Tanzanian Opposition Party Demands Election Recount
Source: The San Francisco Chronicle with Bloomberg
Nov. 3 (Bloomberg) -- Tanzania's opposition Chadema party demanded a recount of ballots...
Nimezunguka kwenye websites nyingi za kibongo hamna hata moja yenye listi ya wabunge wateule waliotangazwa rasmi(zaidi ya nusu sasa) na jumla ya kura za uraisi nazo pia zaidi ya nusu...
Mahali popote yalipowahi kutokea mapinduzi ya raia, ukiangalia sana utagundua kuwa nyuma ya mambo kulikuwa na historia ya raia kunyimwa haki zao za msingi au serikali ilikiuka maadili ya utawala...
Sasa tuanze kazi na wabunge wetu bila kusubiri.
Wabunge wa wetu upinzani hasa CHADEMA watahitaji taarifa kwa wingi yaani wawe informed kuliko maelezo.
Tujipange jinsi tutakavyowasaidia...
Ndugu Watanzania Huwa sipatikumuelewa kabisa Huyu Fisadi King Kikwete kung'ang'ania madaraka wakati hawezi kuongoza nchi. Hebu nisaidie kutafakari maana nawaonea huruha watanzania wa hali ya chini...
Matokeo yaliyotolewa mpaka leo usiku na NEC ni kuwa Kikwete aongoza Urais, Lipumba wa CUF wa pili na Slaa wa tatu!
Imegundulika kuwa kuna MWAFAKA WA SIRI WA TANZANIA BARA kati ya CCM na CUF...
Taarifa nilizoona ITV sasa hivi toka huko shinyanga ni kuwa kuna system ilishatengenezwa ya kuchakachua ya mtu kupewa karatasi tatu za kupigia kura baada ya kuonesha ishara ya vidole vitatu kwa...
Kwa mujibu wa TBC taifa Radio..Mhe Blades amechukua kiti cha Jimbo la Karagwe kwa kumshinda mgombea wa chadema.Amepata kura 32,000+ na mpinzani kapata kwenye 20++++
CCM wameendelea kuchakachua tu.
Nachelea kusema kuwa mamlaka aliyopewa Rais kuunda tume ya uchaguzi anyang'anywe mara moja kwani hapo hakuna democrasia hata kidogo. Nafikiri ijumuishe pia wapinzani ili kuondoa huu upuuzi...
naomba unisaidaie kupeleka habari hii kwa wana jamii kwamba nyumba iliyopo kwembe mpakani kilomita 2 kutoka barabara ya mororgoro ukipitia pale kituo cha mafuata cha natoil kabla ya kibamba...
If I am wrong someone to criticize me please.
Naona kama jana ndo ilikuwa mwisho wa kutangaza ushindi kwa majimbo ambayo yamechukuliwa na wapinzani.
Je ni agizo toka NEC kwa wasimamizi kuwa...
Mtalalamika sana ila ndio hivyo CCM inatesa kwa zamu ,safari hii inaipa kisago Chadema mtapiga makele mengi sana ila karibu NEC watapigilia msumari wa mwisho,
Je mtaweza kufanya maandamano nchi...
Wana chadema, Tuwaombe Viongozi wote wa chadema wasome hii topic kuwa kwa majiji na halmashauri walizochukua wahakikishe wanafanya vizuri sana ili mwaka 2015 iwe sample kwa miji mingine pia kwa...
Je? Hivi sheria zetu zinaruhusu AMRI ya mahakama kusitisha shughuli za NEC kwa manufaa ya usalama wa raia pindi ikipoke malalamiko halali? Naamini tuna kila aina ya ushahidi kuthibitisha Tume ina...
Nimesikia Clouds fm sasahivi kwamba Mahanga na Mwakiposa wa CCM wameshinda katika majimbo ya Segerea na Ukonga respectively,mliokuwa Arnatouglo tupeni data kamili!
If I am wrong someone to criticize me please.
Naona kama jana ndo ilikuwa mwisho wa kutangaza ushindi kwa majimbo ambayo yamechukuliwa na wapinzani.
Je ni agizo toka NEC kwa wasimamizi kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.