Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Hili Jambo la wagombea kutowapa wananchi nafasi walau tano za kuwauliza maswali katika kampeni zao ni uwoga wao au haipogo hi kitu kwa mujibu wa Sheria za kampeni?
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Ukilinganisha mipangilio ya kampeni ya CCM na CHADEMA utaona ni namna gani CHADEMA wameelemewa. CCM inachanja mbuga kwa haraka sana na ndani ya siku moja CCM ina "Injini" Kubwa za kati na ndogo...
18 Reactions
122 Replies
7K Views
Baada ya kuingia madarakani serikali ya awamu ya tano mwaka 2017 ililitangazia Taifa na dunia azma yake ya kurekebisha sekta ya madini nchini hususan dhahabu. Ikaunda tume Mbili za Osoro na...
26 Reactions
64 Replies
5K Views
Amani kwako. IIfahamike kuwa kwa sasa mgombea wa CCM ndg John anatumia nguvu kubwa kwenye kampeni zake huku akijua alio nao ndani asilimia kubwa hawana urafiki naye. Kuna wana CCM wengi...
12 Reactions
28 Replies
3K Views
Lazaro Nyalandu ni kama ameiua CCM Mkoa mzima wa Singida maana hata wakati Lissu akiwa nje ya nchi kwa matibabu, Mh Nyalandu aliendelea kuifyeka CCM bila huruma. Mpinzani wake wa CCM anaitwa...
43 Reactions
100 Replies
13K Views
TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF."...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mzee Lukanga anazungumza mambo magumu kwa njia na mifano rahisi kueleweka. Anafafanua masuala mazito kwa namna ambayo msikilizaji hawezi kusahau. Wakati mwingine kampeni za siasa hazihitaji watu...
8 Reactions
4 Replies
2K Views
Mh.Lubeleje kaifanyia mengi Mpwapwa nimemjua tangu mwaka 2004 miaka kumi na NNE iliyopita akiwa mbunge Ikiwa ataamua kustaafu kwa hiari yake basi mtu sahihi kukalia nafasi hiyo ni mtoto wenu...
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mzee wangu Membe ulisafiri kwenda Dubai falme za Kiarabu kwenye vikao vyako vya kila mwaka,jamii ya kitanzania ilikusubiri kwa hamu ili kuanza kampeini katika maeneo mbalimbali nchini.Umerudi...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Moja kwa moja madani. Aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chadema, amedhulumiwa pesa zake kiasi cha tsh 45mil. Awali aliahidiwa 20mil akazikataa, dau likapanda hadi 30mil...
27 Reactions
63 Replies
5K Views
Najaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni. Nautafuta Ubeberu wake siuoni. Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa. Eti oooh, anatumika...
63 Reactions
100 Replies
10K Views
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Magufuli ameweka bayana sababu za aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Juma Kapuya kukatwa na Kamati Kuu ya CCM ingawa aliongoza kwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu leo tena yule Mgombea Urais pekee wa Tanzania asiye na kashfa yoyote ile anaendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Rukwa na Katavi , ambapo itapigwa mikutano minne na mkutano wa Mwisho...
37 Reactions
114 Replies
18K Views
Mh Rais John Joseph Pombe Magufuli natumaini mpaka sasa unashangaa jinsi Wana Kigoma tulivyo kukarim. Sisi wana Kigoma tuna kero nyingi Sana Kigoma kwani kusema kweli Kigoma ni Mkoa ambao...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Amani iwe nanyi. Tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu, ukiacha Mgombea Urais wa CCM rais Magufuli anayetetea nafasi yake ananadi vizuri ilani ya chama chake, Wagombea wa vyama...
13 Reactions
60 Replies
6K Views
Zaidi ya bilioni 382 zitatumika kwa ajili ya uchaguzi, bado vyama kama CCM vinazidi kutumia pesa nyingi tu kwa ajili ya kampeni,wapinzani wapo hoi hawana hela za kampeni. Hizi pesa zingetumika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi nawashangaa sana hasa vijana wa CCM tuliokaa kimya tukimwacha mgombea wetu anajibizana na mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu. Hivi tunaelewa maana ya hili? Mnaelewa mitego anayotengeneza Tundu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Vyombo vingi vya habari viliacha kabisa kuandika au kutangaza habari za mikutano ya kampeni ya Tundu Lissu baada ya kuona hawaoni waandike nini kwani hanadi sera Sasa Kitengo cha habari cha...
11 Reactions
74 Replies
5K Views
Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo...
31 Reactions
148 Replies
21K Views
Back
Top Bottom