SPIKA wa Bunge lililomaliza muda wake, Samuel Sitta, amesema Bunge lijalo litakuwa tishio na anatamani kuwa spika wake.
Sitta alitoa kauli hiyo jana muda mfupi baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa...
Nilikuwa nje kidogo ya kijiji kwa hiyo kwa muda sikuwa na taarifa za nini kinaendelea. Baada ya majaribio ya karibu siku tatu hatimaye kura zimetosha kwa CCM. Regia aliweka wakala kwenye kila...
Hadi sasa nawasifu kwa kuwa waangalifu kutoa matamko juu ya mwenendo mzima wa uchaguzi, najua hadi sasa mambo yanakwenda kama mlivyopanga na naomba muendelee kutuliza akili.
Kama mtakuwa careful...
Hivi wadau haiwezekani kumshawishi yule aliyeshinda jimbo la Dr.Slaa ajiuzulu baada ya kuapishwa ili uchaguzi urudiwe Slaa agombee arudi mjengoni? Sheria inasemaje kwenye hili? Itakuwa pengo kubwa...
Waangalizi Madola: Uchaguzi haukuwa na uwanja sawa (Source: :: IPPMEDIA)
WAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA EU, AU NA ICGLR WASEMA UCHAGUZI ULIKUWA HURU NA HAKI, UTULIVU NA AMANI (Source: MICHUZI)...
Taarifa zisizo rasmi zinasema JK alikuja Mza kujalibu ku'rescue' situation, na moja ya mbinu mbovu iliyotumiwa baada ya zote kugonga mwamba ilikuwa akubali kupokea kiasi hicho ili JK atimize azma...
Wednesday, 03 November 2010 05:18
Na Mwananchi
MGOMBEA urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema), Dk Willibrod Slaa amesema, atayakataa matokeo ya urais...
tumeona mambo yalivyokuwa mwaka huu ingawa bado kuna wenzetu hawakubaliani na baadhi ya matokeo kwa sababu wanojua wao binafsi ila ukweli ni kwamba bado upinzani haujawa na nguvu ya kutosha hivyo...
SASA UDr. wa kikwete ni wa wapi? Honoraria Doctorate hazitakiwi kumtambulisha mtu ..except Academic na proffesional .
Sasa huyu mkwere anapenda sana kujitambulisha na kutajwa na vyombo vya habari...
katika Thread ya CHADEMA kuchuka Kilombero, nimemtumkana Bado niponipo. Naomba Uniwie Radhi maana nilihamanika kwa Sababu toka jana kuna Members ambao kazi yao ni kuleta habari ambazo hata wenyewe...
Jamani vipi matokeo ya urais bongooo????kuna nini kinaendelea????Tumepiga kura siku moja na Brazil,wenzetu wameshapata rais wao na kura zilihesabiwa na kupatikana mshndi just in two days na...
Mie siamini kama kura zilizoharibika ni nyingi kiasi hicho, sidhani pia kama Watanzania ni wajinga kiasi hicho. Mie nafikiri kura zilizoharibiwa ni za Wapinzani na zimeharibiwa kwa makusudi ili...
Haya Dr. Slaa tunashukuru kwa kutaka kuingiza nchi yetu kwenye mfarakano usiokuwa na maana... kisa umesifiwa sana...
Hili jambo laweza kuondoa credit zote ulizopewa na wananchi nakutakia kila...
Waumini wanaoadiwa kuwa ni wa imani ya Freemasons inayosemekana inatumia nguvu za giza, mwishoni mwa wiki iliyopita walifanya sherehe ya kufuru nchini ambapo Risasi Mchanganyiko lilifuatilia...
JAMANI E NAOMBA MUNIPE MSTAKABALI WA USHABIKI TUNAOUSHABIKIA,, MAANA ISIJE KUWA TUNASHABKIA VUMBI KUMBE JAMAA KAKUACHA PAKUMBWATU..
NAOMBA NISAIDIWE MAJIMBO MANGAPI YALIYO CHUKULIWA NA CHADEMA...
Iwe kweli au sio kweli hali inabaki kuwa JK tunaye for the next 5 years Insha Allah
Nini kifanyike ili huu uchakachuaji wa safari hii usijirudie tena na watu wapate haki?
We know they have good...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.