NIKIWA RAIS NITAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI,KUFANYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI"PROF.LIPUMBA"
USHETU,SHINYANGA
Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana.
Kwa mujibu wa Ripoti ya...
NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NIUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA"
USHETU, SHINYANGA.
Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki...
Mwanzo Mimi nilikuwa namkubali Magufuli lakini hizi hapa ni sababu ambazo zinanifanya nimpe Rais wangu Lissu kura
1: Mpaka sasa hivi hamna aliyejibu hoja za Lissu kwa ufasaha!
2: Magufuli...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, kupitia mtandao wa twitter,ametaka watu kupuuza tangazo linalodaiwa kutolewa na chama chake, tangazo linaodai kuwa kampeni za Mgombe Urais wa CHADEMA...
Watu wamechimba sana historia ya Lissu na kutafuta jambo lolote la ukosefu wa uadilifu wamekosa.
Zaidi wameambulia kujitoa kwake kutetea haki za watu kwa kujitolea kwa moyo mkunjufu kabisa.
Watu...
Zipo taarifa kuwa baada ya Tundu Lissu kutaka tume ipeleke barua kwake akiwa Serengeti tume imemtuma mtumishi mwandamizi akiwa amepakiwa kwenye pikipiki kupeleka barua hiyo.
Taarifa hizi zinazidi...
Tundu Lissu sio muumini wa Muungano wa Serikali mbili. CHADEMA sio waumini wa Muungano wa Serikali mbili. Muulizeni Lissu anataka kuwa Rais wa Muungano upi??
Ni hivi; tunatafuta Rais wa Jamhuri...
Wote tunaona namna mambo yanavyoenda hovyo sana katika kampeni za mwaka huu. Kampeni hizi hazina uhuru wala usawa kwa vyama vyote.
Vyombo vya habari vimekuwa vikitangaza habari ya chama tawala...
NEC hivi kweli hamuoni yanayoendelea katika nchi hii kwenye huu uchaguzi na kampeni?
1. Mwiteni mgombea URais wa CCM Kamati ya Maadili ahojiwe na yeye.
Kama kweli NEC mmesheheni wanasheria...
Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.
Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe ambaye anakabiliwa na...
Harmonize amekuwa aki perform wimbo wake wa UNO mbele ya Magufuli kila mara
Kwenye wimbo huu unaozungumzia kiuno (Uno) Kuna mstari unaosema 'Si ndio lile Gwajima alimmwagia kondoo'
Akimaanisha...
NEC Imekuwa mbele sana kujipendekeza kwa CCM na kuanza kujadili hoja badala ya kuwaaachia vyama vishindane. Vile vile wana toa miongozo ambayo haiwahusu ya kitu gani au agenda gani ziongelewe...
Kifungu cha 24 kifungu kidogo cha 4 kinaeleza kuwa; Iwapo Msajili wa Vyama vya Siasa ataridhika kuwa mgombea ambaye yeye mwenyewe, wakala wake au chama chake cha siasa kimefanya vitendo...
Huu hapa ni mkutano wa kampeni za Mgombea Ubunge wa CHADEMA Mhe. Cecilia Pareso jimbo la Karatu, kwa kadri ya macho yako unadhani kuna haja ya Mgombea Urais wa CHADEMA kwenda kufanya kampeni...
Mgombea wa ubunge kwa tiket ya CCM, Charles Kimei ana wakati mgumu kushinda jimbo hilo baada ya CCM kugawanyika, Inock Koola Zadock, mtoto wa Tajiri wa Kimarangu Mzee Koola (Mmiliki wa makampuni...
Nakipenda chama changu (CCM), lakini kinaniangusha pale tunaposhindwa kuzijibu hoja za wapinzani wetu na badala yake tunawalazimisha kutusifu na kuonesha nyuso za ucheshi, bashasha na tabasamu...
Kabla hujaanza kampeni, nchi ilikuwa imekata tamaa. Watu walikuwa wamekata tamaa wakijiuliza ni lini ukombozi wao utakuja. Nchi ilikuwa kilio kila mahali si wa CCM, CHADEMA, CUF wala ACT.
Ugumu...
Aisee haya mambo eti ya nunua nunua kwanza yanaikuza bure Chadema, unajikuta umenunua garasa halafu linakuwa replaced na CHUMA!
Emb anzia Momba, Sumbawanga mjini, Mbeya mjini, Iringa mjini...
Huu ni ushauri wangu wa dhati na wa kweli kwa Rais Magufuli na CCM wote. Magufuli aache kupiga kampeni.
Nasema hivyo kwa sababu naamini kuwa kadiri anavyozidi kupiga kampeni wapo wapiga kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.