CCM yaanza kumeguka
Katibu UWT Maswa atimuliwa
SIKU tano baada ya kumalizika uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani, huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikinyakua...
Huo ndo ushindi wa tsumani, mhhhh!!!!!!!!!!! anyway, let's wait may b atabadilika this time. Tuombe Mungu na wakati huo nasisi tuendelee kufanya kazi kwa bidii.
God bless TZ as he blessed George...
Kama kilaza {kikwete} ataapishwa na kuwa raisi, inamaanisha kwamaba chadema hawakuwa na la kufanya ilkumuondo asiwe rais kwa mujibu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.
Kwa upande wa dr wa ukweli...
Now that JK is back, I'm no longer afraid of xenophobia.
Fellas, it's time to celebrate.
Go CCM
Go JK.
It's business as usual. Nice try, Dr Chadema!!
How do you like us now?
:peep:
Kuna watu wanaonekana kushabikia au kumlaumu mpiganaji Slaa kwa kusema kuwa kura zake zinachakachuliwa. Nia ni kupunguza idadi ya viti maalumu kwa upande wa Chadema ili CCM iweze kuingiza wanawake...
Kwa umakini walio nao wabunge wapya wa chadema nina imani watalitawala bunge kwa 90%, maana wabunge walioingia tripu hii wamenikonga moyo, MDEE MNYIKA MBOWE,KABWE, LISU,ktk safu ya ushambuliaji...
ameshinda wakaiba, unataka ushahidi, huu hapa
waliojiandikisha mil 20
waliopiga kura baada ya kuchakachua mil 8
jk kapata 5 mil
dr slaa 2 mil
waliobaki wote wako wapi? Nasema rais wangu dr slaa...
Conclusive remark ya JK kuwa wote ni washindi does he really mean it au ndo copy and paste ya kutoka kule Zenji
If the statement is truly from the bottom of his heart then I salute him for that...
Kwa mazingira ya kisiasa ya sasa nchini ni kujidanganya kuwa kiongozi wa upinzani anaweza kuwa Rais kupitia njia ya kura. Kwa hiyo yeyote aliyetarajia kuwa Dr. Slaa angekuwa Rais ama hayafahamu...
Prof. Lipumba ambaye sasa ameteremka katika idadi ya kura zake na hata kushindwa kupata kura milioni moja pale NEC ilipotamka alipata kura 695, 667 au 8.06% aliujulisha umma wa watanzania ya kuwa...
Ninaunga mkono kitendo cha Slaa(PhD) kutohudhuria kusikiliza usanii wa tume.
Hii inadhihirisha wazi kuwa PhD ya Slaa si ya kuchakachua kama ya Mkwere na Benson Bana
Ni matumaini yangu wadau, kuwa kila mpenda amani na nchi hii anautakia ushindi wa Jakaya Kikwete mema, fanaka na matarajio mazuri kwa kipindi 2010 - 2015, hongera sana.
kumbuka kutimiza kila...
Wanajamvi em tujiulize jamani yaani watu milioni nane tume imetumia wiki nzima kutoa matokeo je ingekuwa milioni 16 ingekuwaje!!Muda wote huo walikuwa wanafanya nin kama sio shughuli yakuchakachua.
Double Dipping Votes Delays Tanzania Election Results
Jakaya Kikwete checks off one more tally as officials arrest Daudi Gindishi for double voting
Jen Hoskote | Tue Nov 2, 2010
TAGS...
Leo Mh Jk anatangazwa mshindi wa urasi 2010-2015 na Jaji Lewis Makame! Lakn wakati yakitangazwa matokeo Jk alionekana fika hana furaha na muda wote wa uongozi wake. Kwanza anajua watu hawampendi...
BARAZA Kuu la Uongozi la Taifa la CUF, limesema wawakilishi walioshinda majimbo ya Pemba na Unguja, watakula kiapo na kuingia ndani ya Baraza la Wawakilishi lakini hawatatoa ushirikiano kwa...
TEMBELEENI HII ILANI YA CCM, KWENYE UTANGULIZI KIPENGELE CHA PILI MSTARI WA MWISHO UNASOMEKA
"Aidha mafanikio ya azma hii unategemea kutambua hali na mazingira ya kisiasa, kiuchumi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.