Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema vyama vya Upinzani nchini vimekubaliana kumuunga mkono Mgombea mmoja wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania na pia, kwa upande wa...
47 Reactions
148 Replies
14K Views
CCM mgombea wake kazungumzia ndege,barabara,stigraz,sgr na meli . Ningependa kusikia pia akizungumzia mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja na effect zake zinaonekana ndani ya muda mfupi...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi kama mzee mjuvi wa mambo najua umuhimu wa saikolojia kwenye mapambano. Bondia akiingia ulingoni huku anajua anaenda kushindwa tambua huyo hayuko sawa kisaikolojia. Maana atafanya vituko...
5 Reactions
71 Replies
5K Views
Kwanza nikiri wazi kwamba mtaji wa siasa ni maneno matamu, lakini siasa ni adui mkubwa wa ufahamu na nirafiki wa shetani, mwanasiasa si wa kumwamini 100% kwa sababu siasa ndio chanzo mabaya yote...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wapinzani kwasasa hawana 'hoja' wanaona ilani yetu ya 'CCM' ni 'nzuri' kila siku wanaisoma kwenye mikutano yao iwe ni kwa kuiba hoja au kwa kuponda baadhi ya zilipo kiufupi saivi wapinzani...
19 Reactions
75 Replies
7K Views
Ni bahati mbaya mikutano ya CHADEMA na ACT wanaoulizwa maswali ni Wananchi waliokuja kuwasikiliza badala ya wananchi kuwauliza wao maswali. Kwa kuwa siku bado ningefurahi kama kuna atakayewauliza...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ili kiongozi aweze kuleta maendeleo katika taifa lake ni lazima asiwe mbinafsi. Maana kuwa na sera nzuri au ilani ya chama nzuri sio sababu ya kuleta maendeleo. Tanzania ni nchi ambayo imepata...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Lissu na CHADEMA wamekuwa wanapinga wazi uwepo uwanja wa ndege Chato ambao ni Mji wa Geita. Wanaona wana Geita hawastahili kuwa na uwanja wa ndege pamoja na kuchangia Kodi mabilioni ya pesa za...
10 Reactions
82 Replies
8K Views
Mimi kama wengine, na kama mgombea pinzani anavyopotosha, mwanzoni nilidhani sera ya majimbo ni ya kufanya maeneo ya watu yajitegemee kikanda au kikabila. Kumbe maana yake ni kuwa (1) Rais...
21 Reactions
42 Replies
5K Views
Kumekua na kauli nyingi sana hasa kipindi hichi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020 kutoka kwa watu mbalimbali, taasisi za kiraia na kidini, chama na vyombo vya dola pia vikihubiri na kusisitiza amani...
2 Reactions
5 Replies
964 Views
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amewataka wagombea wa vyama vya siasa kuhakikisha kampeni zao hazivunji sheria kwa kusema uongo dhidi ya chama au mgombea mwingine. Nyahoza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Lisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Nimeipitia kwa mhutasali rasimu ya jaji warioba, Ni nzuri na imebeba mawazo halisi ya wananchi, nikagundua, ila za vyama makini vya upinzani vimekopy KUTOKA rasimu ya Jaji Warioba. Nashauri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sote tu mashahidi ya kwamba cheche za hoja zenye mashiko ya nguvu na zikishadadishwa na mantiki za kimdahalo, na hata kuibua mijadala yenye tija ktk kuhamasisha na kuwalazimisha makada wa CCM...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Hakuna ubishi kwamba pamoja na kubaki siku 36 kuhitimisha kampeni na kuacha zoezi la upigaji kura kufanyika mgombea ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya CCM Dkt. Charles Kimei amekuwa kinara wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ninachojua mimi kura ni siri ya mpiga kura, kura ni haki ya mpiga kura, kura sio haki ya mgombea kuwa ataidai kwa lazima, kuwa asipopigiwa atawaadhibu wapiga kura. Mgombea wa CCM anadhani...
20 Reactions
70 Replies
7K Views
Tundu Lissu alisema ajira za walimu hazipo. Magufuli akatoa tamko la kuajiri walimu 13,000. Tundu Lissu alisema Magufuli anatoa pesa kwenye kampeni hivyo ni rushwa. Magufuli alipokuwa Kigoma...
26 Reactions
48 Replies
6K Views
Mgombea Urais wa Chama cha ADC, Queen Cuthbert Sendiga Leo ameendelea na kampeni zake katika Wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga, Kata ya Mabanda (Misima). Katika mkutano huo, amewaahidi wananchi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom