Elimu duni na kutojitawala kifikra kumetufanya watanzania kuwa ngazi ya mafisadi, kila chaguzi zikaribiapo, tazama mtu amekuwa kiogozi tangu mimi nazaliwa na sasa nina umri wa miaka 31 jimbo lake...
Pamoja na wengine humu kukesha tukipiga kelele sidhani kama tutaambulia kitu, mwisho wa mwisho tumempeleka jamaa ikulu sijui kama atamkumbuka MS hata ukatibu kata achana na ukuu wa wilaya...
Tangu matokeo yatangazwe kwa ujumla nimekuwa ninajiuliza maswali mengi sana moja wapo kama wapinzani na wanamapinduzi hawaikubali tume na kwa mfano chadema na dr slaa wamegomea matokeo kuna...
:thinking:
mimi nimekaa najiuliza: hivi kwa nini tume ya uchaguzi - NEC isiwe na database (benki ya taarifa) ya uchaguzi kwa vituo vyote kwa ajili ya transparency na future reference. Mimi siyo...
Katika moja ya Mikutano yake kanda ya Ziwa, Rais anayeondoka madarakani Bwana Jakaya Kikwete alijikuta katika hali ngumu baada ya kuzomewa na wananchi pale alipotoa ahadi iliyotafsirika kama upupu...
Yafuatayo ni majimbo ambayo dalili zinaonyesha kuwa matokeo yamechakachuliwa ili kuipa CCM ushindi ingawa wapinzani walishinda;
1. Shinyanga mjini
2. Sumbawanga mjini
3. Mbozi Magharibi
4...
Habari ambazo nimezipata punde ni kuwa kuna uwezekano aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Bw. Lau Masha akafikishwa mahakamani hasa baada ya kukiri mwenyewe kuwa alimpigia simu mgombea wa Chadema...
huyu mwandishi ameelezea mambo ya muhimu sana ,na uhakika jumuiya ya kimataifa imeshatambua maovu yaliyofanyika katika uchaguzi huu.
nafikiri ile hali ya kisiasa iliyotokea baada ya uchaguzi wa...
Baada ya NEC kuhairisha uchaguzi wa wabunge katika majimbo ya Nkenge, Mpanda Mjini na Mpanda Vijijini, ningependa kujua kwanza kama Chadema ina wagombea huko? Pili, kama inayo...ingefaa sana...
Hali inaonekana ni tete sana baada ya Uchaguzi kwenye nchi yetu kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru. Kuna tetesi kwamba huenda JK akatangaza hali ya hatari kwa Taifa mara tu atakapoapishwa. Hii...
Picha hii hapa chini itadumu miaka mingi sana kuashiria nni namna gani watanzania walikuwa wakitaka mabadiliko ya kweli. Dogo huyu (mbele kabisa aliyenyanyua mkono kwa hisia) pamoja na kwamba...
Wanajukwaa la Jamii
Hatimaye NEC imetangaza matokeo yote rasmi ya Uchaguzi Mkuu 2010. Katika mchanganuo wa wapiga kura NEC imetoa takwimu zifuatazo:
Wapiga Kura Waliojiandikisha ni...
Nilikuwa Jijini Mwanza kwa siku kadhaa na niliyojionea sio siri ni mazito sana hata kusema,maana mengine nilikuwa ninasikia tu humu ooh wizi wa kura,ooh uchakachuaji,na mda mwingine nilijua tu...
Naanza kuandika hii thread nikiwa na huzuni kubwa sana. Najiuliza sipati jawabu kwamba imekuwaje na nini kimetokea kwenye Uchaguzi wa mwaka huu.
Kwamba eti Watanzania milioni 5 wamekubali tena...
Document hii itasaidia kuwafanya watu waamini kuwa upigaji kura mwaka huu utakuwa ni wawazi zaidi. Na labda ndiyuo sababu inayowafanya baadhi ya watu kupata presha kubwa sana.
Ndugu wana JF,
Kama Dr Slaa akikataa kukubali matokeo ya uchaguzi uliomalizika punde na kutangazwa Kikwete ndio mshindi. Tunakumbuka jinsi hali ilivyokuwa kule zanzibar baada ya uchaguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.