As a nation,we all agree that peace and unity are the prerequisites for our development.It is our collective responsibility to embrace them in every step we take as we strive to reach higher...
Tatizo lililoikumba nec achilia mbali kuwa ni wakala wa ccm, pia kuna tatizo la integrity ya hao viongozi. Nashauri hata kukiwa na tume huru iweze kuwa na uwakilishi wa viongozi wa dini katika...
Friday, 05 November 2010 08:45
Geofrey Nyang'oro
WAANGALIZI wa ndani wa wameeleza kuwa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 31 ulikuwa huru na wa haki lakini kulikuwa na kasoro kwenye kuhesabu kura...
Jamani huyu Peter Mziray mimi namuona kama ni mgombea binafsi vile.
Sasa nimeshtuka kwamba kuna majimbo ambayo ameweza kuwashinda wagombea wa vyama established kama NCCR,CUF,na TLP.
I mean...
Jamani wandugu,
Toka juzi hapa ofisini kwangu ndege za kijeshi za Luteni Jenerali Shimbo zinapita angani kwa kasi. Je, zina uhusiano wowote na matokeo ya uchaguzi? Je, zinataka kuthibitisha kuwa...
Tume ijayo ya uchaguzi inapendekezwa iwe na wajumbe wafuatao, ambapo majina yao yatawasilishwa kwa Mh. Rais kwa ajili ya uteuzi wa mwisho:
1. Dr Wilbroad Slaa ( Mwenyekiti)
2. F. Mbowe ( Makamu...
Kuna msemo usemao kilio cha samaki machozi huenda na maji. Lakini ni tofauti kwa machozi ya binadamu........ Hata kama mwehu atafariki leo kwa namna yoyote ile, ni lazima watatokea watu watambue...
Kulingana na data za sasa hivi Tanzania ina watu wapatao milioni 40. Waliojiandikisha kupiga kura ni 20 milioni. Waliopiga kura ni 8 milioni. Waliomchagua JK ni milioni 5. Ukiangalia idadi...
Habari zilizotufikia ni kwamba "dream team" a CUF iko bize kupanga nani ataingia kwenye baraza la mawaziri la serikali ya umoja wa kitaifa. Wakati maalimu Seif tayari ni Makamu wa Kwanza wa Rais...
Uchaguzi umekwisha na matokeo ya Tarime yanasikitisha. Chadema imezidiwa kura chini ya 1000 na CCM... hii inaweza kuwa ni kweli au vinginevyo. Lakini lililo dhahiri ni kwamba ushindi wa Chadema...
Msemo wa wajinga ndiyo waliwao umetimia tena kwa walala PUUUUU wa kitanzania.
Kuna msemo waswahili husema "Nyumba isiyokuwa na choo haimzuii dalali kupangisha"
Ujinga na umbumbu wa watanzania...
Malalamiko katika kila kituo cha uchaguzi wa mwaka huu ni watu kuambiwa kuwa majina yao hayapo na bila maelezo.
Tunaomba tume ijibu hii tuhuma rasmi
tusiishie kusema tu watu hawakujitokeza...
Vijana wawili wamepandishwa jana kwenye Mahakama ya mwanzo ya Viwawa wilayani Mbozi kwa kosa la kutembeza jeneza lililofunikwa bendera ya chama cha mapinduzi pamoja na msalaba katika mji mdogo wa...
I'd love to appeal for Dr. Slaa to conduct Chadema's tasks and implement its plan as business as usual especially to strengthern Chadema. NEC ignored your concerns and now section 41(7) of the...
Ni ajabu, aibu, na kukosa uelewa kwa mtu anayesadikika kuwa na digrii ya uchumi (UDSM) (ambayo si amini kama aliwahi kupata) Kukubali kupewa urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania huku akijua...
Hizi ni twakimu za uchaguzi mwaka 1995, ambapo Mrema alikuwa mpinzani mkuu:
Mkapa - 61.82%
Mrema - 27.77% - Mpinzani Mkuu
Total votes - 6,846,681
Ukilinganisha na matokeo yaliyotangazwa leo...
Wapendwa wanajamvi la JF, napenda kuwapongezeni kwa kazi nzuri tuliyoifanya ya kukifikisha chama chetu na Rais wetu Dr. Slaa hapa tulipo hii Leo. Ni ukweli usiofichika kwamba CHADEMA tumemefanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.