Jamani mi nilishangaa saana pia nilistuka saaana kusikia eti IGP kumbe ni shemejie JK!!! Sasa wadau naomba kujua nani kaoa kwa mwenzie kati ya JK na Side.
nakupa hongera zangu sana daktari, kwa kudhihirisha umahiri wako kisiasa, kwa watanzania, specifically wanachadema. wakati tumeshampata sasa rais wa tanzania, ni matumaini yangu basi wewe...
Pamoja na hisia kubwa zilizojengeka miongoni mwa jamii kuwa Dr. Slaa ndiye aliyeshinda kinyang'anyiro hiki cha Uraisi lakini tathmini ya kura za maoni za REDET SYNOVATE ambao ni wadau wa CCM...
"Ni jambo la kutojivunia kuchaguliwa na watu wachache ambao ni asilimia 27% ya Watanzania wote waliojiandikisha kupiga Kura" Huyu ni Raisi wa kwanza Tanzania kuchaguliwa na watu wachache" Lipumba...
Kitendo cha CCM kutangaza nafasi ya spika, ni katika harakati zake za ku ondoa attention ya watu kwenye uchaguzi mkuu na kuanza ku discuss uspika, ndo maana kina Chenge,Kilango et al wamechukua...
Kwa vile Katiba ya Muungano inasema kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakoma kuwa Makamu kati ya sababu nyingi ni hii:
Ibara 50:2(f) - atakapoapishwa Rais mwingine kushika...
Ndugu wana JF,
Maadam sasa kampeni zimeisha, na ni wazi JK ndiye Raisi mteule, ni vyema sasa tuanze kutoa ushauri wa jinsi ya yeye kujijenga upya na kuweza kufuta yale yaliyotaka kumgharimu...
Tancredo de Almeida Neves, SFO more commonly Tancredo Neves
In 1984, he was one of the leaders of the Diretas Já movement that demanded direct elections for President of Brazil. Neves was the...
Wana JF
Kumekuwa na post nyingi zinazoeleza juu ya uchakachuaji uliyofanywa na CCM katika uchaguzi huu, sasa tunapoeleza kwamba data hizi si sahihi ingekuwa busara kama tungeonyesha zile ambazo...
Pipoooooz....
I have drafted this table just to give you a rough picture of how opp. candidates scooped tanzanian trust for representation mjengoni. The list includes those who won and declared...
Kwani tanzania ilikuwa haina rais,waziri mkuu na mawaziri? Sasa anayeapishwa c alikuwa rais hata cku tunapiga kura,matokeo hayajatangazwa .............................mi sielewi
hili pia limenishitua....... Ridhiwani akijibu hoja kwamba yeye hakuhusika kwenye kikao cha la kairo hotel, alisema hajawahi hata kufika kwenye hiyo hotel, kisha akaongeza kwamba "kahotel kenyewe...
Hivi ile hadithi ya "2010 hautarudi bungeni" aliyoianzisha Waziri Mkuu asiye na sauti dhidi ya Kamanda Zito Kabwe, iliishia wapi?
Manake naskia Mzee Pinda alipita bila kupingwa, nikapatwa na hofu...
International obsevers are slowly starting to iritate, and becomng and nuisance and I am having a feeling that we should not welcome them. They always play by the book of the incumbet and accept...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.