Ndugu Wana jukwaa wenzangu nawasalimu.
MAKULUMLA ndio hilikiwa ngome ya chadema kwa Jimbo la Ubungo lakini Toka kitila apate ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama Cha mapinduzi, wakazi hao...
Salaam Wakuu,
Kwenye Kampeni za Uchaguzi, Wagombea wanalazimishwa kuongea Kiswahili au wawe na Mkalimani pale penye ulazima.
Sasa inakuaje Lissu Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA...
1. Tusimamie haki, tutende haki na tuhamasishe watu wetu kutotumia nguvu inayo dhuru mtu, ua watu , kupoteza watu na kuharibu uchaguzi. Toka tulipoanza na tulipofikia kuna matukio mengi tayari...
Tumetoka kwenye ukata wa pesa
Tumetoka kwenye asilimia 15 ya bodi ya mkopo
Tumetoka kwenye mateso, utekaji na mauaji
Tumetoka kwenye ukosefu wa ajira
Tumetoka kwenye kusimamishwa fao la...
Mdau najua wewe ni shahidi.Kila makao makuu ya mkoa anapopita Mgombea wa CCM na mgombea mwenza kumekuwa na tabia ya kuachisha masomo wanafunzi na kusombwa kuhudhulia mkutano.
Hii sio haki kwani...
Mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania, kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, akizungumzia tukio la mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia CCM, Dkt Magufuli juu ya kauli zake kuhusu wanawake...
Ndugu zangu,
Maajabu hayaishi,ukisikia visingizio kuhusu karatasi basi ujue hadaa kuhusu kalamu maalum kupiga kura inakuja.
Hili si geni,ikifika kipindi karibu na kupiga kura lazima Chadema...
Hakukuwa na sababu ya msingi kwa MC, DJ Mbowe na Mwalimu kuwapa watu waliohudhuria tension zisizo na maana eti kuna maamuzi mazito yatokanayo na uenguaji wa wagombea wa ACT na CDM.
Taarifa...
NUKUU ZA NDUGU HUMPHREY POLEPOLE KATIBU WA HALMASHAURI KUU, ITIKADI NA UENEZI KATIKA MKUTANO WA HADHARA KATA YA MAKONGO JUU - KINONDONI
11 Oktoba 2020
1. "Nataka ndani ya hizi siku 7, mafundi wa...
MKINICHAGUA OKTOBA 28, KUWA RAIS WA NCHI HII NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA"
DODOMA- CHEMBA
Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote
Haki ya Elimu kwa kila...
Kila siku ipitayo kwa Mungu historia mpya ya nchi hii inaandikwa. Historia hii ina jambo la kijifunza ili kusaidia kujenga taifa kutokana na experience inayopata.
Napenda kuchukua nafasi hii kama...
Huyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi.
UNAJUA ALISMAJE?
Lissu...
Wameona Mbatia anatema cheche wamekata matangazo na kutupeleka kwa rungwe
Hivi wataacha lini huu uhuni?
Hakuna anaetaka kumsifia jiwe tena nchi hii
Update
Rungwe kwanza kuongelea juu ya ulafi...
Nimekuwa nikifatilia habari mbalimbali hususani habari za UCHAGUZI KUU NA WAGOMBEA WAKE. nimegundua ni ITV pekee wanaorusha habari sahihi zisizo elemea upande wowote ule(sijui azam).ukikosa...
Kushinda uchaguzi ni moja na kuwavuta kwako watu wengi wezekanavyo ili wawe upande wako wao na familia zao wakupe kura.
CHADEMA tumeiona ikiponda kuanzia Askari, wafanyakazi wa tume, viongozi wa...
Watanzania tumeendelea kuishi maisha ya kutojua kesho yetu kwa zaidi ya miaka 59 ya uhuru.
Barabara mbovu sana hasa huku kwetu vijijini,maji taabu sana huku vijijini,dawa hakuna, shule ndiyo...
Kuna tatizo kubwa lipo kwa mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo Mh.Boniface Jacob.
Siasa za upinzani sio za kushambuliana wenyewe kwa wenyewe, lakini anachofanya huyu kitapelekea tatizo kubwa kwa...
Sioni kama yule mwandishi NGULI, msomi wa uandishi Kisha akahamia kwenye wigo wa Sheria Bwana Pascal Mayalla Kama anaweza jibu hoja hizi.
Nyani Ngabu the Monkey of the nation anaweza kumung'unya...
Mara nyingi naegemea Upinzani Ila leo nawapongeza CCM kwa walivyoanza kampeni zao. Hawajawashambulia Wapinzani kwa kejeli au matusi kama ilivyokuwa mwaka 2015 ambapo Lowassa alitukanwa sana kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.