Kuna wabunge/madiwani wapo CCM hawapendi kabisa mtindo wa chama chao wa "Penye uzia pitisha rupia". Lakini ni waoga wasio kifani. Na tuseme si wabunifu. Wanadhani wamezaliwa kuwa wabunge/madiwani...
Hili lisiwashitue maana sasa hivi makada wa CCM ni njaa tu imewaweka huko na wala siyo mshikamano wa ki-itikadi na baada ya JK na CCM kupigwa mwereka na Dr. Slaa usishangae kuona kadamnasi ya...
Controversy over the two Tanzanian electoral commissions and alleged Special Branch involvement on the side of the ruling party in the just ended general election, deepened last week with...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema majina ya wabunge wa viti maalumu yatatangazwa wiki hii kwa ajili ya kuapishwa pamoja na walioshinda kwenye majimbo, ambavyo vitaamua ni chama kipi...
Ili uchaguzi uwe huru lazima wapizani wapiganie watanzania wawe na national id yaani kila Mtanzania awe na kitambulishe cha taifa .
Wakati wa kuandikisha wapiga kura liwe ni shart kuu la...
Hivi karibuni usalama wa Taifa, Rostam na Lowassa waliongea na vyombo vya habari na kukanusha kuwa hawakuhusika na uchakachuaji wa kura wakati wa uchaguzi. Rostam na Lowassa wakatoa vithibitisho...
Inasemekana na Zenji, maalim Seif Shariff Hamad alikuwa ameshinda kiti cha urais akalazimishwa kukubali matokeo na JK na jeshi ndipo akaanguka saini kukubali ye ni wa pili, kuepusha usalama wake...
Labda ni macho yangu lakini ile gari ni mil-grade kweli? Mi nadhani nimeona a customized Nissan Patrol.
Hii imekaaje? Tumekosa gari mil-grade la kumbeba prezidaa wa nji hii kweli? Mpaka kwenye...
Ukiangalia Demographic Strong Hold ya Vyama Vya Kisiasa Tanzania, Utaona CCM Imebaki Nyuma Sana na Kupitwa na Vyama Karibu Vyote. Jambo ni Kwamba Kuna Hawa Viongozi wa CCM Hawawajui Wananchi na...
Wapinzani walisema ccm ni chama cha mafisadi watu wapenda RUSHWA
lakini mpaka sasa hakuna mgombea yoyte amekamatwa akitoa rushwa
bravoo takukuru bravooo jk bravoo ccm
Mkurugenz wa NEC amekubali mwenyewe kwamba shughuli ya uchaguzi ya mwaka huu wamechemka,, Habari za uhakika zinatoka kwenye Gazeti letu la the Citizen leo zina sema Mkurugenzi Rajabu Kiravu leo...
Tuwe makini. Humu ukumbini wameingia watu "virus" ambao nia yao ni kuona Chadema wanafarakana. Wapo watu wanaoshabikia na kusambaza sumu, kwa mfano kutabiri Zitto kutaka kugombea uongozi wa...
Wadau hivi chadema wamepata viti maalumu vingapi bungeni?pia nimesikia kwenye magazeti ya kuwa chadema kupata viti maalumu rasmi,nimeshindwa kuelewa hili coz ninachojua hivi huwa anapewa nafasi...
Nafikiri ni vema kwa Chadema kuendelea na uongozi wake wa juu kama ulivyokuwa kabla ya Uchaguzi; kitendo cha kujaribu kubadilisha NEC kwa sasa na kuingiza wageni ni hatari ila kama taratibu...
Sioni Kama Kuna Umuhimu wa Viongozi wa CCM, Kikwete na Mawaziri Watakaoteuliwa Kutambulika Duniani. Hii Iwe Moja Wapo ya Initiative ya Nchi Zingine Kuadhibu Vyama Vyovyote Vinavyo Wakandamiza...
ALIYEKUWA Spika wa Bunge la Tanzania lililomaliza muda wake, Samuel Sitta, ana hamu ya kuliongoza Bunge lijalo hivyo anatarajia kujaza fomu kesho kukiomba Chama Cha Maja sorry Mapinduzi (CCM)...
Ivi kwa nini tunaita huu WIZI wa kura UCHAKACHUAJI? Ni kwa ajili ya kupunguza makali ya ukweli wa jambo au vipi? Kwa nini tusiuite kwa jina lake sahihi - yaani WIZI? Tunataka kugeuza huu wizi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.