"Tunatarajia kutoa tamko letu leo kufuatia mwelekeo wa utangazaji wa matokeo ya kura za urais na maoni yetu juu ya yale yaliyojiri kuanzia siku ya Jumapili. Tunashukuru kwa uvumilivu na uelewa...
jamani tangujuzi matokeo hapa yalikuwa tayari bt baada ya kufika ksir george kahama mambo yamebadilika,watu jana walipigwa mabomu wakajeruhiwa lakini mda huu bado watu wamejaa niko hapa tangu jana...
Naomba sana wabunge wa upinzani tukatae kurudia kuhesabu kura kwa wale majimbo yao hayajatangazwa, ni hatari sana ni sawa na kushika waya wa umeme bila rubber gloves.
Ni kweli mahanga alikamatwa na mabox ya kura..?, kama ni kweli amechukuliwa hatua gani..?, mbona yule aliyekamatwa na karatasi 2 shinyanga amefungwa miaka 3, na vipi aliympatia hiyo karatasi...
From the attached na NyongezaKibaha Mjini,Segerea,Kilombero mnaweza kuongezea.
Sababu kuu ikiwa tofauti ndogo ya kura ikiambatana na uchelweshaji wa kutoa matokeo.
Bila kusahau ushaidi wa wale...
DAUDI Gimbishi (41) mkazi wa Kijiji cha Mwamitumi, Kata ya Ipililo, Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu, jana amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela bila faini kwa kosa la kutaka kupiga kura...
Wengi wa wasanii wa Bongo flavour Mnachekesha sana mlipokuwa mkinunuliwa kutumbuiza na kipigia debe CCM wakati mwenzenu Mr II alipokataa kutumiwa na CCM na kwenda kujikita upinzani. Haya naona eti...
Ivi kweli kuna mtu mwenye akili timamu asiyejua kuwa NEC wanafanya hila kubadilisha matokeo?
Ivi kweli unaweza kusema huu ulikuwa uchaguzi huru na kweli Tanzania?
NEC wametia aibu Tanzania
CCM...
Kuna tetesi kuwa karagwe CCM wamechukua jimbo, hii ni baada ya kijina wa CHADEMA aliyekuwa akiongoza kwa tofauti ya kura 500+ kukubali kurudia kuhesabu kura, hii inatokana na Mh. wa zamani (Sr...
Waungwana kwa matokeo yanayoendelea kutolewa na tume, bado ninawasiwasi na watanzania kama kweli wanataka kujenga nyumba bora.
Slaa aliahidi kushusha bei ya simenti na bati, lakini kinachoendelea...
Marando yuko sahih, kama mawakala wao wanayo matokeo ya kila kituo, ni rahisi kuyajulisha upya na kutoa tamko. Wasitoe tamko kabla hawajawa na exact figures, wakikuta kuna utata wanaweza kutosaini...
Wakati rais jakaya mrisho kikwete anahojiwa na waandishi wa habari wakati wa kampeni 'live-itv' alisema:
"kama kila chama kina mawakala wake vipi kura zinaibiwa?"
ukiona hivo ujue hao mawakala...
Kuna njia nyingi zinazotumika kuchakachua matokeo na njia mojawapo ni ile ya kubadili masanduku na kisha kutaka kura zihesabiwe upya na njia kuu ni ile ya kubadili takwimu.
Nitaongelea njia hii...
Nilikuwa najaribu kujiuliza kwanini kuanzia jana mchana mapambano ya kulazimisha ushindi kwa CCM na hasa kuwanyima Chadema ushindi wao hasa katika majimbo ya Segerea, Kigoma Mjini, Karagwe, NGara...
Jamani siyo kweli kuwa Dr. Mary Nagu kaangushwa.
Nagu ameshinda tena kwa kura nyingi, ila Rosemary Kamili wa CHADEMA amekataa kusaini fomu za matokeo.
Matokeo:
Nagu CCM: 38,000 +
Kamili...
Katiba ya Tz mparaganyiko wa hali ya juu.
Kama JK bado ni raisi wa Tz mpaka leo then akishinda anaapishwa kwa ajili ya nini wakati bado hajautema huo uraisi.
Na sasa JK anatambulika kama nani...
Kwa utaratibu wa kawaida miaka yote huwa naona kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika huwa rais wa jamhuri anatangaza kuvunja baraza la mawaziri na makatibu wakuu wanakaimu kwa muda mfupi. Lakini mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.