Jimbo la Muhambwe ambalo limebebebwa na NCCR-MAGEUZI huenda likaamuliwa na mahakama kuu baada ya mgombea wa CCM kuamua kujitosa mahakamani kudai haki yake kama ipo..................SOURCE: Habari...
wanaJamii,
baada ya serikali ya Umoja wa kitaifa, CUF gani tuitegemee katika bunge na baraza la wawakilishi 2010 - 2015, Je wabunge wa CUF hawatakua rubber stamp tu kwa sababu chama sasa, kwa...
Jana Prof.Lipumba aliongea jambo la maana sana...42%is the total # of those who voted,kwa ninavyoelewa a president must be voted to a 50% and above(majority)sasa,this wud mean uchaguzi...
Hata mwehu, tahira, or somebody unschooled at all atajua uwizi huu, haihitaji degree, masters degree or PhD ya kweli maana hapa TZ nyingi fake, kujua uwizi wa wazi huu, wala it doesn't need a...
Jamani mimi nina amini hapa JF kila mtu amepita skuli.
Tunaomba uongozi wa Chadema watoe matokeo halisi ya majimbo (kwa kutumia fomu za mawakala). Angalau kwa majimbo 100 hivi.
Lengo...
Naomba mzitaje hapa for JF reference naanza na
1. Barabara za juu!
2.Tatizo la maji litakuwa historia hapa Dar
3. Lami kuunganisha Mara na Arusha kupitia serengeti
4.
Pamoja na kuwa una uchungu wa kura kuchakachliwa lakini naamini umepata ushidi mkubwa katika uchaguzi huu kwa kuimarisha chama chako na pia kusaidia kutoa wabunge wengi wa upinzani,ni lazima...
Baada ya kufanikisha uchaguzi uchwara na kupelekea wabunge wa CHAMA MAKINI (chadema) kuingia kwa idadi kubwa wengi wao wakiwa wabunge wadadisi na shupavu, CCM sasa walivyo na fikra za kishenzi...
Nikweli uchaguzi umeisha na wengi wamebaki na majeraha nawengine waliwekeza lakini wakakosa majimbo waliyoyataka!!sasa tutegemee kesi ngapi zakupinga matokeo ya ubunge?je nimajimbo yapi yatakuwa...
Timu ya kampeni ya JK, CCM na NEC wote kwa pamoja wametumia njia ya vitisho ya vita, kufanya kampeni za kuwagawa wananchi kwa udini, kumchafua Dr. Slaa na Chadema kwa kila hali kupitia magazeti...
Ndugu zangu watanzania,
Ni kweli uchaguzi umekwisha kama wengi wanavyoandika hapa na kusisitiza tuangalie ya mbele. Mimi naogopa kusema tu tuangalie ya mbele bila kuangalia tuliposimama. Hapa...
Ndugu zangu baada ya kuchakachua matokeo na CCM kujitangazia ushindi wanaharakati za ukombozi na kambi ya upinzani ina kazi zifuatazo sasa:
1; Kupigania katiba mpya inayokidhi mazingira ya vyama...
Katika hali ya kushangaza mh judge lewis makame ajichanganya kwenye kutaja matokeo ya mwisho ya urais.hivi ndivyo alivyosema:
valid votes-8398394
mziray-96933
kikwete-5276827
slaa-2271941...
Tanzania Daima yaripoti ya kuwa Mbunge wa zamani wa CCM Rita Mlaki ameitaka serikali ya chama chake kutoyapuuza madai ya Dr. Slaa kwa kuyafanyia kazi na kuyapatia ufumbuzi haraka...
Wana JF,
Kwa maoni na utafiti wako, ni kwa nini CHADEMA wameshinda majimbo mengi kuliko 2005 na kupata zaidi kura za Urais kuliko 2005?
Naomba kuwakilisha.
Wana JF;
Tofauti na Uchaguzi Mkuu Wa 2005 katika Uchaguzi wa Mwaka huu 2010 JK amepata ushindi wa asilimia 61%+ ukilinganisha na 80%+ aliyopata 2005. Pia CCM imepoteza majimbo mengi kwa...
Kwa kweli kulikuwa hakuna Uchaguzi ,saa ingine utabiri inabidi uuangalie kwa kina ,ukiangalia mtokeo ya Uchaguzi na yaliyotangazwa ,kwa weli yaliyotangazwa ni mengine kwa maana hiyo uchaguzi...
Wajumbe;
JK ameshatangazwa kuwa rais wa Tanzania baada ya matokeo kuchakachuliwa; ila nina hesabu kidogo; Amechaguliwa kwa 26% ya kura zore 20Mili zilizositahili, na assume yeye ndiye ametumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.