Leo jioni, mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Rajabu Kiravu aliulizwa maswali na waandishi wa habari na badala ya kujibu maswali vizuri, alionekana kama anajibu kwa jazba. Moja ya maswali...
Jamani mi naona hii NEC inakazi ya Ku-eliminate badala ya kusimamia election. Basi wajiweke wazi kuwa wao ni Elimination committee na kazi yao kuu ni ku-eliminate wale wanaofaa kutokana na matakwa...
Kama binadamu naamini makame atajiuzulu kwa vurugu anazo sababisha yeye na tume yake iliyo chaguliwa na ccm, kwani mpaka sasa kuna wa2 wamesha uwawa, na atapata adhabu hiyo mpaka mwisho wa maisha...
Napenda kutoa masikitiko yangu kwa CCM, JK na NEC kwa kitendo cha kinyama na ukiukwaji wa haki sawa kwa watu wenye ulemavu kupewa fursa ya kuchaguliwa. kitendo cha kumpora jimbo dada huyu...
Imenilazimu niongelee hali ya siasa hapa tanzania kwani kuna haya yanayonitatiza, nami naamini ndani ya jamvi hili nitapata kuelimishwa ipaswavyo.
Miezi ya hapo kati maalimu seif sharif hamad...
Je ni bora kupinga matokeo kabla ya kutangazwa na tume au ni vema kunyamaza kisha kulalamika wakati rais kesha tangazwa na kuapishwa? kwa maoni yangu naona ni bora kulalamika na kuonyesha kasoro...
Katika mkutano wake na waandishi wa habari Dar leo alipoitaka NEC iache kutangaza matokeo yaliyochakachuliwa ya Urais, Willbrod Slaa, alitoboa siri kuwa Mpendazoe alipata ushindi wa kura 56,962...
Katika kipindi kilichopita cha kampeni za vyama, kila mgombea alijinadi kwa sera zake ikiwemo CCM ambao walitoa ahadi za kufa mtu ili mradi tu wapate kura za wananchi..
CCM ili ishinde mbinu...
:sad:
IKIWA VIONGOZI WETU (UPINZANI) HAWATAACHA UJUAJI WAO KATIKA WANAYOSHAURIWA, BASI TUTAENDELEA KUSINDIKIZA (daima) :thinking:
Jiulize maswali yafuatayo:
kwanini mabango ya makampuni ya...
HEBU NIAMBIENI WAKINA GREAT THINKERS Plato, Socrates, Aristotle, Rousseau, Voltaire, Kant, Foucault, Locke, ...
HIVI INAINGIAJE AKILINI MTU ALIYEKAMATWA NA MASANDUKU YA KURA ATANGAZWE...
Kusema kweli watu hawapingi ushindi wa CCM au tuseme ushindi wa Jakaya Kikwete au Sheni ,wananchi kwa ujumla wanataka kitangazwe kile kilichopatikana kwa uhakika bila ya kumpendelea mwananchi...
The European Union Observation Mission has called on Tanzanians to respect the outcome of the election in a bid to maintain and consolidate existing peace in the country.
Unveiling its...
:israel:Mabadiliko kwa nchi kama tanzania hayawezi kutokea kwa usiku mmoja, jamani lazima tuelewe tunaongozwa na viongozi wabinafsi, walafi, walevi wa madaraka ambao wapo tayari kwa lolote ili tu...
Mkusanyiko wa viongozi waliojiteua kwa uwezo wa pesa zilizizoibwa kwa wananchi na kuzitumia kujijengea uimara wa kiuchumi na kisiasa huwa siku zote unatumia kila aina ya mbinu kurubuni wavuja...
Ukweli unasambaa, Uongo unazidi kujitenga...!
Kulingana na Taarifa Ya Habari, Redio Tumaini - saa 9:00 alasiri hii, Chama cha NCCR Mageuzi kimetoa tamko kuwa Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa mbovu...
Mimi naishi buguruni,nimepiga kura pale malapa,na kuna jamaa mmoja alikamatwa akiingiza fom ya kupiga kura zikiwa mbili, so pale msimamizi alimuona akiangaika kuingiza fom mbili kwa mpigo...
Marina Hassan, Tiddo Mhando etc. wako hewani wakijetetea jinsi walivyo cover kampeni huku wakivishambulia vyama. Tukio la Marin Hassan kugombaniwa na wana CHADEMA jangwani wanadai lilitokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.