Kuna neno gumu sana kutamkwa na wagombea wa vyama wakiwa wanafanya kampeni, Kama wewe unaamini neno hili ni rahisi kutamkwa comment hapo chini kwa kuandika HAKI ITATENDEKA, KILA MGOMBEA ATAPEWA...
Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha kuwa kinamama wajawazito na watoto wachanga wanapata lishe...
Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.
Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi...
Kifungu cha 134 sura ya 345 cha Sheria ya Mikataba kinamwelezea Wakala kama mtu aliyeajiriwa kufanya kazi au kitu chochote kwa niaba ya mtu mwingine au kumwakilisha mtu mwingine katika shughuli...
Kila anaeiita Tanzania kwetu kuna vile anapenda iwe na atendendewe. Muda wako ni huu wa kusema kupendekeza, kushauri, kushawishi, kuonya, kutahadharisha, kulaani, na kulaumu na kuunga mkono yale...
Kunapotokea jambo linalohitaji kiongozi kujitoa au kushirikiana na wananchi ni pale panapokuwa na ushirikishwaji wa aina yeyote ile.
Kwenye kipindi kama hiki wanasiasa wengi wanakuwa na hofu...
Wanajamvi,
Katika sikia sikia zangu za sera na ahadi mbalimbali za wagombea katika uchaguzi wa mwaka huu ; kundi moja kubwa la "Wafanyakazi" (Umma na Binafsi) ambao ni walipa kodi wa uhakika hapa...
Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the...
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa na wadau wote kuheshimu Sheria na Taratibu za Uchaguzi kama zilivyoainishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi...
Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.
Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na...
Mimi mkazi wa Songea Kitai, nilikuwa naumia sana kuona katika eneo letu ndipo yanapatikana makaa ya mawe yanayolisha karibu viwanda vyote nchini, na mengine yanasafirishwa kwenda Rwanda, Uganda...
Hii ndio taarifa mpya inayovuma huko Iramba , kwamba Uwezekano wa Mwigulu Nchemba kurudi bungeni kwa njia ya kura ni kama haupo , Jessica Kishoa kishamkalia kooni , tangu njama za kumuengua...
Katiba yetu na sheria zetu zinatambua uwepo wa vyama vingi. Hivyo mgombea urais anayesema nikipata urais sitapeleka maendeleo kwenye majimbo yaliyo chagua wabunge au madiwani wasio wa chama chake...
Hivi macho yako yanaona kama mimi yanaona yanayoendelea CHADEMA? Chama kinachoomba ridhaa ya kuongoza Tanzania kwenye uchaguzi huu. Viongozi wa Chama hicho ni kama wamemsusia kila kitu mgombea wao...
Ikiwa kama umechoshwa na unyama unaotendwa dhidi ya binadamu nchini Tanzania ( RIP Lwajabe , pole Lissu ) , na ikiwa kama unakerwa na dhuluma dhidi ya wakulima , ikiwa unakerwa na rushwa na ikiwa...
Sifa ya kikatiba inadai mgombea awe na afya njema.
Swali la kujiuliza waliripotisha vyeti vya madaktari kwa ofisi za tume?
Je, huu mwenendo wa mgombea huyu kuwa na mapumziko mengi yanaashiria...
Tunajua ratiba ya kampeni zake ina-resume kesho tarehe 4/10/2020....
Aidha kuna hizi "tetesi" kuwa, kampeni zake ziko suspended kwa siku 7 hadi tarehe 9/10/2020 kama adhabu ya "kikiuka sheria za...
Akiwa huko Mihambwe Zitto amewataka wananchi wachague mtu mwenye uwezo wa kumshinda Magufuli.
Ndugu Zitto amewaambia wananchi kuwa lengo kuu ni kumshinda Magufuli na amewataka wananchi wasigawe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.