Kwa hakika vichwa vilivyo kwenye CC ndio vinaweza kuiua CCM au kuifanya iwe kweli chama cha mapinduzi... meaning changing with environment and time...
Binafsi naamini uwezo mnao na uzoefu kwa...
Sheria ya nchi inakataza mtu au kikundi cha watu kufungua kesi ya kupinga matokeo ya uraisi hata kama kuna ushahidi thabiti kuhusu kasoro za uchaguzi. Lakini katika hali isiyo ya kawaida CCM...
Naomba kujua wajameni, Obama amemtumia Kiwete salamu za pongezi mbona kuna vacuum ya pongezi toka balozi nyingii za Western World? je wamejua kilichotokea tayari au?
Wote tumeiangusha CHADEMA kwa uzembe ambao hampendi ujadiliwe kwa kina kila unapoletwa kama si makusudi.
Tume ilitangaza matokeo ya urais, ubunge na udiwani vituoni kote kwa kuyabandika hukohuko...
Ndugu zangu watanzania uchaguzi umekwisha tunachongoja ni matokeo ya jumla ya urais.Nifuraha yangu kuona upinzani umeongezeka bungeni,kwani hii itasaidia kupunguza makubaliano ya miswada ambayo...
Siku zote binadamu dhamira mara nyingi huenda tofauti na matendo.Haya yalishamkuta mfalme Suleiman yule binadamu anayesmwa kwenye vitabu vitakatifu kuwa na hekima sana, hata siku moja akasema...
Nawaomba Watanzania Wenzangu Upitie Web Site ya NEC The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage Soma Matokeo ya Uraisi na Utapata Hasira na Mtanzania Yeyote Anae Fuatilia Siasa na...
Baada ya uchaguzi wa Rais,Wabunge na madiwani 2010 uliotawaliwa na kila aina ya mizengwe toka chama tawala CCM.Sasa zimezuka kauli za kulinda amani na usalama wa nchi yetu,chama tawala...
Nimesikitishwa sana na kauli ya Mzee Mwanakijiji ya tarehe 5 November, 2010 saa 3:05 asubuhi: "Angalizo kwa wana JF - Lugha ya matumizi ya nguvu haina nafasi" ambayo katumia muda mwingi kujaribu...
wanasema ukila na kipofu usimshike mkono...hii sisiem wamewashika mkono watanzania wengi mno na hakika dhambi hii haitawaacha milele.. iko humu humu Jf ni kuhusu mkutano wa la cairo. hutaamini...
Kitendo cha "mzee wa vijisent"kuchukua fomu ya uspika ili kulinda maslahi ya mafisadi bungeni,ni mtego mwingine kwa serkali ya kikwete na wabunge wake baada ya ule wa kikwete kupita majimbon...
mimi nimekaa najiuliza: hivi kwa nini tume ya uchaguzi - NEC isiwe na database (benki ya taarifa) ya uchaguzi kwa vituo vyote kwa ajili ya transparency na future reference. Mimi siyo mtaalamu wa...
Nimeshtuka kidogo, baada ya kuona kwenye TV Rostam akijitetea kuwa siku anayodaiwa kufanya kikao Mwanza tarehe 19 alikua Afrika Kusini toka tarehe 16 October. Kilichonishtua ni kwamba tarehe 17...
DR SLAA.:A S cry:
Naomba usiwaendekeze sana hao waliotuibia kura zetu halali na kujipachika ushindi kimabavu. Zungumza nao na uwasome machoni kama wana la maana la kukueleza ili kulisaidia taifa...
kaka kitila mkumbo nakuheshimu sana na hasa kipindi ulipokuwa pale
chuoni uliyafanya kazi nzuri sana kama rais wa Daruso. nakuomba unipitishie
maoni yangu haya kwa wateule wetu wa chadema. hatari...
Naona kuna haja ya kulijadili ili jamani bse ni aibu.
Kwa kuanzi point zangu
I. NEC haikujipanga vilivyo kutoa elimu ya uraia the next question comes are they unfit for the job...
Labda gazeti la leo la Mwananchi liwe limefanya makosa ya uchapishaji lakini kama hakuna makosa basi hii NEC ni kiboko kabisa au nisema ni moto wa kuotea mbali......................
Katika jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.