ili kuondoa utata unaojitokeza kati ya idadi ya kura zinazotangazwa na tume na idadi ya kura wagombea wanavyodai kupata.
Nashauri badala ya kukaa kimya wagombea ubunge wanaodai kuchakachuliwa...
Wakuu sina nia mbaya na chama chetu cha CHADEMA.
Nimejaribu kufikiri kwamba,kuna kura zaidi ya 75000, ambazo huenda tungezipoteza hata kama uhesabuji ungekua fair.
1.Dr (Phd) aliahidi kufuta...
WITO:
Kwa jinsi chama tawala kilivyotumia nguvu za dola kugandamiza wananchi kwa kulazimisha matokeo watakayo wao. Na kwa jinsi hali ya usalama wa nchi inavyoendelea kutetereka kila kukicha. Na...
Wazazi huwapeleka watoto wao waelimike, wapate maarifa na kuuepuka ujinga. Lakini watoto hao badala yake huwehuka na kutojua wanachokitaka ni nini:sad: HAPO HUANZA KWENDA KWENYE MAWAZO YA WENZI...
Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye...
Wabodi,
Wabunge wateule tayari wameshatinga ndani ya nyumba-mtandao!
Unaweza kuwashuhudia
http://www.parliament.go.tz/bunge/elected.php
Hiki ndicho NEC walitakiwa kukifanya tangu Jumatatu...
Hili swala la kuchakachua matokeo waziwazi,ambalo linafanywa na ccm,(chama cha mafisadi)mwisho wake ni nini?Au wao wanafikiria kuwa kila siku ni jumamosi au jumatatu?Watanzania wa leo (2010) siyo...
MISSION:
To safeguard democracy and maintain integrity of Electoral System in the country by co-ordinating and supervising voter registration, constituency demacration and election related...
Habari zenu wana JF,
Nikiwa kama kijana mpenda maendeleo ya nchi yangu nmekua nikijiuliza maswali mengi sanaa kuhusu nchi yangu na at times nakosa majibu kabisaa.Huwezi kuifikiria tanzania bila...
Kuendelea kuikumbatia ccm kulikooneshwa na watanzania licha ya ulaghai wa miaka nenda rudi nimekufananisha na maudhui ya wimbo wa mwanamuziki machachari wa kimarekani eminem unaosema i love the...
Hatimae imefahamika kwamba kumbe ile tuliyokuwa tunaambiwa ni saa ya ukombozi ama ni ya kichina au iliwekwa betri za kichina baada ya kuonekana mwendo wake kusuasua kiasi cha kutishia ule...
Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI. Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha. TEKELI, umepimwa katika mizani nawe...
Tanzania Daima la leo limeripoti matokeo haya ya awali pamoja na utata wa uhalali wake CCM imemgwaya Dr. Slaa kwa mchango wake katika kupanua demokrasia hapa nchini...........
Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.