Dr Lwaitama huwa napenda hoja zake sana leo kwenye kipindi cha today in perspective uyu mzee alitoa point akasema IN AFRIKA THE DEVIL IS IN THE COUNTING
Na ndio maana waangalizi wanasema uchaguzi...
Hili swala la CCM,NEC,UWT(Usalama wa Taifa) KUCHAKACHUA matokeo ya kura za Urais na Ubunge liko wazi kabisa na ushahidi upo.
Mifano halisi ni ucheleweshaji wa kutangaza matokeo kwenye maeneo...
Naoma ufafanuzi wa kutumia neno mteule hasa kwenye chaguzi zetu. Sasa hivi tuna Rais mteule and wabunge wateule. Kwa nini waitwe wateule badala ya wachaguliwa? Kwani wapiga kura waliwateuwa au...
Well! Wengi Tulifikiri May be This Time Hawatadanganya Tena, Lakini Hawaogopi Wananchi Kabisa. Katiba Wanaandika Wao, Tume/NEC Wanaunda na Wabunge Wao Wakitumia Pesa za Wananchi Dodoma, Wanatumia...
KENYA -walipigana,wakabadili serkali kwa stail ya ndizi na chungwa, wakaunda serikali ya umoja, baadae wakabadili na katiba
WAGANDA-wakapigana,wengne waliingia mstuni,
zambia- fuatilia uone...
Ndugu wana JF hatimae ule mchakato kama sio mchakachuo wa uchaguzi umeshapita na wote tumeuona kwa macho yetu. Je tumejifunza nini? Kumekuwa na malalamiko mengi sana juu ya uchaguzi huu...
Wapendwa wote watanzania tunaotaka mabadiliko ya nchi yetu tusiwe na wasiwasi.Tusahau ya kuibiwa kura na tujikite kujenga vyama vyetu vya upinzani kwani mwaka 2012 tutakuwa na uchaguzi mkuu...
Ndugu Wana JF,
Nadhani ni jambo la busara wabunge wetu wote wa kambi ya upinzani ambao ni zaidi ya 50 waungane pamoja ili tuweze kupata speaker ambaye ataweza kuliongoza bunge kwa kujali maslahi...
Kosa la NEC la kuchelewesha matokeo ya uchaguzi katika majimbo mbali mbali nchini lilisababisha watanzania kupandwa na jazba na kuleta fujo katika maeneo ya kutangazia matokeo katika majimbo...
Unajua Baba akiambiwa na mtoto wake kwamba amekosea huwa inauma na huenda akamgombeza mtoto. LAKINI baada ya hapo hukaa na kutafakari maneno ya mtoto na huenda akauona ukweli ndani yake...
Hivi kweli inawezekana vipi majimbo karibu yote ya Bara na visiwani kura zilizoharibika zinaacheza hapo kwenye 2.x%? Ina maana kutofahamu yetu ya jinsi ya kupiga kura hadi tunaziaribu nchi nzima...
kama tunataka mageuzi ya kweli tungetumia play book toka kwa majirani zetu hapo Kenya. wapinzani tuwe na kocha wa nje ndg. Laila Odinga. upande mkubwa wamesonga mbele hadi sasa wana- share...
Clouds FM inatangazia wananchi kwamba kuna watu wanahamasisha umwagaji damu. Kisha wanapiga wimbo wa taifa hovyo hovyo jambo ambalo mtu atadhani rais anataka kutangaza Hali ya hatari.
Clouds na...
Tafsiri rahisi ya utawala wa Kiimla ni aina ya utawala ambapo anayeongoza nchi hujipa ridhaa ya kuongoza yeye mwenyewe.
Ni ukweli usiopingika kwamba Jk hakuchaguliwa na wananchi. Tofauti na...
Lipumba anasema iyo ndo asilimia ya watu waliomchagua raisi ni aibu.
Kaitupia lawama NEC na kuhoji uwezo wao na uhuru wa tume.
Naona wana CCM wanapiga kerere ila msg sent
Amkabidhi JK ilani ya CUF
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.