Her hands bound and stretched
Between heaven and earth
Her life almost snatched
As her skin torn, in gory
She screams and cry
In anguish she sustain excruciating pain
Her tormentor mercilessly...
Katika medani ya siasa inapobidi, vyama vya siasa hasimu huona ni heri kufunga ndoa ya maridhiano, (marriage of convenience) ili kuepusha balaa.
Ndoa hiyo ya maridhiano inayo mifumo mingi. Mfumo...
Kama JK angeniomba nimchagulie mawaziri kumi ningechagua wafuatao.
Waziri mkuu - Mark Mwandosya
Fedha - Mustapha Nkulo
Nje - Bernard Membe
Ndani - January Makamba
Madini - John Magufuli...
Tanzania electoral commissions under fire over handling of poll
The East African, 8 November 2010
Controversy over the two Tanzanian electoral commissions and alleged Special Branch...
Wimbo wa kichaa kweli. Tena kichaa kama Malaria Sugu.
Watz wenyewe wamejua. Kuwa wimbo huu ni wa kichaa tu.
Kwamba chadema ni cha kikabila. Eti kabila. Kabila gani? (Lyehaga nasege tam).
Eti...
Wakuu punde Dr. Slaa ataanza mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu uchaguzi mkuu pale makao makuu ya CHADEMA Kinondoni, kwa wale mliopo huko tupeni update...
Mungu uko wapi. Mbona Tanzania inaanza kupoteza mwelekeo kwa haraka? Watu wanapenda mali na madaraka na UPENDO baina yetu unafifia. Au ndo utimilifu wa maandiko Matakatifu kwamba siku za mwisho...
TAARIFA RASMI KWA VYOMBO VYA HABARI NOVEMBA 5, 2010
Novemba 3, 2010 mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa aliwatuhumu makada 30 wa Chama Cha...
Ndugu Wana JF, na hasa wana-mageuzi.
Malaria Sugu amejipambanua kuwa ni mtu mwenye dharau anayependa kukebehi na kusifia upuuzi.
Ninashauri tumkatae. Tumdharau. Tusichangie 'pumba' zake.
Au...
maamuzi tuliyofanya wewe,mimi pamoja na watanzania wengine jumapili iliyopita yanaweza kuwa ndo hayo yametangazwa na nec kuanzia jumatatu iliyopita na yakahitimishwa na ya urais nasema yanaweza...
Tunaelekea ukingoni kwa hiyo kwa wale waliofurahi tumieni hii weekend kwa hilo ila tu Jumapili mpumzike, kwa wale wenye huzuni fanyeni maombolezo ila tu muinue tanga Jumapili, kwa msio na mwelekeo...
NILISIKITISWA SANA NA KITENDO CHA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUTOWARUHUSU WANAVYUO WALIOKUWA WAMEJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KUPIGA KURA SEHEM NYINGINE KAMA HAKI YAO YA MSINGI NA...
Mhe. Rais,
Awali ya yote ninaomba nitangaze rasmi kwamba nimeamua kukubaliana na matokeo yaliyokuwezesha kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya pili tena. Malalamiko...
Ukifuatitia takwimu za makadirio nilizozifanya za wagombea wa URAIS wiki mbili kabla ya uchaguzi, utagundua kwamba Mh Kikwete nilimpa 62%. Ukizingatia matokeo halisi ya kura yaliyotangazwa leo na...
THE FOLLOWING ARE SOME OF THE REASONS I BELIEVE JUSTIFY THE DISMANTLING OF NEC TO PAVE WAY FOR AN INDEPENDENT ELECTION COMMISSION MEAN WHILE A PEOPLES INTERIM ELECTION COMMISSION BE APPOINTED...
POLITICS IN THE WORLD ARE DIVIDED INTO TWO MAJOR SIDES THE LEFT AND THE RIGHT
CCM-POLITICAL RIGHT-WHAT IS IN THE POLITICAL RIGHT OF THIS PARTY
AUTHORITY-CCM assumed that they have the right to...
katika maisha yangu nimepiga kura hii mara ya nne lakini mara zote tumeshuhudia watanzania wakijitokeza kupiga kura na hasa huwa karibu wakuwepo watu wanapiga kura mpaka sa vituo vinafungwa...
Matokeo ubunge Bunda ni kama ifuatavyo:
CCM wamepata kura 27305
Chadema wamepata kura 12572
Kwa hiyo Stephen M. Wasira ameshinda jimbo la Bunda kwa asilimia 68
Habari ndio hiyo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.