“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16,
Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa...
Kama kuna Wapiga Kura ambao aina yao ya 'Maamuzi' wakati wa Kupiga Kura huwa naipenda mno ni wa Jimbo la Kawe. Yaani ukiwaona ni kama vile 'Malofa' fulani na unaweza ukadhani kuwa wapo na Wewe...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba Leo septemba 12, 2020 atafanya mkutano wa kampeni Leo Morogoro mjini.
CHAGUE CUF,
MCHAGUE PROF. LIPUMBA KUWA RAIS.
Salaam wana JF...
Jana tarehe 04.09.2020 nikiwa nimetulia sehemu nilibahatika kufungulia TBC1 na kukuta kampeni za Dkt. Magufuli akiwa mkoani Mara.
Muda wa alasiri, alikuwa Bunda, badae akapita...
Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi.
Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika...
Maalimu ni mjanja sana. Aligundua uchu wa CHADEMA wa kupata urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) kupitia mgombea wao Tundu Lissu.
Deal likapigwa kati ya Maalimu na Mwamba la...
Wapendwa watanzania wenzangu,
Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kikiomba michango kutoka kwa watanzania katika kukabiliana na changamoto mbalimbali...
Leo kwenye taarifa ya habari mmeonesha mkutano wa CHADEMA kwa muda usiozidi dakika moja! Mlitumia zaidi ya dakika tano kwa kuonesha mikakati ya Polepole na kumsaidia kuweka picha za mikutano...
Ndugu zangu,
Kuna mambo kadhaa ambayo yanaendelea katika uchaguzi huu ambayo naona ni hatari sana kwa mustakabali wa demokrasia yetu. Wagombea wengi sana wameenguliwa na tume kwa vigezo...
Pamoja na kuubana vilivyo upinzani kwa miaka yake mitano madarakani, haamini kuuona ukiwa na nguvu kwa namna hii hadi kuomba msaada wa wastaafu. Pamoja na kuuaminisha umma, tangu kuingia kwake...
Sina mengi ya kuzungumza lakini naomba TBC wapigwe marufuku kukanyaga tena kwenye mikutano ya CHADEMA.
TBC wapo hapo kwaajili ya kuhujumu mikutano, kwa wanaoangalia taarifa za TBC mtanielewa...
CHADEMA, mnapotumia msemo wa "sasa basi", ni vizuri msemo au kauli mbiu hii mkaichagiza kwa kusema,"enough is enough".
Anzeni na msemo huo wa kiswahili kisha ufuatiwe na huu wa kingereza kwani...
Watoto hasa wa shule ya msingi, vijana na wasichana wa shule za sekondari, wafanyakazi wa umma waajiriwa wa serikali wanalazimishwa kujaza vichwa kwenye mikutano ya CCM kampeni za urais uchaguzi...
Wakuu,
1) What a match [emoji119]!, Mpaka sasa CCM inabebwa na watu wenye experience ambao kipindi kama hiki ndio unajua uwezo wao. Wao kelele nyingi ziko kwenye mipango (strategies) kuliko...
Awamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,
Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kura zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo...
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa
Vijijini hana chake hata...
Nikianza na Kikwete, huyu mambo yote yalimvurugikia mwaka 2015 kutokana na kutokujiamini na uoga wake dhidi ya Lowassa, akaboronga na kupeleka nchi kushoto kwa kucheza kamari ya hatari sana na...
Kila nikikumbuka slogan hii huwa nawatathimini watanzania nashindwa kuwaelewa kabisa, je tumerogwa?
Mbona hatuhoji kama Tanzania hii ndiyo ya Viwanda tuliyoahidiwa au tungoje nyingine.
Najua...
Mnyonge mnyogeni haki yake apewe, Lissu leo amenigusa kwenye swala la lugha ya kufundishia. Jambo hili limekuwa mwiba kwenye elimu na maisha ya Watanzania miaka na miaka. Ni ukweli usiofichika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.