Nimeangalia picha ya watu waliohudhuria sherehe za kuapishwa Jk kama Rais wa Tanzania. Picha hizo zilinishtua pale nilipoona watu wamevaa mavazi ya CCM na kubeba bendera za CCM. Nikajiuliza, hivi...
Baada ya Hitimisho la leo la kuapishwa kwa Rais aliyeshinda kwenye uchaguzi Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE ( Japokuwa mgombea wa Cahama fulani hakutokea eti amesusa, ila wenzake wala yeye akisusa) ...
Sasa nimeamini kuwa Kikwete alichaguliwa na wanachama milioni 5 wa ccm.
CCM ina wanachama zaidi ya milioni 5 nchi nzima.
Hivyo nadiriki kusema kuwa wale wapigakura zaidi ya milioni 4 waliokosa...
Kikwete inaugurated, orders Tanzania forces on alert
Sat, Nov 06 08:20 AM EDT
By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzanian President Jakaya Kikwete told security forces on...
Kupanga ni kuchagua. Hakuna haja ya kulaumu tena kwamba maisha ni magumu. Adhabu tumeitaka wenyewe. Kwa hapa Marekani, Chama kinachosababisha umaskini kwa namna yoyote ile, kinanyimwa uongozi wa...
nimepita kwenye mtandao watume ya uchaguzi ili kujua matokeo ya urais jimboni humo lakini jimbo hilo na matokeo yake hayapo. nini kilichojiri mpaka matokeo yasiwekwe kwenye website ya NEC?
Wachambuzi wa Siasa:
Naomba msaada, nimetafuta kanuni za bunge toleo la mwisho nadhani ni la 2009 bila mafaniko, kuangalia kama CHADEMA inauwezo ya kuunda serikali kivuli yenyewe bila kuihusisha...
Kazi mliyoifanya wanaJF katika Uchaguzi wa mwaka huu (2010) ni ya kutukuka.
Nina imani na wanaJF kuwa sasa tutaijenga Tanzania ya Amani ya kweli na Haki.
Tusilegeze kamba katika kufanikisha hili.
Lipumba amebwagwa kwenye uchaguzi. Pamoja na kubwagwa yeye hakuonyesha uso wa mtu aliyeshindwa bali ni kama mtu aliyepata ushindi. Hili lilijidhihirisha wakati anatoa neno kama mshindwa hapo jana...
Wamehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Kikwete wageni kadhaa kutoka nje ya nchi. Kama matokeo ya uchaguzi yametangazwa jana, ina maana mpaka hapo jana (katika hali ya kawaida ya demokrasia) ni NEC...
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CUF, Profesa Ibrahim Lipumba jana aliungana na wanazuoni pamoja na wananchi kuiponda Tume ya Uchaguzi (Nec) kwa kushindwa kuhamasisha Watanzania kushiriki kikamilifu...
People's Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!!!!
By any means, this young guy is no CCM
Kitoto kidogoooooooooooo, lakini HAKIDANGANYIKI
Nimepitia gazeti la Mwananchi la leo na nikabaini ya kuwa kumbe NEC wamesema JK alishinda kila Mkoa wa bara na Lipumba kushinda jumla kuu ya Zanzibar...................Zanzibar Prof. Lipumba kura...
Nowhere in our 49 years since independence has a presidency been harangued with allegations of vote rigging and having crawled back to power with such a narrow mandate to lead this nation.....a...
Mbunge mteule wa Jimbo la Ubungo,John Mnyika
Na Ramadhan Semtawa
TOFAUTI na muongo mmoja uliopita ambao CCM imeweza kuwa na ngome imara ya kisiasa mkoani Dar es Salaam, safari hii kambi ya...
Miaka mingine 5 ya wizi wa JK na genge lake unaendelea (Part 2) ya JK. Jitaarisheni watanzania kwa wakati mgumu unaoletwa na JK na genge lake la kimafionso, co-starring Chenge, Lowassa na wengineo...
Pamoja na kuwa uchaguzi umeisha na uchakachuaji umeisha, mimi nina swali juu ya aliyekuwa anatunza vifaa vya uchaguzi kuanzia fomu, karatasi za kura na masanduku. Ninajua kuwa vifaa hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.