Akiwa mkoani Ruvuma, Manispaa ya Songea mjini akiwahutubia maelfu ya watani zangu wale ambao ukimwachia mke wako dakika mbili ujue imekula kwako Zitto zuberi Kabwe amesisitiza lengo ni kuiondoa...
Mwaka huu wa uchaguzi tunashuhudia kampeni za uchaguzi zikiendelea kushika kasi huku upande wa upinzani ukiwa na hoja imara zenye kukosoa sera za kimazoea za chama tawala. Nasema ni sera za...
Wacha CCM wazungumzie sera mpaka washikwe na presha, huku upinzani ni kampeni za kuisaga CCM na kuonyesha uovu wake wote na hawastahili kuongezwa hata dakika moja.
Waende mitaani na sera zao za...
Lissu akiwa Sumbawanga kadai kuwa wakina mama wajawazito wanatozwa tozo mahospitalini pindi wanapojifungua.
Kuwa mama akijifungua mtoto wakiume anatozwa tozo kubwa kuliko aliejifungua mtoto wa...
Dkt. John Magufuli, mgombea urais kupitia CCM amesema akichaguliwa atatuma Tsh milion 5 ili kujenga madarasa ya shule ya msingi Ulanga ambayo mwanafunzi aliyekuwa kwenye mkutano wa kampeni alitaja...
Kwa mujibu wa GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA la Tarehe 5 Juni, 2020 SEHEMU YA TANO Ukururasa wa 14. Angalia Kiambatisho.
5.2.2 Kamati ya Kitaifa
Itakuwa na mamlaka ya kusikiliza...
Kwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize...
Kuna wakati hapo nyuma, ambao baadhi yetu tulitilia Shaka Sana organization ya Chadema ktk Mambo kadhaa wakati huu wa kampeni. Kuna Mambo mengi wamefanyia marekebisho nakubali na Mambo yako sawa...
Huu hapa ni mkutano uliopigwa leo kwenye viwanja vya Mapofu , Wingwi kisiwani Pemba , Maalim Seif si mtu wa kawaida hii ni Taasisi , haiwezekani kwa mtu wa kawaida kuungwa mkono kwa kiwango hiki .
Hivi karibuni chama cha NCCR-Mageuzi kilizindua Ilani ya Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambayo kiujumla wake ilibeba ajenda takribani 10.
Ajenda hizi ni pamoja na:
1. Muafaka wa Kitaifa
2. Katiba...
Kwa mujibu wa katiba ya nchi na kwa mujibu wa sheria za uchaguzi, Tume ya Taifa ya uchaguzi ndiyo yenye mamlaka na dhamana ya kuendesha na kusimamia chaguzi za wabunge na rais nchini. Katika...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, anatarajia kuongea na wananchi wa Kigoma mjini hii leo Oktoba 01, 2020.
Rais Maganja...
Leo Rais Magufuli amefika Vwawa mkoani Songwe katika mkutano wa kampeni, pamoja na mambo mengine Rais Magufuli aliongelea Songwe kama sehemu ya mwisho kupewa hadhi ya mkoa hivyo ataujali kama...
Mgombea urais wa JMT ndugu John Magufuli muda mfupi ujao anatarajia kufanya mkutano wa kampeni hapa Tunduma. Pamoja na mambo mengine yanatatajiwa kutoka maneno makali yasiyo ya kawaida kabisa...
Habari wanajf, kuna suala ambalo sio la kawaida limejitokeza siku ya leo pasipo kutegemea.
Na kama ilivyo kawaida kwa kamanda mimi huwa sifumbi wala sifichi matatizo, nayamwaga ili kuwepo...
Tumetangaziwa kwamba Tundu Lissu ameitwa kujieleza kwa nini anasema wataingia barabarani. Suala hili linachiambuliwa kisheria namna hii.
Katiba yetu inasema katika ugombea urais Tume...
Hii ni countdown maalumu kuelekea siku ya Uchaguzi mkuu Tarehe 28.10.2020.
Shamrashamra ni nyingi na kampeni zimeshika kasi maeneo mbalimbali ya nchi.Visa na vimbwaga havikosekani pia.
Ni...
Kampeni zinaendelea nchini na sasa Magufuli yuko Mbalizi amesimama kusalimia wananchi waliokusanyika barabarani akielekea Songwe. Baada ya kuongelea mengi pia ameongelea hali ya sekta ya maji...
Jimbo la Kalenga hakika limempata mkombozi, Jackson Kiswaga ni moja kati ya watu makini mno kuwahi tokea hapa jimboni kwetu, huyu ndugu Kiswaga alianza kushiriki moja kwa moja kwenye shughuli za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.