Kama Hayati Magufuli angekuwa hai mpaka keo,hyenda Chato ingeshakuwa mkoa unaojitegemea
Kama tunavyofahamu hulka yake wala asingesubiri vikao vya wadau kutoa maoendekezo,angeamka asubuhi na...
Nini kimeifanya hii CHADEMA ya Lissu kuwa ya baridi hivi?
Hatusikii kama Kuna Chama cha upinzani
Binafsi sikutaka Mbowe awe Mwenyekiti wa Chama ila Sasa nimeanza kuamini kuwa Mbowe alikuwa...
Taifa lolote lenye mtazamo wa maendeleo linajivunia rasilimali watu wenye nguvu, akili timamu, walioelimika na wachapa kazi.
Natitizika sana kuwa sioni vijana wetu wenye sifa hizo. Wengi wapo...
Nimemsikiliza Mhe.Keissy, mbunge mstaafu, akihojiwa na kipindi cha One on One cha Wasafii Media ameleta hoja mpya kuwa Rais Samia kwa sasa kipindi cha miaka minne na nusu atakuwa anamalizia...
Kura za maoni ndani ya CCM ndio hasa mwanzo wa kuwapata Rais wa nchi, wabunge na madiwani wa maeneo mbalimbali nchini.
Ndio uchaguzi ambao unakuaga na mchuano mkali zaidi ya uchaguzi mkuu wenyewe...
Wakuu,
Huko Korogwe mkoani Tanga, Rais Samia akiwa anazungumza na wananchi amegusia na maslahi ya walimu ambapo alisema kuwa anaelewa vizuri changamoto za walimu kwa sababu pia baba yake alikuwa...
Hii tabia ya kila kitu mama mama mama inachosha kuchusha kuboa na kutia kinyaa.
Unakuta kijana ana nguvu zake safi tu badala achape kazi atoboe yeye anashabikia mtu ili apate kitu.
Ukiona WALIMU...
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza mbele ya wananchi wa Lushoto, Tanga leo Februari 24, 2025, amesema alimpiga kofi Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba, lakini akamfichia chakula kama ulivyo...
Wakuu,
Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda...
Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Tanga Februari 26, 2025
"Mmenipa heshima kubwa sana kuja kuweka jiwe la Msingi katika Msikiti huu wenye historia kubwa na ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Tanga mjini tarehe 26 Februari, 2025.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen Wasira amefika kutoa pole nyumbani kwa Waziri Wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa na kushiriki dua ya kisomo kufuatia kifo cha Baba yake...
October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.
Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae...
Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na...
Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====...
Kiukweli nilianza kuvutiwa na Paul Makonda ila hivi karibu hasa vita anavyompiga mbunge wa Arusha mjini kwa kweli naona ni ushambaa na pia hajakomaa.
Makonda ajitafakari matendo yake kwani...
Labda uwe mtu poyoyo sana wa kufikiri ndio hutaelewa hii move ya Raisi Samia ya kuanza kusema anawarudisha kina January Makamba kwa mama. Hii sio bure, na kama January anafikiri kwamba...
Wanabodi,
Ninakubali kwamba kuna mapungufu makubwa kwenye sheria ya uchaguzi, kwenye tume yetu ya uchaguzi na vilevile kwenye katiba yetu. Kurekebisha mapungufu haya kutahitaji washika dau wote...
Tanzania inatarajia kuingia kwenye historia mpya ya kisiasa ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu baada ya Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania (INEC) kuweka wazi utaratibu wa kuwashirikisha wafungwa kwenye...