Wakati huo huo, watu wawili akiwemo msimizi mmoja wa uchaguzi kutoka kata ya Segerea wanadaiwa kukamatwa na nyaraka kadhaa za tume ya uchaguzi, ikiwamo mihuri nje ya kituo cha kujumlisha kura cha...
Humu katika JF kuna baadhi walikuwa mawakala wa vyama wakati wa mchakato wa kura.nimefanikiwa kuona nakala za matokeo walizopewa mawakala baada ya kuzisaini.Matokeo yalibandikwa pia kwenye...
Watanzania ni watu wanaopenda saana kupiga soga. Na hakuna kipindi ambacho michapo huwa mingi mitaani kama kipindi cha uchaguzi. Kwa bahati nzuri, kampeni za kuwania uraisi,ubunge na udiwani...
Can you imagine being a Chairperson, Director or a commissioner For NEC? what will happen after the current regime of Fisadis is out? People will not respect them neither their offspring. It is a...
Ndugu zanguni wana JF,
Mimi kama mtanzania nisiekuwa na chama sina budi kuchukua fursa hii kuwapongeza wananchi wenzangu kwa uvumilivu mlioonyesha katika kipindi kigumu cha uchaguzi hasa matukio...
MAWAZIRI wakuu wastaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jaji mstaafu Joseph Warioba, pamoja na mwanadiplomasia wa Kimataifa, Dk Salim Ahmed Salim, kwa nyakati tofauti wametoa maoni...
NINASHANGAZWA NA USHINDI WA KISHINDO ALIYOUPATA BW. ROSTAM ABDULASUR AZIZI HUKO IGUNGA. NI KWAMBA JAMAA AMESHINDA BILA YA KUFANYA KAMPENI YOYOTE HAPO IGUNGA. UPINZANI ULIOONYESHWA NA CUF ULIKUWA...
Wamarekani wameamua kuiangusha serikali za mitaa za Chama cha Obama, na wanaahidi Obama kutorudi madarakani kwa sababu ameshindwa kuwatimizia alivyowaahidi...! Iwapo watanzania tumemchagua JK kwa...
Jamani kweli inashangaza sana...............Pamoja na TBC1 kupitisha bango la kuwa NEC inaendelea kutangaza matokeo ya Uraisi sasa TBC1 wamesema haitaendelea kuonyesha zoezi hilo likiendelea kwa...
Source: Mwananchi Thursday, 04 November 2010 08:55
Exuper Kachenje
TIMU ya Waangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu (Temco) imetoa tathmini yake ya awali kuhusu uchaguzi huo uliofanyika...
MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu ulioanza katika ngazi ya vyama kwa kura za maoni katika Chama Cha Mapinduzi (CCM), yamewaondoa mawaziri 10 katika nafasi za ubunge ambazo ndio kigezo cha kuteuliwa katika...
Source; Tbc Taifa.
Kupitia taarifa ya habari iliosomwa kupitia Tbc1 Taifa, Kamanda Kova amedai kuwa kuna
Vijana ambao wanarubuniwa kwa kupewa Pesa na wana siasa wasioitakia mema...
Maono yangu miaka mi5 ijayo:halmashauri zilizoleta mabadiliko na kutwaliwa na chadema zijiandae kufunga mkanda kwani iwapo CCM itashika dola basi ni wazi itatumia mbinu zote chafu ili kuonyesha...
Nimemsikiza kova akilamba miguu ya mafisadi kwa mtindo wa "mtumikie kafiri................"
Hajui uchungu tulio nao kwa kuporwa haki yetu.
Mimi nina mfano halisi: Makongolo Mahanga siyo mbunge...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) jijini Mwanza kimeshinda jumla ya kata 11 kwa nafasi ya udiwani kati ya kata 19 zilizoshiriki katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Kwa upande wa CCM...
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na matokeo ya Urais ambayo Nec inatangaza hayaendani na yale ya forms za mawakala hiki ni kitendo cha aibu na ni dhambi kubwa sana, chombo hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.