Hayo yaliyofanywa na CCM Mbeya na Magufuli ni Uzalilishaji na Ukiukaji wa Haki ya Mtoto.
Angalia huyu mtoto anavozalilishwa mbele ya umati huu. Badala ya Mtoto kuwa darasani amekodishwa na...
Kutenda kosa kwakuwa CCM inatenda kosa sio Kinga kwenye adhabu ya kosa ulilotena.
Kama CCM na wagombea wake Kuna kosa la uchaguzi wanalitenda njia sahihi ya kwanza ni kupeleka Tume au kwa msajili...
YAH: Upendeleo wa wazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika uchaguzi mkuu huu na kutumika kuwanyima wananchi haki yao ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa
Ndugu Mwenyekiti,
wakati Taifa lingali...
Hivi kwa mtazamo wako hawa polisi kwa mambo haya wanayoyafanya utegemee kesho watende haki kwa vyama viingine?
IGP Siro wakanye polisi wako wasiingize kwenye mitego ya wanasiasa.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma mjini kupitia chama cha NCCR Mageuzi ndugu Joyce Bitta Sokombi amesema endapo atapata ridhaa ya kuchaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ataanzisha mfuko...
Nimesikia chama kimoja kinazungumzia nchi kuigawa kwenye majimbo ya kiutawala na uendeshaji. Kwangu mimi kwa nchi ambayo imekuwa kwenye utawala wa mikoa kwa miaka zaidi ya 50 na kwa mfumo wa...
Tundu Antipas Lissu, amekuwa alisisitiza kuwa Kama watanzania watakuwa na Nia ya kupata katiba mpya, Basi 28/10/2020 atakaye mpigia kura atambue kuwa kura yake itakuwa Ni kura ya katiba mpya...
Historia ni mwalimu mzuri sana. History is good predictor of the future.
Kuna mgombea historia yake ni ya kushindwa tuu. Ushindi wake mara nyingi ni wa kufosi na kutumia nguvu nyingi. Huyu...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 utakuwa wa huru, haki na wenye kufuata katiba na hiyo ni pamoja na kuruhusu watazamaji wa ndani na nje ya nchi ambapo hadi...
Amani ni tunu yetu Watanzania kuipoteza ikatuponyoka tutalia kilio kikuu cha kusaga meno tangu mimba hadi wazee.
Kila mmoja aiombee Tanzania ipite salama kwenye kikaango uchaguzi mkuu. Amani...
GWAJIMA AZIDI KUHARIBU, DHARAU KWA BIBI KIDUDE NANI ATAZIVUMILIA?
Na, Robert Heriel
Mwanzo nilisema Gwajima ni Mbaguzi na mdini, sikuwahi kudhani anaudhaifu mwingine wa kudharau watu ambao hata...
Lissu na Lowassa ki utendaji, ki maadili, ki makuzi na ki umri ni watu wawili tofauti kabisa, Lowassa ana uwezo wa ukwasi Lissu ana uwezo wa akili 'genius'.
Lissu ni mwongeaji sio muoga, hana...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Jumatano Septemba 30, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Kaskazini...
Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila...
Habari wanajf, leo nipo hapa kuzungumzia baadhi ya wapiga kura wetu. Ni kweli ili tushinde uchaguzi tunahitaji wapiga kura wengi sana sana ila kuna baadhi inatubidi kuwakataa.
Kwa nini tuwakubali...
Yusufu aliinuliwa kuwakomboa familia ya Yakobo na janga la njaa.
Musa aliinuliwa kuwakomboa wana wa Israel kutoka ufalme wa Farao
Daudi aliinuliwa kumwangusha Mfalme Sauli
Daniel aliinuliwa...
Ukiwa kiongozi jitahidi Sana kutoongozwa na hisia au chuki. Watu wa Mpira wanajua jinsi ya kumfanya mpinzani awe na hasira ili akose utulivu mchezoni.
Unamkumbuka beki kisiki Juma Nyoso au...
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.
Chanzo: TBC
My take: Huu ndio...
Nasikiliza mahubili ya Mchungaji Katunzi muda huu hapa Upendo Radio kipindi ambacho kilirekodiwa siku ya ibada juzi.
Anasema Magufuli aritoa sadaka Corona ikatoweka kwahiyo atasimama na Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.