Every minute counts Chadema kama bado haijafungua kesi mahakamani kuhusu majimbo ya magu, shinyanga, segelea, to name just a few wanangoja nini. Knowing kwamba wingi wa wabunge wa upinzani...
ndugu zangu uchaguzi umekwisha na matokeo yenye utata yamekwishatolewa na tume ya uchguzi. Matokeo hayo yana kila dalili kuwa yamechakachuliwa kwa nia ya kumuokoa mgombea wa ccm dr jakaya kikwete...
Kama kilaza {kikwete} ataapishwa na kuwa raisi, inamaanisha kwamaba chadema hawakuwa na la kufanya ilkumuondo asiwe rais kwa mujibu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.
Kwa upande wa dr wa ukweli...
Mimi Isaac 'Ankali' leo tarehe 5 November 2010,natamka kwa hiari yangu bila kushurutishwa na yeyote kuwa ninaahirisha Utanzania wangu kwa kipindi cha miaka 5. Uamuzi huu unakuja baada ya...
Baada ya matokeo kutangazwa nini chama cha CHADEMA kinatakiwa kufanya ili kisipoteze muelekeo wake.
Kwa kuwa baada ya rais kuapishwa sheria inakataza kufungua kesi ya kupinga matokeo, basi...
Uchakachuajia umeisha,sasa je tutegemee nini kutoka kwa JK?Mi naomba nianze na number 1. 1.Nategemea baraza lilelile la mawaziri wengi wakiwa hawana viwango vya...
Naomba tuwekane sawa kuhusu mambo mawili: 1. alichosema Dr. Slaa kuhusu ushiriki wa makada wa CCM katika kikao kilchofanyika La Kairo Hotel
2. Hoja za wanaokanusha.
Alichosema Dr. Slaa:
Kwanza...
Uchaguzi umeisha ,kura zimeibiwa live, kila mtu kaona kura zimeibiwa na Chadema hawajakubaliana na huu wizi , sasa kitu gani au hatua gani zitachukuliwa? mpaka sasa hivi sijui kwamba DR ametoa...
Ana kweli madaraka yana gharama zake, mbunge mteule wa CCM jimbo Shinyanga mjini akiyepita kimazabe analindwa na ulinzi mkali wa polisi sasa sijui watamlinda mpaka lini na watawalinda wengi sana...
Baada ya matokeo kutangazwa nini chama cha CHADEMA kinatakiwa kufanya ili kisipoteze muelekeo wake.
Kwa kuwa baada ya rais kuapishwa sheria inakataza kufungua kesi ya kupinga matokeo, basi...
Uchaguzi umekuja umepita. CCM wamefanya walivy dhamiria, kutuibia watanzania haki yetu. Kutokana na maguvu na mabavu yao wataendelea kutukandamiza. Tukubali yaishe, lakini njia sasa inaelekea...
Kiravu akiri NEC ilikosea na sasa matokeo yasomeka kama ifuatavyo
Kikwete 30,960 badala ya kura 17,792 (+13,168)
Slaa 22,036 badala ya kura 3,789 (+18,247)
Utaona Slaa alitaka kudhurumiwa...
Kufuatana na habari katika Nipashe ya leo, matokeo ya mwisho ya urais kwa wagombea wakuu watatu ni kwamba Kikwete kapata kura milion 5.169, Dr Slaa kura milioni 2.193 na Prof Lipumba kura mil...
Ni kweli yawezakua hawa mafisadi walifanya uchakachuaji wa kura za uraisi.
Lakini hata hivyo kulingana na vyama vya upinzani kutokua na umoja na nguvu ya pamoja hawakuweza kufika hadi vijijini...
By John Kulekana (AFP) 2 hours ago
DAR ES SALAAM Tanzanian President Jakaya Kikwete was re-elected with 61 percent of the vote, electoral officials said Friday, in a poll marked by low...
Source: Mwanahalisi: Jumatano, Novemba 3-9, 2010
NEC inatuhumiwa kuhujumu matokeo ya Uchaguzi kwa lengo la kukinyima ushindi CHADEMA.
Madai hayo yamo katika barua ambayo CHADEMA kiliwakilisha...
Mawakala wa chadema wanadai kwamba karibu kura zote zilizoharibika zilikuwa za Dr. Slaa! Wamedai kuwa ukimpigia Slaa kwa kuweka tick, wanaccm wanakoleza wino hiyo sehemu halafu wakati wa kuhesabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.