Hawa waasisi wa CHADEMA wako wapi na wanafanya nini?
Nao tunataka watoe tamko lolote ama neno lolote kumsapoti Slaa. Hii vita sio ya Slaa na waleta habari peke yao. Waje hadharani tuwasikie nao...
Sasa tunakaribia mwisho wa matokeo na ni dakika yoyote toka sasa tutapewa ratiba ya kumwapisha JK, sio mbaya sana kwasababu amejiona yupo katika nafasi gani ndani ya mioyo ya watanzania, amejiona...
jana nilipata wasaa wa kumsikiliza huyu kibaraka wa CCM na serikali yake, Rajabu Kiravu wakati akijibu swali la mwandishi mmoja. Jamaa kwa kujiamini kabisa akasema jamii ya watanzania inafuga wezi...
Fisadi Kikwete aliposema hivyo alikuwa yupo sawa au ni kuidharau Jamii? Na kama ameidharau jamii je anafaa kuwa kiongozi wakati huko nyuma alishawahikuwa fisadi na bado ataendeleza ufisadi maana...
nimependa jana Kiravu alivyoweka mambo wazi juu ya shutuma za NEC akipewa support na Mwenyekiti msaidizi na mjumbe wa NEC profesa CHALIGA wametulia, angekua jaji tungempendekeza awe ndio...
Wanajamvi,
namshukuru Mungu nimepiga kura jumapili iliyopita. Samahani kuwasumbua katika hili lakini nadhani litawasaidia wengi katika kipindi hiki, je ule wino tuliowekewa kama alama ya kupiga...
Habari za ndani kutoka CCM zinasema kada aliyejizolea umaarufu katika uchaguzi wa mwaka huu ndg Kinana anaandaliwa kuwa spika wa bunge.
Wabunge wote wa CCM wanaandaliwa kuwekwa chini ili...
Tanzania party accuses spy agency of vote theft
Tanzania Intelligence and Security Services (TISS) deputy director, Jacky Mugendi Zoka, adresses reporters when refuting allegations by Chadema...
Tarehe 31 October 2010 ilikuwa ni siku ya muhimu na ya kipekee kwa Tanzania na nchi washiriki. Ni siku ambayo watanzania tuliisubili kwa muda mrefu na hatimaye ikafika na sasa imepita. Ni siku...
Nimekuwa nikiona malalamiko mengi sana kuhusiana na posho za wabunge, mbona Tanzania kuna watumishi wengi tuu wa kawaida kabisa wanao pata wastani wa mishahara na posho zinazofika milioni12 na...
Sina budi kumpongeza Rais wa CHADEMA Dr. Willbroad Slaa kwa kazi kubwa aliyoifanya pamoja na team yake yote kukiunua chama.
Amefanya kazi kubwa sana kuhakikisha chama kinaongeza idadi ya viti...
Kwa mtiririko wa mambo yanavyoenda na matukio hasa ya uchaguzi mkuu, mh. Dr Slaa baada ya kuibua hoja ya kuhusika kwa TISS ktk hujma za uchaguzi , japo TISS wamemruka ni dhahiri watanzania...
Uchaguzi wa mwaka huu unatupatia mafunzo mengi sana. Matokeo ya udiwani na ubunge katika majimbo mengi yameishatangzwa. Katika majimbo mengi, hakukuwa na ulalamishi kwa sababu karatasi kutoka kwa...
Napenda kuwapongeza wana Ngara kwa kutumia vizuri haki yao ya msingi kumchagua mzee wetu mpendwa ndugu Deogratias Ntukamazina. Tuna uhakika mzee huyu atatumika vizuri kuleta maendeleo ya Ngara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.