusu ndege! Huwa nasikia sikia tu "ilani ya ccm", lakini binafsi sijawahi hata kuisoma. Huwa naona kama ni kijarida cha...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
CCM haifai kupewa kura na wananchi,viongozi wa upinzani mujikite kuwaeleza wananchi kuwa CCM imekosa viongozi waadilifu,waambieni kuwa CCM imevamia polisi,majeshi na vyombo vyote vya ulinzai na...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Mgombea Urais kupitia CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amezindua kampeni za chama hicho Mkoani Mtwara ambapo ameahidi kuboresha Huduma za Afya kwa wajawazito na watoto, kuimarisha Uchumi wa Baharini...
2 Reactions
57 Replies
8K Views
LISSU UMENISIKITISHA SANA, NILIKUWA SAHIHI KUSEMA UENGULIWE NA NEC. ONA SASA! Na, Robert Heriel Kipindi cha mchakato wa NEC kuteua wagombea watakaopeperusha bendera za Urais kupitisha vyama vya...
11 Reactions
129 Replies
14K Views
Wasalaam wana JF wote, niliwamiss sana kwa muda. Nimeeleza vema kwenye kichwa tajwa hapo juu. Ukiwa mkereketwa/mfuasi/mwanachama kindakindaki wa chama chochote cha siasa hapa kwetu Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Back
Top Bottom