Yaani taifa la Tanzania tunakoelekea siko.matokeo ya uchaguzi yanatumia muda wa wiki moja nzima!hatuna budi kujiuliza ya kwamba kwa nini chaguzi zilizopita zilikuwa zikifanyika kwa muda mfupi tu...
Sote Tumeshuudia Rafu za Uchaguzi ambao umemalizika kwa kumpatia bwana Mkubwa Ushindi wa Mezani Kama walivyokuwa wamepanga wao.
Lakini wasikae wakajidanganya na wajione wao ni clever sana kuliko...
Yule mtabiri aitwaye sheikh yahaya alitoa utabiri kuwa uchaguzi utaahirishwa kwa kuwa jambo baya litamtokea mgombea sasa atajitetea nini?
Maana uchaguzi umefanyika.
Kuhusu mtu kufa ghafla...
Watanzania ni wepesi wa kusahau, tukirudi nyuma miaka miwili tu iliyopita, Tanzania ilikuwa inayalipa makampuni ya kufua umeme ya Dowans (T) Ltd shilingi za kitanzania 152 milioni kwa siku. Sawa...
Wanaokishutumu CHADEMA kuwa ni chama cha undugu, inawezekanaje kuweza kukubalika Tanzania nzima? mf. kwa tathmini yangu ni kwamba wananchi wameweza kuchagua wabunge kutoka Mashariki -...
Nasikia waliopiga kura mwaka huu ni kama 7,500,000 kati ya 19,600,000 waliotarajiwa ambao ni sawa na 38%.
NEC watatuambia nini, tutaliaminije hilo Daftari lao kama ni sahihi?
Maswali ni mengi...
kwa mfumo huu ni wazi kuwa CCM, NEC, na taasisi zake
vimefanya ubakaji kwa kuyasasambula matokeo ya wabunge
na uraisi ili kumpa nafasi Kikwete na kundi lake la mafisa
kuhakikisha kuwa wanaendelea...
CCM Wameshawaona Watanzania Wajinga Kama Wao na Matokeo Ndio Haya. Hatushangai Kwani Mugabe, Museven, Mwai Kibaki, na Kagame Wote Si Ndivyo Wanavyoendesha Nchi Zao. Huu Uchanguzi CCM Hawakushinda...
Ingawa alikuwa mwanzilishi wa CCM, kwa nia njema ya kuendeleza mapinduzi katika nchi yetu, miaka ilivyozidi kwenda Mwalimu Nyerere alishuhudia jinsi CCM ilivyobadilika na kuwa mzigo kwake na pia...
Kuchakachua ni kuchanganya chema na haramu lakini KUSUKUTUA ni kuweka chema ndani (mdomoni) na kukigeuza kuwa takataka.
Hicho ndicho ambacho CCM wamekifanya, hawajachakachua ila wameukutua.
Habari...
TEMCO: Wakuu wa mikoa na wilaya waliisaidia CCM kampeni Send to a friend Thursday, 04 November 2010 08:55 0diggsdigg
Exuper Kachenje
TIMU ya Waangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu (Temco) imetoa...
This week, see a clever new way to prevent vote fraud, and learn 7 ways games make your brain feel good.
Japo bado tupo mbali kitekinolojia, pengine juhudi zikifanyika, tutapunguza "uchakachuaji"...
Prof Baregu alikuwa Mwenyekiti wa Kampeni ya Urais ya Bw. Mrema mwaka 1995 ambapo kulikuweko na uchakachuaji mkubwa wa kura uliomwezesha bwana Mkapa na CCM kuupora ushindi na kuwa Rais wakati Bw...
Ra ndo anaongoza nchi nani asiyejua,na hivi kikwete kaoa dada yake anawapelekesha kama nini,oh slaa mhuni yeye mbna kamuoa mtoto wa meji zakia naye muhuni vilele
Ndugu wana jamii
Ninaomba kuwaasa watanzania tuombe wagombea wote wakubali matokeo. Nimeshawishika kwamba matokeo ni sahihi kabisa kwa sababu wametoa matokeo jimbo kwa jimbo na taarifa zote hizi...
Nimesoma taarifa kuwa mmoja wa mafidadi na watu hatari sana katika muelekeo wa nchi hii, Andrea Chenge, amechukua fomu ya kuomba kugombena nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Ingawa alikuwa mwanzilishi wa CCM, kwa nia njema ya kuendeleza mapinduzi katika nchi yetu, miaka ilivyozidi kwenda Mwalimu Nyerere alishuhudia jinsi CCM ilivyobadilika na kuwa mzigo kwake na pia...
Ingawaje uchakachuaji ulijitahidi kushika nafasi yake, lakini nashukuru mungu upinzani utakuwa wa ukweli Mjengoni mwaka huu ila sijajua huyu mdau(JK) hadi hivi sasa amefikisha % ngapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.