Tume ya uchaguzi Tanzania yakataa dai la upinzani.
DAR ES SALAAM
Tume ya taifa ya uchaguzi nchini Tanzania imelikataa dai la chama cha upinzani kuhesabu upya kura, kwa sababu wanadai kumekuwa...
imeandikwa' yeyote anayeunga mkono ugaidi naye pia ni gaidi' kitendo cha ccm kuiba haki ya watu ni zaidi ya ugaidi. lakini kwa kuwa wabunge wa chadema wameishasema kura za wananchi zimeibiwa na...
Good day all,
Jamani, tuandikeni na kupambanua kisiasa, yale yanayofanya tuonekane 'great thinkers', tukumbuke kuwa ni watu wengi wangependa kila siku kuwa nasi kwa forum yetu. Let us try to...
Nampongeza Shein kwani najua kinachokwenda kufanyika kule Zenj,, na kama tusipo angalia watatupiga gape siyo kwasababu Zanzibar ni ndogo bali kwasababu ya selikali ya mseto..
Hongera sana Shein...
mgombea wa ubunge kwa tiketi ya ccm stephen masele shinyanga aemtangazwa kuwa mshindikwa kupata kura 18570 fdhidi ya mgombea wa chadema philip shelembi aliyepata kura 18569
Tofautiyake ni kura...
Nimekuwa nikifatilia matokeo ya urais kwa makini,kuna mambo mengi yametokea,kama kuaribu kura za dr slaa,wizi wa kura,mpaka ikafikia watu waliopiga kura hawakuvuka aslimia 30,ikiwa ina maana kuwa...
Waheshimiwa wana JF na Watanzania Makini:
Nimeumizwa vibaya sana moyoni mwangu kutokana na mkao na mwenendo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa jinsi ilivyofanyika NGUZO ya kati ya CCM katika...
Thursday, 04 November 2010
Exuper Kachenje, Mwananchi
TIMU ya Waangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu (Temco) imetoa tathmini yake ya awali kuhusu uchaguzi huo uliofanyika Oktoba31, ikionyesha kuwa...
Tuseme kuwa Jk atakuwa mtawala wa Tz. kwa kipindi cha 2010-2015.
Nimetambua kuwa Tanzania tunajihangaisha kufanya uchaguzi ili kupata viongozi kumbe Tanzania hatuna viongozi bali Watawala. Hali...
Wednesday, 03 November 2010
Elias Msuya
MWANGALIZI mkuu wa wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya Ulaya, David Martin amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu...
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kusitisha mara moja kutangaza matokeo ya urais kwa madai kuwa...
Ni ukweli uliyo dhahiri kuwa zoezi zima la uchaguzi liliendeshwa kwa njia ambazo zinaonekana kukipendelea chama tawala na kwa sasa kilichobaki ni kwa sisi watanzania ambao tunataka kutoka kwenye...
Katika mahojiano kati ya BBC na Dr. Slaa leo jioni Raisi wetu Mtarajiwa Dr. Wilbard Slaa ametuhakikishia ya kuwa ameshinda Uraisi kwa kura zaidi ya milioni 15.........
Akitoa mfano wa...
Natafakari, najipa jibu kisha najichukia kuwa Mtanzania. Hapa tunashutumiana: mara CHADEMA TUMECHAKACHULIWA.....mara CCM tutaongoza milele... mara hata nyie mkipewa mtafisadisha. Lakini swali LI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.