Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Patribas Katambi amechukuwa form kuwania kiti cha ubunge shinyanga mjini , patrobas katambi amekuwa mtiania wa 49 shinyanga mjini huku wanaitajwa kuwa na...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amesema mahakama imejipanga kushughulikia kesi za uchaguzi, endapo zitafunguliwa baada ya uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 28, mwaka huu...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiliyapitisha majina matatu kati ya wachukua fomu takribani saba waliogombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia...
Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni kuhusu uchaguzi huu. Hii pia imechangiwa na wengi wenu kunitumia PM kuniomba nitoe maoni yangu kuhusu mwenendo wa uchaguzi huu. Nimekubali...
Wakuu ni matumaini yangu kuwa mu buheri wa afya , nami ni mzima kabisa .
Naomba kuzama ndani ya hoja yangu juu ya Mgombea wa CHADEMA na ACT-Wazalendo mheshimiwa sana na mwenye ilimu kuwaliko...
Anaandika Askofu EMMAUS BANDIKILE MWAMAKULA....
TUNDU LISSU YUKO SALAMA KWA KIASI GANI?
Nayaandika haya kama Askofu! Ndiyo! Askofu aliye katika Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Kwa uzoefu na uelewa wangu hadi sasa Chadema wanafanya vizuri ukilinganisha na Chama cha Mapinduzi CCM, wanachotakiwa ni ku focus kwenye maeneo yafuatayo.
Wawe na tallying center zaidi ya moja...
Ukiona watu walivyofurahi mwishoni mwa hotuba ya Mgombea mwenza wa Nafasi ya urais kwa tiketi ya CHADEMA unapata hisia za matumaini ya ukombozi wa watu toka makucha ya CCM.
Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu ameomba viongozi wa dini wawaombe waumini wawachague wagombea kutoka chama...
Amini usiamini, Tanzania itakuwa kwenye taharuki kubwa ikiwa Tume itapuuzia kuendesha uchaguzi huru na wa haki.
Nikimaanisha kuwapa haki mawakala wa vyama vyote haki ya kuingia vituoni na kuwapa...
Ukipita mtandaoni kwenye kurasa zinazoendeshwa na vyama vya upinzani katika kipindi hiki cha kampeni, utaona mambo makubwa mawili.
Jambo la kwanza utaona majigambo kwamba wanapendwa na kila mtu...
Kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) inasema hivi nanukuu "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi itakayofuata mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu
Tumekuwa...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuptia SAU, Muttamega Mgaywa, amesema kama atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, atakuwa mstari wa mbele kulinda amani iliyopo...
Na Shilatu, E.J
Matendo anayoyafanya Mgombea anayeitwa Tundu Lissu si mapya, yalikuwepo na waliyoyafanya waliishiwa kupata kichapo kikali.
Ngoja nimkumbushe kidogo. Kama suala la wafuasi na...
LISSU; KIBURI SI MAUNGWANA!!
Imeandikwa, kiburi si maungwana na mtoto mkaidi hawezi kufaidi hadi siku ya Iddi. Tundu Lissu anaingia ktk kundi hili kwa kushauriwa vibaya au kukaidi ushauri mzuri...
Mfululizo wa marais wa nchi jirani wanaokuja kutembelea Tanzania, kipindi hiki cha kampeni una lengo la kumpigia kampeni Magufuli?
Ukianzia kwa Rais wa Uganda, ukaja kwa Rais wa Burundi na sasa...
Mgombea mwenza wa urais wa Tundu Lissu kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Salumu Mwalimu amemtaka Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa Mh. Nyahuza kutoingilia masuala ya ndani ya vyama.
Mwalimu...
Katika kile kilichoonekana watu kususa hotuba ya mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Zanzibar. Watu wakiwa wamevalia nguo zenye nembo ya CCM walionekana wakitoka huku mgombea huyo akiendelea...
Na Bwanku M Bwanku
Dirisha la kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani limefunguliwa na tayali vyama mbalimbali vya siasa vimeanza kazi ya kupita maeneo mbalimbali ya...
Mwenyekiti wa Chama cha United Democratic Party (UDP), John Cheyo amewaomba wananchi wa Jimbo la Itilima, kumpigia kura mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli kwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.