Shida salum, ambaye ni mwenyekiti wa CHAMA CHA WALEMAVU TANZANIA( CHAWATA) amesema matokeo ya uchaguzi mkuu yamechakachuliwa hata yeye anaushaidi wa JIMBO la kigoma kaskazini
source EATV(CHANEL 5)
Hizi ni Campaign Gani tena,, kama ni ndugu yake si ange kaa kimya kuliko kumdhalilisha kakayake? Hebu tazama hii Habari hapa chini, Huyu Kyabo ninani hapa Tanzania kwani, Maana mi namfananisha na...
Nyeti nilizozipata toka kwa mtu wa jikoni ndani ya CCM ni kuwa kuna makubaliano kati ya CCM na baadhi ya vyama vya upinzani wa kupewa (favor) baadhi ya majimbo upande wa bara kwa lengo la...
Wandungu,
Jana nilikuwa natazama TV nikaona Jaji Makame anataka kutangaza matokeo ya Jimbo la Ubungo halafu alipogundua kuwa ni yale yaliyochakachuliwa akaacha maana Slaa alishinda (na alipeleka...
Ilitamkwa waziwazi na viongozi akiwemo na mgombea urais ccm kuwa LAZIMA WASHINDE kwa zaidi ya asilimia 80, hili lilitiliwa mkazo na wasomi wasaliti kama prof. Mukandara kupitia taasisi zao...
Wengi wetu tunamtazama kikwete kwa jicho hasi kutokana na namna anavyoongoza nchi. Wananchi wengi mitaani na kupitia vyombo mbalimbali vya habari wamekuwa wakimlalamikia kikwete kuhusu hali ngumu...
Unapomsikia mpendwa wetu mheshimiwa Dr Slaa akilalamika juu ya wizi (uchakachuaji) wa kura ambao CCM imefanya dhidi ya chama chetu kitukufu unaweza ukadhani ni mtu anayetapatapa baada ya kufanya...
Uslama wa Taifa na CCM mbona hiyo Barua hamuikanushi?
Kinana ulitegemea mkutano huo wa uchakachuaji waalikwa na waandishi wa habari?
Usitufanye wajinga watanzania.mnababaika.
Natoa maoni kama mpenda mabadiliko na mwanachama wa CHADEMA. Matokeo ya uchaguzi yametolewa, lakini katika hali inayoashiria kuwa hatukupata kile tulichostahili kupata.
Pamoja na hujuma...
Wale IT people Tengenezeni Kura ya Maoni ya Kutomtambua Kikwete na Tume Ya CCM-NEC. Lets make Statement to these crowns. Tuzipulbish na Kila Mahali Ataposafiri Mikoani na Nje ya Nchi Tuta Make...
wanajamii,
Hivi inaingia akilini kweli kwamba ni wa haki kama hili jambo/mabo yaliyotokea katika jimbo la segerea, kwamba mgombea anakamatwa na masunduku ya kura na ambayo hayaonekani katika...
Kiravu mwogope mungu acha unafiki ogopa dhambi wizi wa kura ni uhaini mbaya saana mwogope mungu achia ngazi usirudi kutufundisha neno mnafiki mkubwa wewe. Jambazi mkubwa wa kura zetu
Nasikia Makame anataka kujiuzulu kwa aibu, baada ya kubaini alipotoshwa na UWT -- ila tu baadhi ya makamishna wazee wengine wanamsihi abakie madarakani hadi zoezi la kutanbgaza matokeo liilshe...
Ingawa alikuwa mwanzilishi wa CCM, kwa nia njema ya kuendeleza mapinduzi katika nchi yetu, miaka ilivyozidi kwenda Mwalimu Nyerere alishuhudia jinsi CCM ilivyobadilika na kuwa mzigo kwake na pia...
Wanabodi,
Matokeo ya Urais kwa Majimbo Tanzania, yanakamilika usiku huu ambapo mshindi JK atatangazwa rasmi kesho saa 10 jioni pale kwenye viwanja vya Karimjee na kuapishwa Rasmi Jumamosi Saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.