486( speed model) computers ilikuwa karibu 20yrs ago je ndo wanazo tumia NEC uchaguzi huu pia 286, inawezeka alitumia jaji makame enzi hizo, mabadiliko ya tekno hama yamewezesha kazi kufanyika...
Eti sheria inasemaje kuhusu uwezekano wa kumtoa mbunge wako/ wenu kabla ya miaka mitano kutimia kwa sababu za kiutendaji?
manake mimi naona ni bora kama inawezekana mbunge akitubore tunamreplace...
Naomba ili kuondoa mkanganyiko katika jamvi letu,tujaribu katika post hii kuweka majina ya WALIOKWISHA TANAGZWA NA TUME(wakurugenzi ) ili kuondoa utatamimi naanza1.Vicent Nyerere-Musoma...
Dont wish it was easier; wish you were better. Dont wish for less problems; wish for more skills. Dont wish for less challenges; wish for more wisdom. You must either modify your dreams or...
Jana jioni nilishangaa kusikia mjadara juu ya uchaguzi wa Tanzania BBC wakiwapa watu mbalimbali live kutoa view zao, moja baya ambalo lilikuwa kichefuchefu ni kumweka mtu wa CCM kutamba kuilaumu...
10 signs you're not ready to retire
Before you report for your last day of work, be sure that you've taken care of these details. You could save yourself a whole lot of money and regret later...
Ndugu wana JF, ni takribani miaka 50 to Mungu alipoona vema niwe kiumbe hai. theluthi mbili ya maisha yangu nimeishi TZ. Nimepiga kura katika chaguzi tatu na hii ya sasa ni ya nne. Sijawahi kuona...
jeshi la police limetoa onyo kwa vikundi ambavyo vinapanga kufanya fujo na maandamano kwani imesemekana kuna watu wanatoa fedha kuwapa watu ili wakusanyike kufanya vikao visivo rasmi na maandamano...
Wadau naomba michango yenu juu ya hili swala,
Hivi inawezekana vipi kwenye mkoa mmoja ukakuta CHADEMA imeshinda kata 12 kati ya 14 au imenyakua majimbo yote, wakati huo huo kwenye matokeo ya...
Mwanasheria wa CHADEMA, Mabere Marando amewasilisha rasmi NEC barua ya kupinga matokeo.
Hatua zilizochukuliwa/tutakazochukua ni:
1. Kwenda NEC - (barua imewasilishwa jana)
2. Tunakwenda...
JK atangaza ushindi kupitia facebook page yake
JAKAYA MRISHO KIKWETE FOR 2010 | Facebook
JAKAYA MRISHO KIKWETE FOR 2010 "Kwa ridhaa ya wananchi wa Tanzania,Mheshimiwa Rais Kikwete...
Wasalaam,
In other uchaguzi news, naona uchaguzi umeeisha na sasa watu wanaenda through the Kubler-Ross stages of grief, Denial, Anger, Bargaining, Depression, Acceptance.
Denial- "Dr. Slaa...
Hamjambo wote? Naomba ufafanuzi kutoka kwenu wana JF. Je Slaa anaweza kurudi tena bungeni, angalao kwa Viti maalum?? Bila Slaa Bunge litachangamka kweli? Ninaumia sana kila nikifikiria hatma ya...
Nimetoka maeneo ya St. Peter Church. Karibu kabisa na milango MIKUU ya jengo la UMBO la NDEGE. Unyayo wangu umegusa korido kadhaa za JENGO hili. Macho na Masikio yangu vimeona na kusikia...
Naamini kuwa Kikwete, iwapo atatangazwa kuwa rais wa Tanzania kwa miaka mitano ijayo atakuwa mkweli na kuonyesha heshima kubwa kwa Watanzania wote, waliompigia kura na wale ambao hawakumpigia kura...
Kufuatia kauli aliyoitoa dr slaa kua hawatakubaliana na matokeo ya uraisi na ubunge kwa kile anachokidai kua kuna wizi wa waziwazi umefanyika. nategemea yafuatayo yafanyike kama kweli anataka sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.