Baada ya kubwagwa na mgombea wa CHADEMA, ndugu Philip Marmo(mgombe ubunge: CCM- Mbulu) yupo Haydom akipata matibabu. Hata hivyo inasemakna kuwa hajalazwa Hospitalini bali yupo katika nyumba ya...
kufuatia matokeo ya uchaguzi 2010, ambapo inaelekea kuchachuliwa kwa namna mbali mbali hivyo kupotosha utashi na matumaini wa watanzania, hofu ya watu /yangu ni hatima ya vyama vya upinzani...
ITV live hapa jaji mstaafu Lewis Makame alipofika kusoma matokeo ya Jimbo la Ubungo akapatwa kigugumizi ndipo mkurugenzi wa NEC akamwambia eti Jimbo la Ubungo linarekebishwa bado aklaliruka baada...
http://www.afrobarometer.org/papers/AfrobriefNo1.pdf
Kumbe yule mzee wa NEC alikuwa anarefer research ya mwaka 2002 kuhusu democrasia ya Tz.
Sio mtaaramu wa research ivi waweza konclude...
Nimekaa nikatafakari bila kupata jibu hatua ya kuchukua kwa hili la Kupokwa haki yetu ya msingi, haki ya kupiga kura kuchagua kiongozi tunayemtaka na kisha kupatiwa kile tusichokitaka.
Naomba...
Watu wamepiga kelele sana na kumponda Dr Slaa kuwa anaongopa kuhusu wizi na udanganyifu kwenye kujumlisha matokeo ya uraisi.
Ushahidi wazi kuwa matokeo ya kura haya ni ya uongo ni huu hapa...
News za ITV leo jion bwana kinana anasema JK hauwepo kwenye kikao cha kuchakachua matokeo kama ilivyonukuliwa na barua inayozunguka umu JF.
Na RA akasenma siku iyo yeye alikuwa Sauziiiiiiiiiiiii...
Inasikitisha kuona kuna baadhi ya wabunge wameingia bungeni kwa njia ya Uchakachuaji wa kura. Sasa unaona kama Karagwe, polisi wanamsindikiza mpaka nyumbani kwa mtutu. lakini ni kwa hakika...
Ninachokiona sasa ni kuwa nec hii inayosoma matokeo ni tume ya kampeni ya chama cha mapinduzi na si tume ya taifa ya uchaguzi na hivyo tuna haki ya kuwa na tume independent ya taifa ya kusimamia...
Ndugu wana JF, ni takribani miaka 50 to Mungu alipoona vema niwe kiumbe hai. theluthi mbili ya maisha yangu nimeishi TZ. Nimepiga kura katika chaguzi tatu na hii ya sasa ni ya nne. Sijawahi kuona...
Kuna SMS ya maandamano nchi nzima kuanzia ijumaa amabyao inasambaa kwa kasi mno. Ujumbe wenyewe unasema "Tumeujumiwa miaka 45 imetosha. Kuanzia ijumaa ni maadandamano ya amani nchi nzima" Nawaunga...
ni heri kuimwaga damu kuliko kukubari kupolwa haki
maana haki ni heshima ya utu wa mtu, unapo nyang'nywa
haki na kukubari kunyang'anywa, huna tofauti na mwanaume
aliyeuvua uwanaume wake kwa...
Huyu mtoto wa makamba January hana adabu. Ana majina mengi sana humu Jamii Forums, Kwa jina lake jingine JOKAKUU, nanuu aliyaandika,
kwangu mimi huu uchaguzi umekwisha na JK ndiyo Raisi...
Jamani kuna watu waliaga makwao kuwa hawatarudi nyumbani wazima kwa sababu watakuwa barabarani kwenye so called PEOPLES POWER... Sasa kule Pemba wanauliza KUNKUAJE?
Ninalia machozi ya furaha. Ninamfurahia Mungu wangu, nawafurahia watanzania, namfurahia rais wangu mpya Dr Slaa kwa kujitoa na kukubali kuwaongoza watanzania kama rais. Mheshimiwa rais Dr Slaa...
Nyumba ndogo ya makamba jimboni kawe, Angela Kizige Makamba, amepigwa chini jimboni kawe na mtetezi Alima Mdee. Mrs. Makamba anakaribishwa rasmi kuungana na Ephraim Kibonde pale Radio ya Wafu...
Na compile matokeo ya urais yanayotolewa(bado yanaendelea kutolewa) na NEC kwa ajili ya analysis. Nitajaribu kuchanganya hii analysis ya matokeo ya urais na ya ubunge watakapo update tovuti...
Jamani Matokeo ya urais yanachekesha sana kuyasikia, zile shutuma zilizovuja tarehe 10.10.2010 kuhusu kitengo flani nyeti katika nchi kinaandaa ushindi 'fake' wa asilimia 80% kwa JK na baadae zile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.