Kwa uhalisia ni vigumu kwa Makame kusitisha zoezi la uhesabuji kura, kutokana na kuteuliwa kwake na kikwete. Hata amri ya kuchakachua matokeo inatoka kwa JK, Makamba na Kinana.
Ni bahati nzuri kuwa uchaguzi wetu hapa Tz umefanyika karibu kipindi sawa na ule wa nusu muhula (mid-term) wa marekani. Ni ukweli usiopingika kuwa umaarufu wa Barack Obama umeshuka na hivyo chama...
Uzoefu na uchungu nilioupata kupitia uchaguzi huu umenifanya niamue kuingia kilingeni, labda upinzani unakosa maandalizi majimboni, unakosa wagombea wenye uwezo na unakosa mkakati wa kisayansi...
Matokeo yanaendelea ...
Makadirio/Wapigaji 20,445,725
P. Mziray 65,276
J. Kikwete 3,544,673
W. Slaa 1, 234,254
I. Lipumba 589,451
H. Rungwe 13,809
M.MUHANYWA 9,740
F. Dovutwa 6,607...
Natafakari, najipa jibu kisha najichukia kuwa Mtanzania. Hapa tunashutumiana: mara CHADEMA TUMECHAKACHULIWA.....mara CCM tutaongoza milele... mara hata nyie mkipewa mtafisadisha. Lakini swali LI...
Taarifa ya matokeo ya Urais yanayotolewa na tume si sahihi......ni tofauti na yale yaliyobandikwa kwenye sehemu za uchaguzi, hili liko wazi kwani ushahidi upo! hata jana Lewis Makame alipoulizwa...
Kama tunavyojua kuna waangalizi kutoka nchi mbali mbali nchini waliokuwa wanafuatilia uchaguzi wetu uliowanyika juzi 31 oktoba. Kundi la waangalizi kutoka umoja wa ulaya wametoa ripoti yao hivi...
Nimeshangaa kuona Maalim Seif hakuapishwa jana. Nilidhani kuwa yeye kama makamu wa raisi ktk serikali ya umoja wa kitaifa alitakiwa kula kiapo. Naomba mnifahamishe wenye kulifahamu swali hili.
Watu kadhaa kwenye basi moja walikuwa wakijadiliana yaliyojiri Shinyanga; mabomu, vurugu, nk. Wanasema, '..kabla ya kupiga mabomu wanasea, WANANCHI LALA CHINI, NA BAADA YA HAPO MJIOSHE NA VITAMBAA...
Ndugu Watanzania wenzangu wapenda nchi yetu iliyotukuka!
Mungu wetu alipoiumba dunia hii alikusudia viumbe wake wote wafurahi bila kuoneana. Kwa kufuata msingi huu, katika katiba za makundi...
Duh hii nyomi ya Mwanza ilikomaa kinoma kwa matokeo ya Nyamagana kwa kweli Jk na Masha wangeiforce matokeo ingekuwa dhahama....Jionee mwenyewe kwa kweli iko siku haki ya Mtanzania itapatikana tu...
JIMBO LA LUPA CHUNYA LIMECHUKULIWA NA CCM, NA WALE MAAFISA WA UCHAGUZI WALIOTUHUMIWA KWA UCHAKACHUAJI NA KUSHIKILIWA NA DOLA WAMEACHIWA BILA MAELEZO YA MAANA :peep:
kuna mwenye matokeo ya mpanda kati ambapo makamu mwenyekiti wa CHADEMA anatetetea jimbo lake hilo au bado CCM wanachakachua au wamehairisha uchaguzi jimbo hilo?
WANAJF naombeni majibu.
tetesi nilizozipata kwa siku nzima ya jana kufuatia matokeo ya utata yaliyotangazwa kwa mizengwe ubunge kwa jimbo la kibaha mjini ni kama ifuatavyo:
kasheshe ilianzia kwenye kura za maoni za...
Leo TBC Wameanza rasmi vipindi mfululuzo vya kuwaandaa wananchi kuyakubali matokeo....kwa mtu aliyesomea mawasiliano atagundua pia kuwa kampeni yao inahusisha kuonesha image mbovu kwa vyama vya...
NEC itabidi wakumbuke kwamba "government of the people, by the people, for the people, shall not perish from the earth."
Nguvu ya UMMA ni shuguli nyengine kabisa.....hakuna mtu anayeombea...
KWELI MWAKA HUU NIMESHUHUDIA MENGI YA KUSTAJAABISHA WANACHAMA WA SISIEM WALIKUWA WAMEJUA KUWA WAMESHINDWA VIBAYA UCHAGUZI HUU NA HIVYO WALIKUWA HAWASHEREKEI KABISA MPAKA MAMBO YALIVYOWEKWA SAWA NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.