Binafsi mwaka huu 2025 nataka Kugombea moja ya Jimbo ambalo mpaka Sasa linaongozwa na Mbunge ambaye ni Waziri kwa Sasa na amedumu kwa miaka 25.
Wananchi Jimboni hawamtaki lakini juu huku yeye ni...
Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kwamba mwaka 2019 wagombea wao wengi walikatwa akiwemo mgombea wao mwenye degree 2 aliyeambiwa hajui kusoma na kuandika lakini mgombea wa CCM...
Wanabodi
Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election. https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x
Japo hakuna ubishi...
Feb 27, 2025 Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo
Zanzibar, Ndugu Ismail Jussa atazungumza na waandishi wa habari.Mahala: Ofisi Ndogo za Makao Makuu Vuga ZanzibarMuda: 5:00 Asubuhi...
Nakumbuka hata Pascal Mayalla amewahi kuliona hili
Hapo Arusha kwa mfano Hakunaga aliyemuweza Mrisho Gambo tangu akiwa DC wa Arusha, RC wa Arusha na Sasa Mbunge wa Arusha
Hata Shujaa Magafuli...
Wakuu,
Baada ya umoja wa walimu wasiyo na ajira naona umoja mwingine wa vijana wasiyo na ajira umeanzishwa, umoja huu ukiwa unahusisha kada zote nchini ili kupaza sauti juu ya maslahi yao.
Pia...
Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika.
Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC.
Kwenye hii video...
Ni masiliamali na mtanzania ndugu Tony kabetha ameongea mambo mengi sana mazito kuhusu sekta mbalimbali ingawa mimi nimevitiwa sana na hoja zake zilizohusu kilimo cha Tanzania.
Nikatamani sana...
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila...
Tulikwishakuwa omba omba wa dunia. Ikafikia hata kuomba na kupewa ikawa ni sifa ya mgombea urais. Kwamba eti awe anajulikana duniani. Baadaye marais wetu wakabweteka. Ukawa mtindo kusafiri. Kama...
SERA ZANGU KAMA MGOMBEA BINAFSI 2025
Nipeni kura zanu, mm nitawafanyia haya yafuatayo😝🥲😛😛Nichagueni mm tuishi kama Mamtoni
1. Gharama ya ufungaji wa umeme itashuka na kuwa 10,000 kwa kila...
===
Hatimaye sera za mzee Hashimu Rungwe Sipunda wa chama cha CHAUMA zaanza kupata utetezi wa kisayansi polepole baada ya miaka kumi kupita ( 10 )
Leo tutamuangazia Mkurugenzi Mkuu wa...
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio...
Nimesafiri kuvuka mikoa mitatu na Wilaya zaidi ya 5 kanda ya ziwa. Nilikuwa nimekaa mbele nikitathmini hali ya kisiasa na kiburudani njiani. Nilichogundua mawe ya msingi ya kuonyesha uwepo wa...
Huyu ndiye kiongozi ambaye wananchi wa Huko Kilongosi Mtwara, Wanamtegemea atumie akili yake kuinua sekta ya Viwanda na Kutafuta masoko ndani na nje ya nchi ili wauze korosho zao
Huyu Ndiye...
Kijana mzalendo David Nkindikwa amepinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chini ya Mwenyekiti wake ngazi ya taifa Tundu Lissu kuhusu msimamo wa "No Reform, No Election"...
Wakuu
Aliyewahi kupendekeza Hayati Magufuli aongoza nchi zaidi ya awamu 2 amerudi tena na mapendekezo ya Rais Samia kuongoza nchi kwa miaka 14 akidai miaka hii 4 ilikuwa ya Magufuli.
==
Ally...