Jamani kuuliza si ujinga, binafsi nataka kujua kama huyu mtu ana walinzi, mwenye taarifa anijibu. Hii ni kwa nia nzuri tuu kuna kitu nimefikiria:evil:.
Ingawa alikuwa mwanzilishi wa CCM, kwa nia njema ya kuendeleza mapinduzi katika nchi yetu, miaka ilivyozidi kwenda Mwalimu Nyerere alishuhudia jinsi CCM ilivyobadilika na kuwa mzigo kwake na pia...
Wanajamii,
Kwa kweli nimesikitishwa sana kwa hali ninayoina ikiendelea kwa CHADEMA kuporwa wazi wazi tena bila huruma ushindi wa baadhi ya majimbo.
Sasa ni ushauri wangu tuanzishe mfuko...
:nono::nono:
UTAJIRI unaotokana na wizi wa mali ya umma, na wizi wa fedha za kigeni na unyonyaji na uharamia wa aina mbalimbali, hautupunguzii umaskini wetu, bali unauongeza. Chama chetu hakiwezi...
Nimemsikia mwenyekiti wa NEC anadai kuwa wao wanahakiki matokeo ya urais yanayotoka kwenye majimbo na wakigundua yamekosewa wanayarekebisha.Hapa kwa kweli, sijamuelewa!anahakiki vipi wakati...
Jaji Lewis amepata kigugumizi kujibu hoja aliyoulizwa na waandishi wa habari kuwa matokeo anayotangaza yana ukweli ndani yake, alionekana kutetemeka sana huku maneno yakimtoka kwa kukatika katika...
Baada kutangazwa mshindi wa Ubunge kwa jimbo la Vunjo, mbunge mteule kwa tiketi ya Chama Cha Tanzania Labour Party, TLP, Augustine Lyatonga Mrema, ameibuka na kumuomba Rais atakayeingia madarakani...
Mbunge wa CCM Mchungaji Mwanjale [ aliwahi kupata ubunge kwa ujanja katika uchaguzi mdogo miaka ya nyuma] amevamiwa na wananchi wenye hasira baada ya kuhonga tume ya uchaguzi, na kumfanya ashinde...
JK na washirika wake wakuu, Lowasa na Rostam, wakiendelea kutawala kwa miaka 5 ijayo wa-Tz tujiaandae kuona sehemu kubwa ya nchi yetu imeuzwa na sisi wenyewe tumeuzwa utumwani kwa Waarabu na...
Wakati mwenyekiti akisoma matokeo ya uraisi, ghafla ikaja karatasi ya kule ubungo akasema tu ubungo na kuiweka kando nafikiri walikuwa wanarudia, na ilipokuja matokeo ya kule ukerewe ambapo Dr...
Mwizi wa kura ni sawa tu na mwizi wa kuku. Amri ya saba inasema USIIBE. Haijasema usiibe kuku lakini kura iba tu!
Mwizi anashughulikiwa kwa staili yake. Binadamu tuna staili yetu na kuku wana...
Kwa walioangalia kutangazwa kwa matokeao ya Uraisi na Tume ya Uchaguzi jioni hii kupitia ITV, Judge Lewis Makame alipata kigugumizi kutangaza matokeo ya jimbo la ubungo, na kuonekana na kusikika...
Hi wandugu!
NInaomba mnijuze mwenzenu niko nyuma kidogo hasa kwa kuwa siku mbili hizi nilikuwa nje kabisaa ya mawasiliano ya aina yoyote ile.
naomba kufahamu idadi ya viti vya ubunge tulivyochukua...
..nimeshangazwa na kitendo cha TBC kumuacha Mkapa atoe maneno machafu-machafu ambayo hayastahili wakati wa kampeni au kusikilizwa na watoto.
..kwanini TBC hawakumkatia matangazo kama walivyofanya...
Kwa ufupi na taarifa rasmi nilizopata pale SHINYANGA MJINI hali si nzuri na Halimashauri ya mji ilishapigwa moto juzi...... matokeo ya ubunge yalitangazwa mida ya sa moja usiku jumatatu CHADEMA...
Kila mpenda mabadiliko amehuzunishwa na matokeo ya uchaguzi hasa kwa sababu haki haikutendeka. Lakini ni muhimu kufahamu kuwa kuhuzunika tu hakutoshi. Ni muhimu kukumbuka kuwa kazi ya kuleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.