Wana JF;
Katika Uchaguzi Mkuu 2010 Dr. Slaa na CHADEMA wametoa changamoto na upinzani mkali tofauti sana na miaka ya nyuma. Uchaguzi mwaka huu ulikuwa na msisimko mkubwa sana huku kukiwa na...
:sad: Watanzania tumekuwa wapole sana kiasi kwamba tunatia huruma. Sio siku nyingi tume ya uchaguzi ilitoa majina ya watakaopiga kura kwenye vituo walivyojiandikishia. La kushangaza na ambalo...
Wakuu,
Nimemsikia JK akitoa kauli hii jana wakati akihutubia kwenye hafla ya kutangazwa pale Karimjee na leo kwenye sherehe ya kuapishwa pale uwanja wa uhuru.
Na kuna mahali kwenye hotuba ya leo...
Pole sana Dr. Slaa kwa kushindwa lakini inakubidi ukubali matokeo na kama umeonewa basi nenda kwenye tume ili uweze kufungua mashtaka.
Licha ya kupigiwa debe na baadhi ya makanisa uchwara yasiyo...
Hamad Rashid kuwania Uspika
Salim Said
ALIYEKUWA Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Hamad Rashid Mohammed, amesema huenda akachukua fomu ya kugombea kiti cha Spika wa Bunge la...
robert mugabe- zimbabwe
joseph kabila- drc
mwai kibaki - kenya
rupia banda- zambia
jacob zuma- south africa
wana jf tengenezeni similarity equation ya hawa viongozi waliohudhuria.i guess there is...
Sina Hakika kama nafahama sheria vizuri kuhusu jambo hili. kutokana na maelezo ya NEC wapiga kura wote waliopiga kura ni chini ya asilimia hamsini ya waliojiandikisha.
najiuliza kuhusu validity...
UCHAGUZI TANZANIA 2010
Jumuiya ya watanzania ugiriki inapenda kuitumia fursa ya uchaguzi uliofanyika 31/11/2010 kuelezea machache yafuatayo:
Inatubidi watanzania popote tulipo...
INASIKITISHA KUONA MAGARI NA PIKIPIKI ZA POLISI YANAYO SINDIKIZA VIONGOZI WA NCHI MABOVU ILE MBAYA,HIVI HATA HUYO KIONGOZI ANAESINDIKIZWA HAONI KUWA HANA USALAMA WOWOTE AWAPO KATIKA MSAFARA...
Sasa tayari washajitawaza jamani mi nasubiria nione wezi watakao pangwa kwenye hilo baraza la mawaziri.
Sio ajabu huyu mtu asivyo na aibu akawarudisha wale watuhumiwa wa ufisadi kwenye baraza la...
Kwanza nampongeza Dr.Slaa kwa ushindi aliopata japo kaporwa.Watanzania wenzangu wanakukubali wala usiwe na shaka kabisa
Pili naomba nianze kwa kutoa ushauri kwa Dr.SLAA aanze kuunda baraza la...
:israel: Dr. Slaa atafanya press conference na waandishi wa habari kesho siku ya Jumapili. Mahali ni Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Dr. Slaa amesema sio kawaida yake...
juzi na jana watu wengi maarufu na ambao wakikohoa tu vyombo vya habari vinaandika hatimaye wanadai kuwa DR Slaa anazeeka vibaya we riz wa jk, we rost azim nyie uhai wa inji hii kweli leo Dr.Slaa...
Kweli hawa watu wa tume ni wajinga sana yani hamna kitu kabisa. Nafikiri masikio yao yalishabomoka.
Hii habari toka mtanzania daima
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), jana ilimtangaza mgombea...
Wana JF,kusema kweli nina hamu saaana ya kujua exactrly true results(un chakachuaji)ya mwaka huu for presidential level ili nione hali halisi ilivyo ya kisiaa nchini na ili niweze waonea huruma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.