Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Tume waacheni CCM waangalie hali yao na sio mnawabeba,mnajua wananchi kwa kigezo cha uchaguzi walimchagua Magufuli fundi wa barabara mjenzi mahiri miaka mitano ya Uraisi kuwaongoza wa Tanzania...
16 Reactions
18 Replies
2K Views
Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa. Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana...
11 Reactions
64 Replies
4K Views
Kipindi hiki cha uchaguzi mengi yanasemwa na baadhi ya watu kuhusu maendeleo madogo yaliyofikiwa, mimi niwa muwazi tu kwamba ukilinganisha na yapata miaka 30 iliyopita tangu tuingie vyama vingi...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Binafsi kwangu inamtosha, tuwape wengine tuone. Sisi sote ni wamoja tuwape CHADEMA nao tuone. Kuna watu wachache wanasema uongozi haujaribiwi! Miaka yote uwa tunawateuwa viongozi wetu kwa kuwa...
20 Reactions
86 Replies
6K Views
å Ni majibu ya kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dr. Wilson Mahera Charles aliyoitoa jana alipokuwa anazungumza na vyombo vya habari. å Kwamba, baadhi ya wagombea katika mikutano yao ya...
38 Reactions
192 Replies
17K Views
Mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mh Membe ametangaza kuanza rasmi kampeni kesho 17/09/2020 na kwamba washindani wake wakae chonjo. Membe amesema anazo mbinu nyingi ambazo...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Ukiona kampeni za CHADEMA siyo siri zinasisimua. Naweza nisiwe hasa na sababu zinazoeleweka, lakini ukweli unabaki kwamba ni kampeni nzuri. Kuna tatizo la utovu wa nidhamu ninaloliona ambalo bila...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Ulinzi wa mtu na mali zake ni jukumu linaloanzia kwa mtu mwenyewe baadaye jamii na kisha vyombo vya kiserikali. Jukumu hili ni la msingi kikatiba, na kwa umuhimu wake naona ni vema Tume ya...
2 Reactions
3 Replies
965 Views
Nchi 15 kupitia Balozi zao hapa nchini zimeruhusiwa kuleta waangalizi wa Kimataifa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba, 2020 baada ya Balozi hizo kuwasilisha maombi na kufuata...
5 Reactions
45 Replies
6K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Nimetafakari sana leo, hasa nilipopitia magazeti ya leo tarehe 16. Sijaona gazeti hata moja lililoripoti tukio la kukataliwa na kuzomewa mteule wa CCM kule Kagera...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kupitia NCCR-Mageuzi, Ugin Mkinga amejitoa kwenye kinyang'anyiro Amesema amefikia uamuzi huo ili aongeze nguvu kwenye Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Ni kweli kuwa hatukuwahi kuwa na sakata la kuengua enguana kwenye chaguzi chaguzi hizi tokea tupate uhuru. Pia, ni kweli kuwa engua...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
"NCHI HII INAHITAJI RAIS MCHUMI NA MWENYE HURUMA NA WATANZANIA MKINICHAGUA KUWA RAIS NTAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE," PROF. LIPUMBA, NZEGA - TABORA Ukuaji wa uchumi wa Tanzania...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, Sikutegemea kabisa Chadema waitishe mikutano ya hadhara na kuruhusu mikusanyiko kama inayo endelea sasa, Wote tunajua kuwa hawa ndugu zetu walikuwa wanapiga mayowe kuwa Convid19 itatumaliza...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Amesema: 1. CHADEMA wataisaidia ACT-Wazalendo kushinda Zanzibar 2. Baada kupona akiwa Ubelgiji ametembea sana na kwamba Tanzania ya Magufuli haina rafiki hata mmoja nje eti Mkapa hakuzikwa na...
21 Reactions
108 Replies
9K Views
TUNAHITAJI KUBORESHA SEKTA MUHIMU ZA UCHUMI NA KILIMO."PROF.LIPUMBA" NDALA NZEGA VIJIJINI Historia ya maendeleo ya uchumi duniani inaonesha kuwa maendeleo ya viwanda hutanguliwa au kuambatana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mgombea wa RAIS Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Bi Queen Cuthbert Sendiga aliwaambia wananchi wa PEMBA endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha wananchi wa PEMBA watanufaika na zao...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
å Leo tarehe 16/9/2020 nimejikuta natazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu kwenye TV kupitia channel ya TBC. å Taarifa ya kwanza ilikuwa ni kuripoti matukio ya kampeni ya uchaguzi mkuu...
77 Reactions
102 Replies
9K Views
Hali ni tete kwa mgombea wetu wa CCM hapa katika Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi. Katambi ambaye alikataliwa na 'Wajumbe' wakati wa kura za maoni ndani ya CCM, alipitishwa 'kibabe' na...
50 Reactions
79 Replies
10K Views
Katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 kila Chama cha Siasa nchini kimetoa ahadi ya Bima ya Afya kwa Watanzania. Hii ni hatua kubwa sana kwani miaka 5 iliyopita ni ACT Wazalendo peke yake ndio...
1 Reactions
2 Replies
898 Views
Back
Top Bottom