Ndugu zangu nimeambatanisha report ya waangalizi wa Ulaya kwenye uchaguzi wetu, jamaa wangu mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi nao kaniambia jamaa walikuwa disappointed sana na mambo mengi kwenye...
Tanzania is still a backwater compared with its Kenyan neighbour to the north
Oct 28th 2010 | BUMBULI
Makamba (right) networks on the mount
THE parliamentary campaign in Bumbuli, a...
nimekuwa nikifuatilia hesabu za kura katika jimbo la Karatu, Kwenye website ya Tume ya Uchaguzi hakuna jimbo la Karatu lakini Kwenye Mwananchi Dr. Slaa alipata kura 147 (0.2%) Jk alipata kura...
Unapoona maraisi wa tano tu kutoka Afrika wamekuja kushiriki katika hafla ya kumpongeza JK na ushindi wa mezani basi ujue mabadiliko Afrika bado yana safari ndefu................
Maraisi hao ni...
Wana JF naomba mnijuze kama kuna uhusiano wa kuanza kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali madukani na matokeo ya uchaguzi. Au ndo tunaanza kurudisha gharama za t-shirts na mabango? sioni any...
Nawaaminia wana wa Rock city,ni dalili nzuri kwa maandalizi ya 2015.Mkwere ana kazi kwelikweli na mafisadi wenzie!kupingwa hadharani?????Big up Rais wangu DR.SLAA!Wamekubania mwaka huu,subiri...
Katika sheria za uchaguzi ni kwamba baada ya matokeo kutoka kila mgombea anapaswa kusaini kukubali matokeo, nauliza iwapo mgombea hakukubali matokeo na kagoma kusaini nini kinafuata. Maana katika...
Inasikitisha sana kwamba kuna Waislam bendera-fuata-upepo waliopotoka, ambao walishawishiwa na ule ujumbe uliokuwa ukisambazwa kwamba Kikwete anapaswa kupigiwa kura na Waislam KWA KUWA ni Muislam...
nimeona hoja mbalimbali toka wanachama wa sisi em kuhusu kuwapa nafas wengine wajaribu nafasi ya uspika hiyo nzuri ila nguvu hizo sikuziona kwenye nafas ya urais ndani ya chama zaid ya kukusisita...
Katika wiki hii na hasa siku mbili zilizopita nimefuatilia mijadala kuhusu uchaguzi wa Spika wa Bunge kwenye media zetu (TV na Magazeti). Wengi wa waliochangia walikuwa wanaonyesha kwamba Samuel...
Watanzania wenzangu, Tanzania hatuna viongozi bali tuna wezi wabakaji wa demokrasia, Mafisadi, Madhulumati, Wanyonyaji, Wasio kuwa na chembe ya Uzalendo na nchi yao. Mkuu pls check hizi data the...
Jamani, jana kwenye sherehe za kumwapisha Mkwere, Bwana Mwai Kibaki nusura asije kabisa hadi mwishoni alipoona kuwa aliyoyatenda kwa Odinga yanafanana ya yale aliyoyatenda kikwete kwa wapinzani...
Gazeti la Majira la leo limeripoti ya kuwa Mwanasheria MKuu Bw. Werema akivisigina vyombo vya habari vya hapa nchini kwa kuwashabikia wanasiasa katika uchaguzi huu bila ya kufanya...
Watanzania tuna kila sababu ya kukichukia chama cha ccm bila kujali itikadi za vyama vyetu....Ni aibu sana kumsikia fisi wa ahadi namba 4 akitangaza nia yake ya kugombea uspika wa bunge na...
Poleni na vuguvugu wana JF.
Jamani mm kuna kitu najiuliza sana kwa nn Prof Lipumba hakuzungumzia suala la yeye au chama chake kwa ujumla kwamba ktk zoezi zima ka upigaji na kuhesabu kura...
piga kelele usichoke kuwa kuna haja kubwa kwa sasa kuwa na maridhiano ya kitaifa wananchi tumesha jeruhiwa sana kisiasa kiuchumi na kijamii dawa ni MARIDHIANO JK kaanza vizuri kwa kutamka kuwa...
Juzi wakati nasikiliza radio WAPO, kuna mmama mmoja kutoka Kibamba, alipiga simu kwa mgombea mmoja hivi akawa analalamika kuwa watamfanyia nini ikiwa atachaguliwa, hasa juu ya suala la Mhindi...
Total Population in Tanzania: about 35 M
Eligible population for voting: estimates from NBS projections 47% of the population about 16 Million above the age of 18.
Those who registered for voting...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.