Mgombea Urais kupitia CHADEMA jana Jumatano alifanya "Press conference" na Vyombo vya Habari hapa nchini, akilalamikia kutomfanyia "coverage" yeye akiwa ni mgombea Urais toka chama kikuu cha...
Tumeshuhudia wanasiasa wakituahidi mambo mengi sana kipindi cha kampeni, laiti kama kwa miaka 15 iliyopita, ahadi za wanasiasa (Rais, Wabunge, na Madiwani) zingetekelezwa walau kwa asilimia 50 tu...
Huyu Tundu Lissu alipokuja hapa Tanzania na CHADEMA kumpa ridhaa ya kugombea ubunge kama njia ya kumpoza baada ya wao CHADEMA kupanda njama za kumshambulia ili waichafue Tanzania, amekuwa kama mtu...
Na Bwanku M Bwanku
Fursa za ajira ni eneo muhimu sana katika kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii ambapo jamii hususan vijana hupewa nafasi ya kuchangia utaalam wao katika kufanya kazi ili...
Askofu Josephat Gwajima amesema kuwa yule Bi. Kidude wa Chadema ni halali yake na kazi ya kumshinda ataifanya law hakika.
Amemueleza Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kuwa wasiwe na wasiwasi kwani...
Mapingamizi ya Wasimamizi wa Uchaguzi wa Kata yameitikisa Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, inayoongozwa na Mkuu wa Wilaya aitwaye Godfrey Mheruka.
Kati ya wagombea 23, kuna wagombea udiwani 12...
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CHADEMA leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya Uchaguzi October 28, 2020.
NA MWANDISHI WETU
JUMUIYA ya Watendaji Wakuu Vijana (The Young CEO Forum) wamemtaka Mgombea wa nafasi ya Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, kuacha mara moja...
Baada ya kusikiliza hotuba ya Magufuli akiwa Geita inasikitisha kuona anazidi kupotosha watu.
Anasema kwamba huu si wakati wa kufanya majaribio kwa kukichagua chama kingine, mimi napingana nae...
Na Debora C. Kiyuga✍🏽
Katika Sekta ya Madini, Serikali imeweza kudhibiti utoroshwaji wa Madini kwa kutunga Sheria ya kuyalinda na kuanzisha Soko kubwa la Madini. Kabla ya hapo Madini mengi...
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi.
Mkutano utarushwa...
Katibu mkuu wa CCM Taifa Dkt. Bashiru Ally anatakiwa kuwa makini katika harakati za kumteua mwakilishi wa CCM katika uchaguzi wa Oktoba mwaka 2020. Anatakiwa kuhakikisha na kumleta Mgombea ambaye...
Ule msisimko wa kampeni nzima za uchaguzi kwa kinyang'anyiro cha nafasi nyeti ya ofisi ya Rais leo haukuwepo kabisa, si tu katika mitandao maarufu ya kijamii, bali pia kutoka katika vyombo makini...
1. Sera zao ni za ushari, hila, fujo ghiliba za kubomoa na kutengeneza Tanzania ya machafuko kwani kwao amani tuliyonayo si kitu kwao isipokuwa tamaa za madaraka.
2. Wakati Wabunge wa Chama Cha...
Pia, soma Uchaguzi 2020 - Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020
UVUNJIFU NA UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU NI TATIZO KUBWA HAPA TANZANIA AZORY GWANDA ALIPOTEA HAPA KIBITI HADI LEO HAJULIKANI ALIPO"PROF.LIPUMBA KIBITI"
Uvunjifu na ukiukwaji wa Haki za binadamu...
Wanabodi, tulileta ushauri hapa JF sisi wana CCM tunaojitambua ni hatua gani za kufanya mikoa ya Kusini mwa Tanzania hasa Lindi na Mtwara. Tulishauri mikoa hiyo atumike Mama Salma Kikwete kuweka...
Katibu mkuu wa CCM amesema kama Membe anasema kilichomfukuzisha CCM ni nia yake ya kugombea urais basi agombee kupitia chama kingine na wakutane kwa debe.
VIDEO: Dk Bashiru asema kama tatizo...
HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.