Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea na Kampeni katika mkoa wa Geita mabapo mbali na kuomba kura ameeleza mafanikio kadhaa yaliyopatikana katika mkoa huo...
Kampeni za Uchaguzi mkuu kwa madiwani, Wabunge na Urais unaendelea nchini, kwa kila chama kunadi sera Zake kutafuta kuamininiwa na wenye mamlaka ya kutoa madaraka kwa serikali kwa mujibu wa Katiba...
Ni dhahiri shahiri kwamba kutokana na mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 zinazoendelea Upinzani unakwenda kuendeleza kushindwa vibaya kwa mara nyingine. Sababu za kushindwa vibaya uchaguzi...
MKINICHAGUA KUWA RAIS WA NCHI HII NITAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE "PROF.LIPUMBA" AKIWA BAGAMOYO
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini...
Jumatatu niliamua nipite daraja la Kigamboni kuelekea mjini. Nilipofika pale sehemu ya kulipia (Toll Centre) nikaona kuna picha za wanasiasa wawili zimebandikwa kwenye nguzo.
Hizi ni picha za...
Ndugu watanzania wenzangu,
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona siku ya leo.
Kwa kifupi sana, nadhani baada ya Tundu Lissukuona trend ya kampeni za Mh. Magufuli: Dodoma...
Mgombea Ubunge Jimbo la mchinga kupitia CUF, Mhe. Hamidu Bobali amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo mchinga
Mlezi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Manyara, Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya nne Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda amewataka watanzania waendelee kukiamini chama hicho kwa kuwapigia kura...
Na: Giantist McWenceslaus
09/09/2020.
Dodoma.
Habari za leo, ndugu wanabodi wenzangu... Tangu uhuru hata sasa, Tanzania imeendelea kuwa salama, kwa sababu ya kuwepo kwa viongozi wazalendo na...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU SHAMBULIO KWA MGOMBEA WA UDIWANI KATA YA TUNGI JIMBO LA KIGAMBONI
Ndugu Wananchi;
Uongozi wa Chama Cha Wafanyakazi Tanzania (Tanzania Labour Party-TLP) Wilaya ya...
Habarini wadau.
Kuna kitu kimekuwa kikinichanganya kidogo kuhusu kampeni za uchaguzi pamoja na sheria za upigaji kura. Ningeomba wadau wa siasa na pamoja na tume ya taifa ya uchaguzi kutupatia...
Ulikuwa mshindi halali kura za maoni lakini watawala wa juu wakakukata jina lako na kumuweka mtu wanayemtaka.
Kisha mliokatwa mkaambiwa muwapigie kampeni hawa mahasimu wenu kwa ahadi kwamba...
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan, amewataka wanachama waliojitokeza kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani wasikisuse chama baada ya kushindwa katika kura...
Kutoka Jarida la Kwanza:
Mgombea wa Chama cha Mapinduzi(CCM) nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais, Dkt John Pombe Magufuli amesema kuwa atazalisha ajira milioni nane katika...
SISI SIO WAJINGA
Ulipochukua tu madaraka ukaanza na kubomoa nyumba zetu katika bonde la Msimbazi. Bila huruma ukatuacha tumelala nje na watoto wetu. Ulidhani tutahama mjini lakini sisi bado tupo...
Ikiwa ni kipindi cha wagombea kunadi sera zao kwa wapiga kura kabla ya zoezi zima la mchakato wa kuwapata viongozi Wakuu wa kitaifa hapo Oktoba 28, Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United...
Wagombea wote (100%) walioenguliwa kwenye uchaguzi ni wa kutoka vyama vya upinzani tu. Maswali ya wananchi kwa tume yao ya uchaguzi ni:
1. Wagombea wote bila kujali vyama vyao ni watu...
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM katika mwaka huu wa uchaguzi imewashinda Chadema katika nyanja zote.
Mitandao ya kijamii
Hapa utaona ndani ya Jf Pro Chadema wamebakia na matusi na propaganda za...
Wanaforum, Amani kwenu!
Ilani ya uchaguzi ni mwongozo unaobeba mambo yote yatakayotekelezwa na Chama husika kwa faida ya wananchi kwa kipindi cha miaka mitano (Tanzania). Kwa maneno mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.