Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wamemvisha mbuzi suti na kuwaambia watanzania kuwa huyo ni mtu, sis itunasema SIYO MTU. Hakuna shaka kuwa watanzani wengi wenye mapenzi mema na nchi hii wamefuatilia kwa karibu sana pilika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Uchaguzi wa mwaka 2010 umekuwa somo kubwa sana katika maisha yangu. Baada ya kuishi miaka 30(umri wangu) katika maisha ya mazoea na kukata tamaa, sasa nina amini nchi hii kuna watu wanaoweza...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
  • Closed
nIMESIKIA redion AFANDE KOVA anatuambia kuwa wapelelezi wake wamegundua kuwa kuna watu wanaandaa watu kufanya fujo.Hivi jamani upepelezi gani huu wa polisi mntangaza kama vile ni maandalizi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine! msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Nasikia vijana sugu wa Arusha wanaandaa coster na cruiser za kumwaga ili kwenda kushuhudia mp mteule shujaa G.lema akiingia mjengoni.watu wa A-city tupeni details.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NEC imekuwa ikshutumiwa kuwa inaendeshwa na makada wakareketwa wa CCM sasa huu ndiyo mtihani wao mkubwa kuliko yote................. Baada ya Chadema kudai kura za vituoni hazijaheshimiwa katika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Why there are so many gray areas in our legal system and electoral process? What is being witnessed in the 2010 election process is primarly a result of weakness in the setup and structure of...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Katika hali isiyotarajiwa, huku zikiwa zimebakia kata mbili za Mbagala kuwasilisha matokeo yao kwa Msimamizi Mkuu wa Jimbo la Kigamboni, kwenye kituo cha kupokelea matokeo yote ya uchaguzi wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Democracy in Tanzania is the government of the JK Family and his Family friends, by the UWT and NEC, for the JK family and his family firends (JK, 2010).
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Form za Uspika wa Bunge la Jamhuli ya Mhuungano wa Tanzania; Ndg kuna mambo ya muhimu hapa. Nasikia kuwa watu wameisha anza kuchukua form za kuomba hicho cheo cha uspika. Baadhi yao ni Bwn...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dr. Slaa ametoa tamko kwa waandishi wa habari akilitaka tume ya uchaguzi kusitisha zoezi kwa kile anachosema usalama wa taifa kuhujumu kura za watanzania. Source taarifa ya habari ya saa 10.TBC
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanajamii, Pamoja na kudhulumiwa viti vyetu vingi vya uwakilishi wa kweli wa wananchi (CHADEMA) bado mpaka sasa kuna matokeo ya viti 64 ambayo hayajajulikana. Vipi katika hayo majimbo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kibaha mjini Segerea Shinyanga mjini karagwe Kigoma mjini Mbeya vijijini Sumbawanga vijijini Tarime Kilombero ulanga magharibi Mbozi mashariki hanang Busanda Muleba Nkasi Ukonga Majimbo haya...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wana JF, naomba nielimishwe, kwanini JK analazimishwa ushindi wa kishindo? Wabunge wa viti maalumu wanategemea kura za rais au za wabunge wa majimbo? Nimekuwa natafakari sana kuna umuhimu gani wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kazi ya kwanza tunayowatuma Madiwani wa Chadema pa1 na wabunge wetu ambao kwa idadi yao watakuwa wana icontrol Halmashauri ya Jiji nikutuondolea hii Takataka(Wilson Kabwe)ni lazima aondoke,Ushenzi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Hapa nawaza tu...ni vitu ambavyo vinawezekana kufanyika kwani kwa sasa lengo la CCM litakuwa kupunguza nguvu ya upinzani na kuwagawa. Hivi ikitokea JK akampa Zitto au mmojawapo wa wabunge...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Zito kabwe mbunge mteuliwa wa kigoma kaskazini alikuwa kigoma mjini kumtetea mgombea mwenzake wa chadema huko kigoma mjini ambapo jimbo hilo lina utata na kuna dalili kuwa ccm wanataka kuchakachua...
0 Reactions
99 Replies
11K Views
Makamba juzi alitangaza kuwa wote wenye nia ya kugombea nafasi ya uspika na unaibu spika wakachukue form hizo kwenye ofisi za CCM na gharama ya form ni sh. 500,000. Pia alisisitiza kuwa si...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza naomba niwapongeze wana Kigoma kwa kuonyesha moyo wa dhati wa mageuzi ya kweli. Kigoma wamewanesha watanzania kuwa wamechoshwa na utawala dhalimu wa CCM. Sasa Kigoma imekuwa ngome ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
M/kiti wa tume ya uchaguzi wa TZ alipoulizwa kwanini matokeo ya urais anayotangaza yanatofautiana na yaliyobandikwa kwenye vituo alijibu kuwa hayo yaliyobandikwa hayajahakikiwa kwani wanaohakiki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom